Mtwara Mkoa masikini unaoendesha serikali ya Tanzania

Sifa nyingine ya Mtwara nikuwa mojawapo ya ngome imara za CCM.

Unadhani ni chama gani cha siasa kati ya hivi vilivyopo kinaweza kikaleta suluhisho la kudumu maana hata hivi sasa hawatoi msaada kwa wagombea wao ni kama vile wanaona ni eneo ambalo halina jamaa zao. Hata wakishinda kama wabunge kama hawatakuwa na connection kwenye ngazi ya taifa itakuwa sawa na sasa hivi. umesahau kuwa makatibu, wakurugenzi watakuwa walewale wa kulekule.
 
nina mashaka na hizo takwmu........mtwara wanazalisha nini hadi watoe mchango mkubwa hivyo?

hebu angalia korosho na hiyo bandari na ukame ule kweli watawakaribia mwanza kwa uzalishaji?
 
Kuna matatizo katika hizo data kwani Mwanza ndo ilitakiwa kuwa ya 4 the mara ya 5, acheni uchakachuaji.
Hapa suluuu ni serikali za majimbo, mimi kama mzawa wa mara, kama ndo kiasi tunachochangia katika pato la taifa alafu hali zetu ndo kame vile hapa. Pesa zichukuliwe mara zipelekwe kwa wakwere wanaochimba shimo moja ya choo kwa 75mil

Ni kweli mgao wa umeme tuanze kudai haya maendeleo na matumizi ya fedha zetu unadhani wewe utakuwa na maisha mazuri kuanzia wapi kama siyo hizi rasilimali..... imagine inavyouma watu wavune then wawaachieni mashimo tu vizazi vyenu vikute mashimo pasipo kuona matunda ya kilichotolewa kwenye hayo mashimo.

Kimsingi manispaa zetu na halmashauri zetu zilitakiwa kudai haya lakini cha ajabu nao wamejigeuza serikali kuu na vimekuwa vyanzo vya uhujuma au wakala wa uhujumu kutoka Dar es salaam.
 
nina mashaka na hizo takwmu........mtwara wanazalisha nini hadi watoe mchango mkubwa hivyo?

hebu angalia korosho na hiyo bandari na ukame ule kweli watawakaribia mwanza kwa uzalishaji?

Rutashubanyuma aliyekudanganya kuwa eneo lenye mvua 900 -1100mm kuwa ni kame ni nani uliwahi calculate Aridityindex ya huku ukaona inakuwaje. hata hivyo kuhusu takwimu nimekuwekea website hapo hebu tembelea uka-verify. acha kumeza propaganda zenu za enzi zileeee.
 
Si kweli, historia ndiyo imeiharibu Kusini kabla hata ya Nyerere kuchukua nchi! Mgawanyo uliokuwa umefanywa na wakoloni ulikuwa ni kwamba Kaskazini ilikuwa ndiyo kitovu cha uzalishaji ila cheap labours walitokea Kusini!!! Nenda maili sita Moshi kwa uthibitisho zaidi na uulize asili ya wale watu waliobaki pale (manamba), wengi walitokea Singida na Kusini mwa TZ!!!

Lakini Mkuu kijana juzi historia si inatuonyesha kuwa tulidai uhuru ili kurekebisha hayo mambo ......sasa mbona kama waheshimiwa mnaendeleza tu tena na kukamua hata kile kidogo kilichokuwa chetu na kupeleka kwenu.
 
Mtwara mambo mengine tunajitakia wenyewe kwa kuwa so cheap kwa watawala wanaweza kudanganya au kufanya chochote na bado tukajib kidumu!wenzetu wanapelekewa maendeleo kutokana na umoja wa wakilishi wao!wabunge wa kusin wanaona fahar wananchi wanavyojaa milangon mwao na kuombaomba.Wasomi ambao inabid walete changamoto wote wanagombea kupitia ccm wakikosa wanarud dsm wote hawaamin kma wanaweza kushinda kupitia vyama vingine(angalia cv za wagombea wa upinzan mtwara 2010)

Kwa mtazamo wako unadhani ni suala la vyama vya siasa kama ni hivyo hebu tujuze ni chama kipi unadhani kinaweza kuchochea mabadiliko ya kifikra miongoni mwa watanzania wenye mamlaka kwa wakati uliopita uliopo na ujao. Halafu sidhani kama wabunge wa upinzani walishindwa kutokana na kuwa na elimu duni kwani hata walioshinda akina murji, Juma njwayo, mkuchika hawana eliimu kuuubwaa.
 
Aridity ni suala la kuangalia chama mbadala chenye sera nzur hilo ni juu ya wananchi ndo maana ya multiparty na kuhusu suala la usomi kwa wagombea wa ccm hilo linajulikana kma kwel ww ni mwenyej wa mtwara kwan ccm hata ikimuweka mtu wa ovyo bado watu wanadai ndo chama kilichotulea,Tandahimba at least wameamka hawana mambo ya tunazika naye tumchague 2
 
kabla hatujarahumu tujaribu hili swala la saba saba ni lini mkuu?tupeane taarifa mapema.swala kubwa kabisa ambalo mm nalifahamu kwa watu wa kusini wanapenda sana mm kwanza ili mwingine aje kukuhabudia kwa kuomba msaada nasio kumpa njia za kimaendeleo.naomba sana tuwe na moyo wa upendo,kuthaminiana kwa kila jambo ambalo tunafanya nasio kumuacha mwezako anapotea .najuwa siri kubwa ya saba saba kufanya vizuri ilikuwa ushirikiano wa wanafunzi na walimu ambao tukuwa na lengo na nia
 
..ukianza wakati wa Muingereza mikoa ya kusini ilikuwa mawindo ya ku-rectruit manamba wa kwenda kufanya kazi mashambani.

..Muingereza akajaribu kuwekeza huko ktk mradi wa kilimo cha karanga lakini nao ukapatwa na matatizo.

..tulipopata uhuru miaka ya 67 mpaka 70 kusini wakapitiwa na mpango wa operesheni vijiji ambao ulikuwa na athari kubwa kwa zao la korosho.

..kinachopaswa kufanyika ni kufufua mazao kama KOROSHO au MIHOGO ili yaweze kumnufaisha zaidi mwananchi wa kawaida.

..jambo lingine linalowaumiza kusini, au kutofautisha umasikini wa kusini vs ule wa kaskazini, ni huyu jirani yetu aliyeko kusini, yaani Mozambique.

..Mozambique ingekuwa na maendeleo kungeweza kuwa na cross border trade inayoinua kipato cha wananchi wa kawaida. biashara ya mpakani na Kenya imewainua sana wananchi wa Kilimanjaro na Arusha miaka ile tulipokuwa na uhaba wa bidhaa na hata leo.

NB:

..GESI na MAFUTA vitaifanya serikali kuu kuwa tajiri lakini hali ya wananchi wa kawaida inaweza kuendelea kuwa duni.
 
..pamoja na matatizo yote hayo Kusini ndiyo ngome ya CCM!!

..jifunzeni toka kwa wananchi wa Rombo, barabara wamejengewa lakini bado wameitosa CCM na fisadi wao Basil Mramba.
 
..ukianza wakati wa Muingereza mikoa ya kusini ilikuwa mawindo ya ku-rectruit manamba wa kwenda kufanya kazi mashambani.

..Muingereza akajaribu kuwekeza huko ktk mradi wa kilimo cha karanga lakini nao ukapatwa na matatizo.

..tulipopata uhuru miaka ya 67 mpaka 70 kusini wakapitiwa na mpango wa operesheni vijiji ambao ulikuwa na athari kubwa kwa zao la korosho.

..kinachopaswa kufanyika ni kufufua mazao kama KOROSHO au MIHOGO ili yaweze kumnufaisha zaidi mwananchi wa kawaida.

..jambo lingine linalowaumiza kusini, au kutofautisha umasikini wa kusini vs ule wa kaskazini, ni huyu jirani yetu aliyeko kusini, yaani Mozambique.

..Mozambique ingekuwa na maendeleo kungeweza kuwa na cross border trade inayoinua kipato cha wananchi wa kawaida. biashara ya mpakani na Kenya imewainua sana wananchi wa Kilimanjaro na Arusha miaka ile tulipokuwa na uhaba wa bidhaa na hata leo.

NB:

..GESI na MAFUTA vitaifanya serikali kuu kuwa tajiri lakini hali ya wananchi wa kawaida inaweza kuendelea kuwa duni.

Nafikiri unahitaji kujuzwa mengi sana hususan katika uchumi.

Cha msingi Mtwara wamejaaliwa sana bandari tena ina kina kirefu sana cha kuwezesha Meli kubwa kuweza kutia nanga pasi na shaka. Nimebainisha katika andiko langu la awali kuwa kama Serikali yenu itawekeza katika bandari na kukawa na miundo mbinu bora ya barabara basi mji wa Mtwara na Lindi itakuwa kwa kasi sana.

Kupatikana kwa mafuta na gesi hizo zote ni added value kwa Mtwara na Lindi kwani hizo ni moja ya vichocheo vya uchumi ukilinganishwa na viwanda na makampuni ambayo yatakuja kuwekeza huko kama ya saruji, ujenzi, ma bohari ya kuhifadhia bidhaa na hata biashara za watu wa kawaida zitakuwa. Hivyo vyote vitaweza kuleta ajira kwa watu wa kawaida, kati na hata wafanyabiashara wakubwa kujikita huko.

Lakini pia zao kama ufuta na mtama haya ni mazao ambayo bei yake ipo juu sana katika soko la dunia ambalo mtwara na lindi najua toka zamani walikuwa wanazalisha. Na kama kutakuwa na utaratibu mzuri wa masoko nafikiri wakaazi wa huko linaweza kuinua hali zao za maisha. lakini pia korosho nalo ni zao muhimu kwao katika kuinua uchumi.

In short vichocheo vikuu vya kukuza uchumi wa sehemu yoyote Duniani ni Kuwe na lango kuu la biashara la kuingilia na kutokea hapa nazungumzia barabara na bandari kuu. Vile vile vitu kama Umeme wa uhakika na miundombinu ya mawasiliano ya simu. Hivi kama vimekamilika na nahisi vyote vipo mtwara basi wana nafasi kubwa sana kuweza kuendelea.

Natabili kama Tanzania itakuwa serious na kutaka kuinua uchumi wake ni budi kuitumia mtwara kama kichocheo na itakuwa ya pili kuiingizia nchi yenu mapatoo njuma ya dar.
 
Kuna matatizo katika hizo data kwani Mwanza ndo ilitakiwa kuwa ya 4 the mara ya 5, acheni uchakachuaji.
Hapa suluuu ni serikali za majimbo, mimi kama mzawa wa mara, kama ndo kiasi tunachochangia katika pato la taifa alafu hali zetu ndo kame vile hapa. Pesa zichukuliwe mara zipelekwe kwa wakwere wanaochimba shimo moja ya choo kwa 75mil

Kwani Mwanza wana bandari kubwa ya kuwezesha kutia nanga melli kubwa kubeba mizigo kama ilivyo Mtwara. Mwanza wana umeme wa uhakika kama walionao Mtwara?

kama hakuna Umeme , basi hakuna uzalishaji na tena kupelekea kukosekana kwa mapato ya nchi. Umeme ni nishati muhimu sana.

Nawaambi aMtwara itakuwa kama Qatar ya Africa. Angalie Waziri mkuu wenu alikwenda brazil kufungua utengenezaji wa Meli kubwa na vile British Gas wanawekeza pesa nyingi sana huko. na kuna tetesi kuwa pengine kukawa ndio largest area kwa uzalishaji wa Gas duniani.

WaTGN zindukeni na wachumi liangalieni hili kwa jicho la tatu na kwa nia njema ya kuinua uchumi wa nchi yenu.
 
Tangu nikiwa mdogo nilikuwa nikiambiwa mikoa ya kusini hasa mkoa wa Mtwara ni masikini sana, na kutokana na umasikini huo serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania haiwezi kuendeleza kusini kwa kujenga miundo mbinu mbalimbali kama barabara, kupanua bandari, reli, hospitali, Shule pamoja na vyuo vya elimu ya juu, maji na nisharti. Sababu kubwa ni kwamba mkoa huu unachangia kiasi kidogo cha mapato ya serikali. sina hakika sana kama majibu haya yaliyotolewa na wengi yalikuwa ya kweli lakini yalielekea kuwa ya kweli maana yalisemwa na wengi tena wengine wenye nafasi kubwa kubwa kwenye ofisi zao.

Ahaa!!! leo hii kwa mujibu wa takwimu za TRA "TRA Quaterly Revenue collection 2011_2011". Mkoa wa Mtwara ni wa 7 katika kuchangia kwenye pato la taifa kwa kodi. Kwa lugha nyepesi ndio wanunuzi wakubwa wa mashangingi ya serikali, au ndiyo wachangiaji wakubwa wa mafuta ya Jet stream ahaa na posho za wabunge, looh na posho za vyama vya siasa.

Swali langu: Imekuwaje mbona hayo maendeleo tuliyonyimwa tangu uhuru kwa kisingizio cha uchangiaji mdogo kwenye pato la taifa hayaletwi
hivi sasa tunapochangia kwa kiasi kikubwa au vigezo vimebadilika?

Tafadhali naombeni mchango wenu na ushauri wenu kwetu sisi wana Mtwara.

Nimeambatanisha jedwali la makusanyo kwa mujibu wa report za TRA: www.tra.go.tz

Region
Million TShs
Million TShs
Million TShs
Million TShs
Ranking
Direct Tax
Indirect Tax
Customs and Excise
Total
Ilala
56,801.9
32,545.3
-
89,347.2
1
Kinondoni
32,858.7
16,414.7
-
49,273.4
1
Temeke
12,987.0
10,677.7
-
23,664.6
1
Arusha
15,101.3
10,111.9
9,383.1
34,596.3
2
Coast
1,478.9
562.4
91.1
2,132.5
Dodoma
3,787.6
1,385.8
17.5
5,190.8
Iringa
3,471.4
1,941.9
20.5
5,433.9
Kagera
967.1
1,082.9
1,938.7
3,988.7
Kigoma
694.5
342.1
786.5
1,823.1
Kilimanjaro
6,834.2
2,947.3
11,389.3
21,170.8
3
Lindi
284.2
154.5
22.9
461.5
Mara
1,264.0
914.4
13,882.2
16,060.7
4
Mbeya
2,605.4
2,241.0
7,446.3
12,292.8
Morogoro
5,359.6
2,427.2
70.2
7,857.0
Mtwara
7,608.5
6,838.5
270.4
14,717.4
7

Mwanza
8,905.0
3,889.9
4,577.3
17,372.2
5
Ruvuma
667.1
469.8
32.7
1,169.6
Shinyanga
1,355.0
1,068.8
37.8
2,461.6
Singida
331.0
269.1
51.3
651.4
Tabora
1,087.4
896.2
15.1
1,998.7
Tanga
2,849.7
2,231.8
9,755.7
14,837.3
6
Rukwa
748.1
235.4
97.6
1,081.2
Manyara
686.2
263.6
-
949.9

naona matunda ya kusoma mzumbe hayo...... tupe data tupe data. tz bana ni nchi legelege. big up, ngoja tukanunue viwanja mikindani
 
Barubaru said:
Nafikiri unahitaji kujuzwa mengi sana hususan katika uchumi.

Cha msingi Mtwara wamejaaliwa sana bandari tena ina kina kirefu sana cha kuwezesha Meli kubwa kuweza kutia nanga pasi na shaka. Nimebainisha katika andiko langu la awali kuwa kama Serikali yenu itawekeza katika bandari na kukawa na miundo mbinu bora ya barabara basi mji wa Mtwara na Lindi itakuwa kwa kasi sana.

Kupatikana kwa mafuta na gesi hizo zote ni added value kwa Mtwara na Lindi kwani hizo ni moja ya vichocheo vya uchumi ukilinganishwa na viwanda na makampuni ambayo yatakuja kuwekeza huko kama ya saruji, ujenzi, ma bohari ya kuhifadhia bidhaa na hata biashara za watu wa kawaida zitakuwa. Hivyo vyote vitaweza kuleta ajira kwa watu wa kawaida, kati na hata wafanyabiashara wakubwa kujikita huko.

Lakini pia zao kama ufuta na mtama haya ni mazao ambayo bei yake ipo juu sana katika soko la dunia ambalo mtwara na lindi najua toka zamani walikuwa wanazalisha. Na kama kutakuwa na utaratibu mzuri wa masoko nafikiri wakaazi wa huko linaweza kuinua hali zao za maisha. lakini pia korosho nalo ni zao muhimu kwao katika kuinua uchumi.

In short vichocheo vikuu vya kukuza uchumi wa sehemu yoyote Duniani ni Kuwe na lango kuu la biashara la kuingilia na kutokea hapa nazungumzia barabara na bandari kuu. Vile vile vitu kama Umeme wa uhakika na miundombinu ya mawasiliano ya simu. Hivi kama vimekamilika na nahisi vyote vipo mtwara basi wana nafasi kubwa sana kuweza kuendelea.

Natabili kama Tanzania itakuwa serious na kutaka kuinua uchumi wake ni budi kuitumia mtwara kama kichocheo na itakuwa ya pili kuiingizia nchi yenu mapatoo njuma ya dar.

Barubaru,

..muanzishaji wa thread hii ni mwenyeji/mzawa wa mkoa wa Mtwara sasa tunapochangia tujaribu kuangalia ni jinsi gani WAZAWA WA MTWARA watakavyoweza kuwa WASHIRIKI na siyo watazamaji ktk uchumi mpya wa eneo lao.

..Bandari ya DSM ndiyo lango kuu la kuingiza na kutoa bidhaa ktk nchi yetu. sasa hebu nieleze wenyeji/wazawa wa mkoa huu ni washiriki au watazamaji tu ktk harakati za uchumi zinazoendelea.

..kuna eneo huko Nigeria linajulikana kama Ogoni Land. eneo hilo ndipo vilipo visima vya mafuta vya Nigeria. tatizo ni kwamba wazawa wa Ogoni hawajafaidika kwa namna yoyote ile na uchumi unaotokana na uchimbaji mafuta ktk eneo lao. kwa ujumla wananchi wa Ogoni wameifikwa na dhiki kutokana na uchafuzi wa mazingira ktk maeneo ya pwani waliyokuwa wakifanya uvuvi.

..wananchi wengi wa Mtwara wanajishughulisha na kilimo na uvuvi. sasa serikali inatakiwa iwafuate huko na kuwawekea mazingira mazuri ya kuweza kuinuka kiuwezo ili waweze kupambana ktk uchumi na mazingira mapya yatakayotokana na kukua kwa sekta ya Gesi and possibly mafuta.

..lazima kuwepo mazingira na mipango maalum ya kumuwezesha mkulima mdogo mzawa wa Mtwara ku-graduate kutoka ktk jembe la mkono, kwenda kulima kwa trekta,na baadaye kuwa mfanya biashara, au mid size industrialist, etc etc.

..suala la elimu pia ni la kutiliwa mkazo huko Mtwara au eneo zima la kusini ili hawa wenzetu nao waweze kupata ajira zinazohitaji ujuzi na zenye mafao yanayoeleweka ktk makampuni na taasisi zitazojishughulisha na uchimbaji wa gesi.
 
Aiseeee!!!! Mbona kuna miji ya ki-mission kabisa au hujui hilo!!!???? Unaweza ukaongelea mada husika na ukaachana na mambo ya udini???? Maana mi mwenyewe natokea huko na ni Mkristo, nikae upande upi wa huo mgawanyo unaoutaka???

Uondoke uende walipo jamaa zako kwa wingi.
 
Barubaru,

..muanzishaji wa thread hii ni mwenyeji/mzawa wa mkoa wa Mtwara sasa tunapochangia tujaribu kuangalia ni jinsi gani WAZAWA WA MTWARA watakavyoweza kuwa WASHIRIKI na siyo watazamaji ktk uchumi mpya wa eneo lao.

..Bandari ya DSM ndiyo lango kuu la kuingiza na kutoa bidhaa ktk nchi yetu. sasa hebu nieleze wenyeji/wazawa wa mkoa huu ni washiriki au watazamaji tu ktk harakati za uchumi zinazoendelea.

..kuna eneo huko Nigeria linajulikana kama Ogoni Land. eneo hilo ndipo vilipo visima vya mafuta vya Nigeria. tatizo ni kwamba wazawa wa Ogoni hawajafaidika kwa namna yoyote ile na uchumi unaotokana na uchimbaji mafuta ktk eneo lao. kwa ujumla wananchi wa Ogoni wameifikwa na dhiki kutokana na uchafuzi wa mazingira ktk maeneo ya pwani waliyokuwa wakifanya uvuvi.

..wananchi wengi wa Mtwara wanajishughulisha na kilimo na uvuvi. sasa serikali inatakiwa iwafuate huko na kuwawekea mazingira mazuri ya kuweza kuinuka kiuwezo ili waweze kupambana ktk uchumi na mazingira mapya yatakayotokana na kukua kwa sekta ya Gesi and possibly mafuta.

..lazima kuwepo mazingira na mipango maalum ya kumuwezesha mkulima mdogo mzawa wa Mtwara ku-graduate kutoka ktk jembe la mkono, kwenda kulima kwa trekta,na baadaye kuwa mfanya biashara, au mid size industrialist, etc etc.

..suala la elimu pia ni la kutiliwa mkazo huko Mtwara au eneo zima la kusini ili hawa wenzetu nao waweze kupata ajira zinazohitaji ujuzi na zenye mafao yanayoeleweka ktk makampuni na taasisi zitazojishughulisha na uchimbaji wa gesi.

Joka kuu,

Napenda kukujillisha si wote wanaochangia ni watanzania. Ila kwa kufuata sheria za nchi yenu kila mtu ana haki ya kuishi popote pale anachotakiwa kufuata ni kufuata sheria na kutovunja sheria. Si wote wanaoishi mtwara ni wamakonde, wamakuwa au wamachinga. Usishangae kuna wachaga, wahehe na hata wahaya kule wanaishi.

Mimi ninapo uzungumzia uchumi nimeubainisha wazi kuwa hata watu wa kawaida watapata ajira. mathalan ukianzisha viwanda kama saruji au madawa au chochote basi hata wazawa watapata kazi japo zile zinazolingana na visomo vyao hata zile za ulinzi, usafi na hata udereva n.k na hivo kuleta pato kwa wazawa.

Lakini pia nimekubainishia Zao la Ufuta na Mtama ambalo nakumbuka ni zao maarufu kule ni zao ambalo bei zake zipo juu sana ukilinganisha na maindi na Mpunga. Hivyo wana nafasi kubwa ya kupata kipato kikubwa na mazao kama korosho yote hayo yanawaingizia vipato vikubwa wakulima cha msingi ni serikali yenu kuwapelekea pembejeo kwa wakti muafaka ili waweze kupata mazao bora na bei nzuri ya bidhaa hizo.

Sasa lazima ujuwe kama Serikali yenu itakuwa makini na wawekezaji wameshaliona hilo na opportunity nyingi zilizopo huko na wameanza kuwekeza kama nilipokubainishia British gas Company na wengine. Nina hakika kubwa within two years MTWARA Itakuwa juu sana kiuchumi na nachelea kusema itakuwa tishio zaidi kwa Dar kama nchi yenu itakuwa imejipanga vizuri.

Kwani kama idara yenu ya mipango miji wakipanga vizuri mji huo kultenga maeneo ya viwanda na makazi bora kwa wnanchi basi mji huo utakuwa kama DOHA ya Qatar katika Tanzania. Cha msingi ni watu kuchangamka. Ni jana nilikuwa naongea na Mh Balozi Prof Abillahi huu ni mmakonde ( aliyekuwa mkuu wa chuo cha diplomasia huko Tanzania) alisema wazi mambo yamekucha sana huko na akaainisha kuwa kuna vyuo vingi tu mtwara kama SAUT, St Augustino, Madaktari, Ualimu, Ufundi, Utumishi wa umma. Na vile vile kuna Radio locals kama Pride na Safari FM, lakini pia kuna maji local kama Ndanda na makonde plateau pure drinking water na vile vile kuna burdan nzuri zinapatikana kwenye club nzuri yenye hadhi za kamataifa kama Makonde beach club.

Binafsi nafikiri nikija TZ nitapanga kutembelea huko. Kwani alibainisha kuwa hata usafiri umekuwa raisi sana kuna ndege kila siku mara mbili ndege ya 540 na precision.
Na Umeme ni wa uhakika sana kutoka Omoja lights.Hakuna mgawo.

Please weka nia kaangalie huko na muondoe jicho la husda kwani kupata kwa Mtwara ndio kukuza uchumi wa tanzania na kuwaondoeni katika lindi kubwa la umasikini.
 
AridityIndex is endorsing this post from Barubaru as the best and powerfull contribution in this thread.
 
Barubaru,

..muanzishaji wa thread hii ni mwenyeji/mzawa wa mkoa wa Mtwara sasa tunapochangia tujaribu kuangalia ni jinsi gani WAZAWA WA MTWARA watakavyoweza kuwa WASHIRIKI na siyo watazamaji ktk uchumi mpya wa eneo lao.

..Bandari ya DSM ndiyo lango kuu la kuingiza na kutoa bidhaa ktk nchi yetu. sasa hebu nieleze wenyeji/wazawa wa mkoa huu ni washiriki au watazamaji tu ktk harakati za uchumi zinazoendelea.

..kuna eneo huko Nigeria linajulikana kama Ogoni Land. eneo hilo ndipo vilipo visima vya mafuta vya Nigeria. tatizo ni kwamba wazawa wa Ogoni hawajafaidika kwa namna yoyote ile na uchumi unaotokana na uchimbaji mafuta ktk eneo lao. kwa ujumla wananchi wa Ogoni wameifikwa na dhiki kutokana na uchafuzi wa mazingira ktk maeneo ya pwani waliyokuwa wakifanya uvuvi.

..wananchi wengi wa Mtwara wanajishughulisha na kilimo na uvuvi. sasa serikali inatakiwa iwafuate huko na kuwawekea mazingira mazuri ya kuweza kuinuka kiuwezo ili waweze kupambana ktk uchumi na mazingira mapya yatakayotokana na kukua kwa sekta ya Gesi and possibly mafuta.

..lazima kuwepo mazingira na mipango maalum ya kumuwezesha mkulima mdogo mzawa wa Mtwara ku-graduate kutoka ktk jembe la mkono, kwenda kulima kwa trekta,na baadaye kuwa mfanya biashara, au mid size industrialist, etc etc.

..suala la elimu pia ni la kutiliwa mkazo huko Mtwara au eneo zima la kusini ili hawa wenzetu nao waweze kupata ajira zinazohitaji ujuzi na zenye mafao yanayoeleweka ktk makampuni na taasisi zitazojishughulisha na uchimbaji wa gesi.

Joka kuu ahsante sana kwa mchango huu ni mchango mzuri sana na una ukweli mkubwa ndani yake......tatizo kubwa nilionalo pia ni kukosa uzalendo kwa baadhi ya watanzania walio wengi kwani kweli kweli watumishi wengi waliopo huku hawaangalii suala la uchumi kwa mtazamo anaoangalia barubaru...wakitaifa. Na matokeo yake aidha hakuna mipango kabisa ya kuendeleza hawa wakulima na wavuvi au la mipango imekuwa ikiwekwa kama mifuko ya kujinufaisha watu. Kama ungepata nafasi ya kusimuliwa kilichokuwa kinaendelea kuhusu mpango wa stakabadhi ghalani kwa zao la korosho ungejua ni nini ninachoongelea.

Kuna wakati mkulima mwananchi masikini alikuwa anakatwa hadi TZ. 260 kwa kila kilo moja ya korosho anayouza hizi hela zote ziliingizwa kwenye halmashauri, TRA, na mifuko mingine ambayo unakuta wale wanaoitwa wasomi kutoka pande za walikosoma wanakuwa vinara wa kuitafuna na hakuna re-investment kwenye maisha ya mtu wa kawaida. (Kifupi wananchi wanahujumiwa, na kwa bahati mbaya zaidi hata viongozi wa kitaifa hawana upeo wa mbali bado wanaangalia mambo kwa manufaa ya kisiasa zaidi).
 
Back
Top Bottom