DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 884
- 1,761
Kwa jinsi hali ya mambo inavyobadilika naona wazi kabisa Miji ya Musini ndo itadrive uchumi wa Taifa letu. Kwa kasi ya ukuaji wa mji wa Mtwara nadhani ifikapo 2030 basi mikoa ile yenye kelele sana itakuwa imeachwa mbali sana.
Mtwara kuna vitu ambavyo nchi nyingi tajiri ndio hutumia hadi kufikia hapo walipo. WE CALL IT NEW ABU DHABI. Nimeona jinsi wawekezaji wanavyopishana kuwekeza mikoa ya kusini. It's our time to shine.
Kuna mikoa inajiona hiyo ndio Tanzania lakini nataka kuwaambia kitu kuwa mambo yamebadilika na sasa hatutegemei kahawa na chai kuendesha nchi yetu.