SAMBALI
Member
- Jan 26, 2017
- 9
- 0
Kwa harakatu nimegundua kweli ya mtu ndani yake.Wewe umechangia nini,au unataka tu serikali ndio ifanye kila kitu,je wazazi wa hao wanafunzi 700 wameshindwa kufyatua matofali ya kujenga shule au hata kuweza kukandika udongo hiyo shule,sio kila kitu serikali ifanye hata wananchi pia wanatakiwa wajitoe,hiyo ndio kazi ya diwani na mbunge kuhamasisha wananchi wake na si serikali pekee,wengi wetu ni wepesi kulaumu serikali kwa mabaya tu lakini mazuri hatuoni mkijaza server za JF.Pia wazazi waangalie pia uzazi wa mpango ,huko vijijini watu huzaa kama simbilisi na hawana mipango yoyote juu ya watoto wao,jamani usipojipanga mwenyewe usitegemee serikali itakufanyia kila kitu.Nakumbuka nikikua aliyepata kuwa Waziri Mkuu David Cleopa Msuya alinena kwamba kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe na wale ambao hawakuelewa wakadai oh Mzee Msuya mbinafsi na manenno mengi ya hovyo lakini kwa walio na akili walimuelewa,kabla ya kutaka serikali ibebe majukumu basi hata mwananchi nae abebe majukumu na si kulalamika tu na wengine kutwa tupo mitandaoni kuloloma juu ya serikali oh haijafanyi hiki mara kile,ndugu zanguni fanyeni kazi,panga mipango yako na familia yako ,hakika utaiona Tanzania ni zaidi ya porojo za mitandaoni.
Hivi kwa akili yako unaona kweli wazazi wa hao watoto hawapendi watoto wao wajekuwa na maisha mazuri?
Umefuatilia ukagundua kama wanakipato kinachoweza kuwafanya wakajenga shule?
Hivi unajua maana ya serikari?
Unajua ni wapi serikali inapata pesa kwaajili ya mshahara wako?
Badilika ndugu sisi pia hatupendi kulaumu but serikari kwa majigambo na kejeri inatuhakikishia hakuna mwenyeshida, kama hakuna hao wanafunzi ni wa nchi za nje au?
SERIKALI NI WATU BWANA
[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Wewe umechangia nini,au unataka tu serikali ndio ifanye kila kitu,je wazazi wa hao wanafunzi 700 wameshindwa kufyatua matofali ya kujenga shule au hata kuweza kukandika udongo hiyo shule,sio kila kitu serikali ifanye hata wananchi pia wanatakiwa wajitoe,hiyo ndio kazi ya diwani na mbunge kuhamasisha wananchi wake na si serikali pekee,wengi wetu ni wepesi kulaumu serikali kwa mabaya tu lakini mazuri hatuoni mkijaza server za JF.Pia wazazi waangalie pia uzazi wa mpango ,huko vijijini watu huzaa kama simbilisi na hawana mipango yoyote juu ya watoto wao,jamani usipojipanga mwenyewe usitegemee serikali itakufanyia kila kitu.Nakumbuka nikikua aliyepata kuwa Waziri Mkuu David Cleopa Msuya alinena kwamba kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe na wale ambao hawakuelewa wakadai oh Mzee Msuya mbinafsi na manenno mengi ya hovyo lakini kwa walio na akili walimuelewa,kabla ya kutaka serikali ibebe majukumu basi hata mwananchi nae abebe majukumu na si kulalamika tu na wengine kutwa tupo mitandaoni kuloloma juu ya serikali oh haijafanyi hiki mara kile,ndugu zanguni fanyeni kazi,panga mipango yako na familia yako ,hakika utaiona Tanzania ni zaidi ya porojo za mitandaoni.