Mtwara: Wanafunzi 743, wanasomea katika vibanda vya nyasi

Mtwara: Wanafunzi 743, wanasomea katika vibanda vya nyasi

Ukombozi wa maskini na mnyonge ni elimu bora, Ujumbe huu umfikie dereva wa Lory. Anapojitapa yeye ni mtetezi wa wanyonge maskini wa chini afanye kwa vitendo kuhakikisha hawa maskini wanyonge wa chini wanapata elimu bora kuwazidi matajiri anaowachukia. Afanye kwa vutendo na si kwa kuongea jukwaani. Tokea ameingia madarakani sijui amejenga madarasa mangapi mpaka sasa ilihali enrollment ya wanafunzi imeongezeka kwa 50% kadharika walimu
Yuko busy kujenga hostel za UDSM na fly over
 
Haya ndiyo malipo ya elimu bila malipo, hakuna cha bure dunia hii. Walijisifu kuongeza idadi ya wanafunzi walioanza elimu ya msingi Je wameongeza madarasa na fedha za kuwahudumia hawa watoto?

Elimu ya Tanzania itakombolewa pale wanasiasa watakapoacha kuitumia elimu kama uwanja wa majaribio na kujipatia umaarufu wa kisiasa.
 
Halafu mkuu wa mkoa aliwawajibisha wakuu wa shule mkoani humo ambao shule zao hazikupata matokeo mazuri katika mtihani wa taifa wa kumaliza darasa la saba wa mwaka jana.Ni zamu yake sasa ajiwajibishe kwa kupotosha hali halisi na kuwabambikia lawama waalimu
 
Wewe umechangia nini,au unataka tu serikali ndio ifanye kila kitu,je wazazi wa hao wanafunzi 700 wameshindwa kufyatua matofali ya kujenga shule au hata kuweza kukandika udongo hiyo shule,sio kila kitu serikali ifanye hata wananchi pia wanatakiwa wajitoe,hiyo ndio kazi ya diwani na mbunge kuhamasisha wananchi wake na si serikali pekee,wengi wetu ni wepesi kulaumu serikali kwa mabaya tu lakini mazuri hatuoni mkijaza server za JF.Pia wazazi waangalie pia uzazi wa mpango ,huko vijijini watu huzaa kama simbilisi na hawana mipango yoyote juu ya watoto wao,jamani usipojipanga mwenyewe usitegemee serikali itakufanyia kila kitu.Nakumbuka nikikua aliyepata kuwa Waziri Mkuu David Cleopa Msuya alinena kwamba kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe na wale ambao hawakuelewa wakadai oh Mzee Msuya mbinafsi na manenno mengi ya hovyo lakini kwa walio na akili walimuelewa,kabla ya kutaka serikali ibebe majukumu basi hata mwananchi nae abebe majukumu na si kulalamika tu na wengine kutwa tupo mitandaoni kuloloma juu ya serikali oh haijafanyi hiki mara kile,ndugu zanguni fanyeni kazi,panga mipango yako na familia yako ,hakika utaiona Tanzania ni zaidi ya porojo za mitandaoni.

KAMA KILA MTU ANATAKIWA ABEBE MSALABA WAKE, KWANINI SEREKALI INAKUSANYA KODI NAYO SIIUBEBE MSALABA WAKE?.

SIKUWAHI KUFIKIRI UNA AKILI MGANDO/TOPE KIASI HICHO.
Wewe umechangia nini,au unataka tu serikali ndio ifanye kila kitu,je wazazi wa hao wanafunzi 700 wameshindwa kufyatua matofali ya kujenga shule au hata kuweza kukandika udongo hiyo shule,sio kila kitu serikali ifanye hata wananchi pia wanatakiwa wajitoe,hiyo ndio kazi ya diwani na mbunge kuhamasisha wananchi wake na si serikali pekee,wengi wetu ni wepesi kulaumu serikali kwa mabaya tu lakini mazuri hatuoni mkijaza server za JF.Pia wazazi waangalie pia uzazi wa mpango ,huko vijijini watu huzaa kama simbilisi na hawana mipango yoyote juu ya watoto wao,jamani usipojipanga mwenyewe usitegemee serikali itakufanyia kila kitu.Nakumbuka nikikua aliyepata kuwa Waziri Mkuu David Cleopa Msuya alinena kwamba kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe na wale ambao hawakuelewa wakadai oh Mzee Msuya mbinafsi na manenno mengi ya hovyo lakini kwa walio na akili walimuelewa,kabla ya kutaka serikali ibebe majukumu basi hata mwananchi nae abebe majukumu na si kulalamika tu na wengine kutwa tupo mitandaoni kuloloma juu ya serikali oh haijafanyi hiki mara kile,ndugu zanguni fanyeni kazi,panga mipango yako na familia yako ,hakika utaiona Tanzania ni zaidi ya porojo za mitandaoni.

Kama kila MTU anatakiwa abebe MSALABA wake basis na serekali isikusanye kodi. Nao wabebe MSALABA wao.
 
Hao watu wanajengewa shule still wanakimbia na kusogea mbele zaidi mashambani so huwezi ilaumu serikali
 
Khaaaaaaaaaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom