Mtwara mpya 2030

Mtwara mpya 2030

Hahahha OPHIR ilimaliza muda wake tangia 2012 ikawa replaced by BG... sasa wewe unazungumzia miaka minne nyuma???? Acha unafiki kijana.. Nenda tena MTWARA uone kinachotokea.....
Unajuaje kama tangu 2012 sijafika Mtwara? Kama mdau wa Oil and Gas nafika Mtwara sana kwa shughuli mbalimbali regardles ya Kapuni yangu kutokuwepo. Naizungumzia Mtwara kulinganisha na maeneo mengine duniani niyopita. Kwa siasa hizi na viongozi hawa pamoja na mikataba hii! Msitegemee maajabu Mtwara. Wenye uelewa wasio na ushabiki watakuwa wamenielewa.
 
Sasa ophir si walikuwa kwenye exploration tu
Wewe ulikuwa kwenye nini? Seismic Survey au? Jaribu kuelewa kinachojadiliwa hapa ni nini. Mimi nimemjibu tu huyo mdau moja ya kampuni ambazo nimewahifanya nazo kazi. siwezi weka hapa kila kitu changu sababu sio kinachojadiliwa hapa.
 
Broken English kama huwezi kuandika kingereza fasaha acha sio kuandika broken na swaga za wanyamwezi huziwezi mkuu.
 
Mtwara saa 4 usiku hupati chakula mjini, maeneo ya bima. Maduka saa 2 ndiyo wanafungua. Wanawake wa najua kutumia kuliko kutafuta. Bado mmenyata mtasubiri sana.
Mara ya mwisho kufika mtwara lini kijana..??? Nenda maeneo ya Umoja utapata hata saa 7 usiku... Stand usiku wote...
 
Mtwara saa 4 usiku hupati chakula mjini, maeneo ya bima. Maduka saa 2 ndiyo wanafungua. Wanawake wa najua kutumia kuliko kutafuta. Bado mmenyata mtasubiri sana.
Duh hiyo saa nne usiku hata kariakoo Dar, hupati itakua Mtwara. hata Arusha saa hizo ni shida Muuza chakula kama mpaka saa nne usiku hakijaisha, hicho kitakua kimedoda hicho.
 
Duh hiyo saa nne usiku hata kariakoo Dar, hupati itakua Mtwara. hata Arusha saa hizo ni shida Muuza chakula kama mpaka saa nne usiku hakijaisha, hicho kitakua kimedoda hicho.

Siyo kariakoo hiyoo ya Dar, labda ya kilosa huko ukose chakula
 
Wapate rais mara mbili mkuu? Mkapa alikua wa huko huko , au hujui? Na ameamua kujenga Tanga Lushoto amewaacha wana Mtwara huko . Hata hii Dangote ni juhudi za Kikwete.
 
Siyo kariakoo hiyoo ya Dar, labda ya kilosa huko ukose chakula
Wewe hujui Kariakoo vizuri, Kariokoo Usiku ni mji wa wenyeji, zile pilika pilika husiku hamna migahawa mingi, shuhuli zao huishia jioni. baada ya hapo mama nitilie huchukua nafasi, ambao wakimaliza chakula hurudi makwao hawapiki tena. hivi una habari sehemu za wenyeji biashara ya chakula haiendi.
 
Naona tunataka kuonyeshana ujuaji kwa kifupi tuu maisha nimeanzia pale kisutu stand ya zamani, jengo LA posta,. hiyo mitaa yoote unayosema nilikuwa napuyanga tuuu na kandambili.
 
Dah...pita kwenye miradi inayoendelea..angalia engineers, accountants na wataalam wengine kama yupo kaka/dada yako....bora mwizi kuliko mbaguzi
hoja hiyo ni mufilisi. Kwani Dar imejegwa na Wazaramo? Kwani Dodoma inavyokua inajengwa na Wagogo? Kinachozungumzwa ni kushine mji, bila kujali nani kafanya, ili mradi muingiliano wa watu unaleta tija kwa wenyeji. Kwa hiyo asilimia 50 ya mambo yaliyo Dar ni dada au kaka wa Kizaramo? Mawazo mufilisi kabisa.
 
Naona tunataka kuonyeshana ujuaji kwa kifupi tuu maisha nimeanzia pale kisutu stand ya zamani, jengo LA posta,. hiyo mitaa yoote unayosema nilikuwa napuyanga tuuu na kandambili.
Sio lengo langu, kaka kujua sio kuzaliwa Dar, wala kuto jua hakukufanyi kuwa eti hukuzaliwa Dar, ila inategemeana shuhuli zako. uliko siko eti kukuonyesha ujuaji, tungekua tunazungunzia kijijini usingeandika hayo. twende kwenye hoja pamoja na kuzaliwa Kisutu je huduma nyingi za migahawa Kariakoo hazifungwi muda nilioutaja hapo juu ingawa sikuzaliwa Dar.
 
Povu la nini sasa... we gonna reach there blv me.... MTWARA is the new hope to TANZANIAN... most of northen people trying to think that they're so much better than those who comin' from southern regions.. Ukweli ni kwamba now days kanda zenu zimekaa na hazitainuka hadi pale kusini kutakapokuwa kama ULAYA.... Endeleeni kudeal na historia... ndo tunawaacha hivyoooo... we're growin' higher.... NASISITIZA UCHUMI WA KUTEGEMEA TUMBAKU, KAHAWA NA CHAI UMEKWISHA... Ni muda wetu wa kushine.... najua kaskazini walitamani wapate hata bahari ili nao waweze pata BANDARI.. Duh sasa mtulie dawa iwaingie taratibuuuu...
Kwani Tanga ipo wapi
 
Acha ujinga.. tatizo umekariri au kukaririshwa kuwa eti watu wa kusini hawana elimu.. sasa endelea kukariri hivyo hivyo na mwisho wa siku hamtokaa mtoe kiongozi yeyote mkubwa nchi hii.. Wengi wana elimu zaidi yako.. Mtakuja kunikumbuka haya nayosema kuwa ZAMA ZA KUTEGEMEA KAHAWA NA CHAI HAZINA NAFASI... WATU WANAELIMU NZURI SANA TENA KTK ISHU ZA SAYANSI..
Embu tutajie hao vigogo wa kusini, bora hata dodoma kuliko kusini,
 
>> CHEMAAA uchiogopeeeeeeee chemaaaaaaaa Ngoliloooooo chemaaaaa uchiogopeeeeeeeee chemaaaaaaa >> vigaeni sasa ina shine kwa vitofa vya nguvu sasa ppf & BOT ,.
 
Back
Top Bottom