Mtwara mpya 2030

Mtwara mpya 2030

Dah...ujinga mtupu...peleka midogo yako shule.....bila hivyo wataishia kuwakaangia wageni chips na kujiuza...
Acha ujinga.. tatizo umekariri au kukaririshwa kuwa eti watu wa kusini hawana elimu.. sasa endelea kukariri hivyo hivyo na mwisho wa siku hamtokaa mtoe kiongozi yeyote mkubwa nchi hii.. Wengi wana elimu zaidi yako.. Mtakuja kunikumbuka haya nayosema kuwa ZAMA ZA KUTEGEMEA KAHAWA NA CHAI HAZINA NAFASI... WATU WANAELIMU NZURI SANA TENA KTK ISHU ZA SAYANSI..
 
Hii post ina undertones kali za ukanda.Iko subjective mno. Sijaipenda na nimetafuta kidude cha dislike sijakiona!
 
Kwa jinsi hali ya mambo inavyobadilika naona wazi kabisa Miji ya Musini ndo itadrive uchumi wa Taifa letu. Kwa kasi ya ukuaji wa mji wa Mtwara nadhani ifikapo 2030 basi mikoa ile yenye kelele sana itakuwa imeachwa mbali sana.

Mtwara kuna vitu ambavyo nchi nyingi tajiri ndio hutumia hadi kufikia hapo walipo. WE CALL IT NEW ABU DHABI. Nimeona jinsi wawekezaji wanavyopishana kuwekeza mikoa ya kusini. It's our time to shine.
c046421d3bb5bf8b6005ee48554b699b.jpg
d37159d40474d361c3ab6d20063aa9df.jpg
e7652cfe37ddbe0048c9ca506c5b739d.jpg

Kuna mikoa inajiona hiyo ndio Tanzania lakini nataka kuwaambia kitu kuwa mambo yamebadilika na sasa hatutegemei kahawa na chai kuendesha nchi yetu.
Aliyepewa kapewa tu na huzidi kuongezewa wee subiri uje mkimbizwe na wachaga, wanyakyusa na wahaya humo kama wazaramo wa dar walivyokimbizwa
 
Wakati fulani tutahamia Mtwara au Lindi kutoka Arusha kufuata fursa hizo kweli future ya Kusini ni kuubwa sana na uchumi wa nchi hii sasa utatoka huko baada ya miaka mingi ya kupwaya
 
Povu la nini sasa... we gonna reach there blv me.... MTWARA is the new hope to TANZANIAN... most of northen people trying to think that they're so much better than those who comin' from southern regions.. Ukweli ni kwamba now days kanda zenu zimekaa na hazitainuka hadi pale kusini kutakapokuwa kama ULAYA.... Endeleeni kudeal na historia... ndo tunawaacha hivyoooo... we're growin' higher.... NASISITIZA UCHUMI WA KUTEGEMEA TUMBAKU, KAHAWA NA CHAI UMEKWISHA... Ni muda wetu wa kushine.... najua kaskazini walitamani wapate hata bahari ili nao waweze pata BANDARI.. Duh sasa mtulie dawa iwaingie taratibuuuu...
Uzuri wake nimekaa Mtwara na nimefanya kazi katika Oil and Gas zaidi ya Tanzania kwa hiyo naandika ninachokifahamu Afrika regarding Oil and Gas na Impact yake katika jamii...kimaendeleo. Wewe endelea kuzubaishwa na maneno ya wanasiasa
 
Angalia Geita, Mererani, Mwadui na sehemu nyingine kuna nini tangu madini yagunduliwe! Sasa nashangaa kutegemea maajabu Mtwara
 
Mkuu unaizungumzia Abu Dhabi ya wapi?

Hii ndio Abu Dhabi yenyewe!

Capital-Gate-Tower-Original-Render.jpg
tumblr_inline_nrbtpcaBq01r02mf8_1280.jpg
images-1.jpeg
image-1.jpg
 
Kwa jinsi hali ya mambo inavyobadilika naona wazi kabisa Miji ya Musini ndo itadrive uchumi wa Taifa letu. Kwa kasi ya ukuaji wa mji wa Mtwara nadhani ifikapo 2030 basi mikoa ile yenye kelele sana itakuwa imeachwa mbali sana.

Mtwara kuna vitu ambavyo nchi nyingi tajiri ndio hutumia hadi kufikia hapo walipo. WE CALL IT NEW ABU DHABI. Nimeona jinsi wawekezaji wanavyopishana kuwekeza mikoa ya kusini. It's our time to shine.
c046421d3bb5bf8b6005ee48554b699b.jpg
d37159d40474d361c3ab6d20063aa9df.jpg
e7652cfe37ddbe0048c9ca506c5b739d.jpg

Kuna mikoa inajiona hiyo ndio Tanzania lakini nataka kuwaambia kitu kuwa mambo yamebadilika na sasa hatutegemei kahawa na chai kuendesha nchi yetu.

Mtwara ni mji ambao unavutia, nimependa jinsi ilivyo, kwa-kweli tanzania imebarikiwa basi tu uongozi ndio ivyo unatuangusha...
 
Mtwara Ni miongoni mwa maeneo yanayokuw harak zaid kiuchumi kwa mkoa but Kuna vchocheo vingi vnavopelekea but c gesi Kama gesi pekee tuache ushabik Na upenz
 
Uzuri wake nimekaa Mtwara na nimefanya kazi katika Oil and Gas zaidi ya Tanzania kwa hiyo naandika ninachokifahamu Afrika regarding Oil and Gas na Impact yake katika jamii...kimaendeleo. Wewe endelea kuzubaishwa na maneno ya wanasiasa
Kijana ulikuwa kampuni gani tuanzie na hapo...
 
Angalia Geita, Mererani, Mwadui na sehemu nyingine kuna nini tangu madini yagunduliwe! Sasa nashangaa kutegemea maajabu Mtwara
Kumbuka mtwara sio madini ni nishati.. Alafu unaweza nitajia nchi TAJIRI DUNIANI KWA SABABU YA MADINI?? Ukizitaja hizo taja nchi tajiri kwa uwepo wa Mafuta na gesi... ni rasilimali tofauti kabisaa na hata matumizi hayafanani.. kwa kifupi kiuchumi GOLD tunaweka katika kundi la LUXURY GOODS... kwa maana hata usipotumia huwezi athirika.. bt OIL & GAS usipotumia basi lazima uwe masikini wa kutupwa.. na hapa ndipo tulipo sasa.. tuanze kutumia gesi na mafuta kukomboa nchi yetu.. Madini hata Zambia na DRC yapo na hakuna maendeleo..
 
Nadhani hujanielewa...nimetoa mfano tu. My point ni kwamba hakutakuwa na Lolote la ajabu Mtwara kama wengi mnavoaminishwa. Tusubiri Tuone.
 
Hahahha OPHIR ilimaliza muda wake tangia 2012 ikawa replaced by BG... sasa wewe unazungumzia miaka minne nyuma???? Acha unafiki kijana.. Nenda tena MTWARA uone kinachotokea.....
 
Mtwara saa 4 usiku hupati chakula mjini, maeneo ya bima. Maduka saa 2 ndiyo wanafungua. Wanawake wa najua kutumia kuliko kutafuta. Bado mmenyata mtasubiri sana.
 
Back
Top Bottom