Mtwara Mkoa masikini unaoendesha serikali ya Tanzania

Uondoke uende walipo jamaa zako kwa wingi.

Hapana ndugu yangu zomba hii haikubaliki......bila shaka nawe huijuwi vizuri Mtwara ungeijua vizuri historia ya huko usingeongea haya infact issue za udini wa Islam na christian hazileti maana kwa context ya Mtwara ndiyo maana hata wanasiasa waumini wa hayo mambo hawatumii hicho kitu wanatumia technique nyingine ya answal na Bakwata.

Hata hivyo lazima ujuwe kuwa karibia makabila yote ya Mtwara yalivuka mto ruvuma wakitokea Mozambique na kwa bahati mbaya wengi waliovuka kuja TZ ndiyo walisilimu kuwa waislam lakini karibia wote waliobaki kule ni wakristo tena waroman catholic. Hivyo kila mmakonde, myao au mmakuwa unayemuona mtwara anandugu aidha Muislam au Mkristo.

Na hata ukiwa Shekh maradufu ukimuacha ndugu yako mkristo akitangatanga bila kumsaidia unapata aibu tena kubwa kabisa. hata akifa ni wewe jukumu lako kwenda kwa padri au mwalimu wa dini kumuomba aje aendeshe mazishi.
 
du! vioja vingi vinapatikana huko. Tuombe Mungu.

Ndiyo Caroline Danzi huku ni kuzuri sana tena sana tu ila kuna kitu kimeendelea baada ya uhuru kimetuathiri sana bila shaka hakikuwa kizuri. na huku kufunguka kunakoonekana sasa si kwa good will ya nchi yetu na watendaji wake ni demand ya dunia. Kwa hiyo karibu sana mambo huku hayako influenced na siasa za Tz tena na ndiyo maana unaona hata suala la umeme haliwagusi wa Mtwara.
 
kabla hatujarahumu tujaribu hili swala la saba saba ni lini mkuu?tupeane taarifa mapema.swala kubwa kabisa ambalo mm nalifahamu kwa watu wa kusini wanapenda sana mm kwanza ili mwingine aje kukuhabudia kwa kuomba msaada nasio kumpa njia za kimaendeleo.naomba sana tuwe na moyo wa upendo,kuthaminiana kwa kila jambo ambalo tunafanya nasio kumuacha mwezako anapotea .najuwa siri kubwa ya saba saba kufanya vizuri ilikuwa ushirikiano wa wanafunzi na walimu ambao tukuwa na lengo na nia

Heshimu Mkuu Wanan......kwanza hongera sana kwa kuonyesha upendo na shule yako ya sabasaba bila shaka nami ningesoma huko bila shaka nisingekosa lakini looh nilisoma kwingine......sijuwi na sisi wazee wa Golani (Chidya) tutakutana lini tukapige lizangati la kufa mtu.....

Kwenye issue yako ya kukosa kusaidiana sina hakika nayo pengine ni kweli maana naona wengi wakilalamikia cha ajabu sisikii wanaolalamikwa.
 
..pamoja na matatizo yote hayo Kusini ndiyo ngome ya CCM!!

..jifunzeni toka kwa wananchi wa Rombo, barabara wamejengewa lakini bado wameitosa CCM na fisadi wao Basil Mramba.

Hapana sidhani kama ni vyema kuliangalia suala hili kiitikadi za kisiasa kilichotuharibia zaidi ni hii tabia ya kujipendelea na kupendeleana ukiangalia hata sasa wakati tukiwa na ccm hiyo hiyo unaweza ona tofauti katika kusukuma maendeleo ya ukanda huu. Unakumbuka tulianza na mtwara Corridor kipindi cha Mkapa na sasa huyu Mtanzania aka Vasco Dagama amesitisha kila kitu. masikini watu walishahamishwa tena kwa fidia finyu kabisa kupisha upanuzi wa bandar lakini wapi hakuna kitu kimeendelea, barabara kakuta zimebaki kilomita 60 hadi leo zipo kama zilivyo. Na huu inaonekana kuwa ni mtazamo wa wengi huko mliko watanzania. Anyway ngoja tuendelee kuwachangia fedha kupitia TRA kama inavyoonyesha hapo juu.
 
Aridity ni suala la kuangalia chama mbadala chenye sera nzur hilo ni juu ya wananchi ndo maana ya multiparty na kuhusu suala la usomi kwa wagombea wa ccm hilo linajulikana kma kwel ww ni mwenyej wa mtwara kwan ccm hata ikimuweka mtu wa ovyo bado watu wanadai ndo chama kilichotulea,Tandahimba at least wameamka hawana mambo ya tunazika naye tumchague 2

Hapana siyo kweli fikiria zaidi ya hapa badala ya kuanza kujiona hufai na kujinyanyapaa.....maana wangekuwa hivyo wasingekuwa wanabadilisha wabunge kila mwaka ukiangalia hata wale walioshinda kwa kipindi cha pili kama Njwayo na Mkuchika walizua mgogoro hata ndani ya CCM yenyewe na kilichotokea kwa Hawa Ghasia mwenyewe unakijua kama mwenyeji wa Mtwara amenusurika kwa sababu ya kile kifo cha yule jamaa wa Nanyamba otherwise asingerudi mara hii.
 
Mimi nawashauri Watanzania muache kuchanganya uchumi na siasa. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.

Wazungu wameshaziona fursa za Mtwara na zimebainishwa kila pahala LAKINI NASIKITIKA WENYEWE HAMZIONI. jIULIZENI KWANINI WAZUNGU WANAWEKEZA KATIKA BANDARI NA gAS HUKO?

Ama kweli ndio maana mkaitwa WADANGANYIKA. Nyie mmekalia politics tu pasi kufikiria uchumi.

Poleni sana
 
We punainem inaelekea mitihan ulikua unafeli kwa kutosoma instructions kwa makin angalia column ya mwisho wameweka rank au hujui maana yake?chingas zenye hela zipo nying dsm esp wenye asil ya asia lkn hawakumbuk kwao akijitambulisha ujue kimaslah zaid kwa mbunge au wazir wa kusin.kila munu ave na kwao jaman
naona kama ranking ya mikoa ya Mara na Mwanza imekosewa kidogo,,,
 
Barubaru said:
Joka kuu,

Napenda kukujillisha si wote wanaochangia ni watanzania. Ila kwa kufuata sheria za nchi yenu kila mtu ana haki ya kuishi popote pale anachotakiwa kufuata ni kufuata sheria na kutovunja sheria. Si wote wanaoishi mtwara ni wamakonde, wamakuwa au wamachinga. Usishangae kuna wachaga, wahehe na hata wahaya kule wanaishi.

Mimi ninapo uzungumzia uchumi nimeubainisha wazi kuwa hata watu wa kawaida watapata ajira. mathalan ukianzisha viwanda kama saruji au madawa au chochote basi hata wazawa watapata kazi japo zile zinazolingana na visomo vyao hata zile za ulinzi, usafi na hata udereva n.k na hivo kuleta pato kwa wazawa.

Lakini pia nimekubainishia Zao la Ufuta na Mtama ambalo nakumbuka ni zao maarufu kule ni zao ambalo bei zake zipo juu sana ukilinganisha na maindi na Mpunga. Hivyo wana nafasi kubwa ya kupata kipato kikubwa na mazao kama korosho yote hayo yanawaingizia vipato vikubwa wakulima cha msingi ni serikali yenu kuwapelekea pembejeo kwa wakti muafaka ili waweze kupata mazao bora na bei nzuri ya bidhaa hizo.

Sasa lazima ujuwe kama Serikali yenu itakuwa makini na wawekezaji wameshaliona hilo na opportunity nyingi zilizopo huko na wameanza kuwekeza kama nilipokubainishia British gas Company na wengine. Nina hakika kubwa within two years MTWARA Itakuwa juu sana kiuchumi na nachelea kusema itakuwa tishio zaidi kwa Dar kama nchi yenu itakuwa imejipanga vizuri.

Kwani kama idara yenu ya mipango miji wakipanga vizuri mji huo kultenga maeneo ya viwanda na makazi bora kwa wnanchi basi mji huo utakuwa kama DOHA ya Qatar katika Tanzania. Cha msingi ni watu kuchangamka. Ni jana nilikuwa naongea na Mh Balozi Prof Abillahi huu ni mmakonde ( aliyekuwa mkuu wa chuo cha diplomasia huko Tanzania) alisema wazi mambo yamekucha sana huko na akaainisha kuwa kuna vyuo vingi tu mtwara kama SAUT, St Augustino, Madaktari, Ualimu, Ufundi, Utumishi wa umma. Na vile vile kuna Radio locals kama Pride na Safari FM, lakini pia kuna maji local kama Ndanda na makonde plateau pure drinking water na vile vile kuna burdan nzuri zinapatikana kwenye club nzuri yenye hadhi za kamataifa kama Makonde beach club.

Binafsi nafikiri nikija TZ nitapanga kutembelea huko. Kwani alibainisha kuwa hata usafiri umekuwa raisi sana kuna ndege kila siku mara mbili ndege ya 540 na precision.
Na Umeme ni wa uhakika sana kutoka Omoja lights.Hakuna mgawo.

Please weka nia kaangalie huko na muondoe jicho la husda kwani kupata kwa Mtwara ndio kukuza uchumi wa tanzania na kuwaondoeni katika lindi kubwa la umasikini.

Barubaru,

..wasiwasi wangu upo ktk ushiriki wa wazawa wa Mtwara ktk uchumi mpya wa eneo lao.

..vijana wazawa wa mikoa ya kusini wamekuwa wakikimbia kwao kuja DSM kufanya shughuli za uchuuzi. WHY? what are we doing, or what can be done to reverse this trend?

.. wazawa wa Mtwara na mikoa mingine ya kusini tuwafikirie kwa fursa kubwa zaidi ya kufanya ulinzi[wameshafanya sana shughuli hiyo in the 80s],usafi, udereva, umesenja na shughuli nyingine kama hizo. tuweke mipango ya hawa ndugu zetu kuweza kuwa waalimu, wahandisi, madaktari, wafamasia, wakulima wa kati na wakubwa, wamiliki wa viwanda na mahoteli etc etc.

..sisi wengine tunaweza kabisa kuchangamkia fursa zinazojitokeza huko kusini, lakini ifike mahali pia tuwafikirie na wale wenzetu ambao wako dis-advantaged.
 
Joka Kuu uko sahihi kabisa katika mawazo yako......nadhani kinachogomba hapo ni kwamba maneno yako yamekaa kisiasa zaidi maana ili mipango yako itekelezeke hicho unachokieleza inabidi kila kitu kibadilike kuanzia sera za kiuchumi zenyewe za nchi na dunia kwa ujumla, sera ya elimu biashara na masoko kitu ambacho kufikiria kwa namna hiyo hutakuja kufikia suluhisho hata kidogo.

Barubaru kama mchumi yeye analijua hilo....hutaweza kumlazimisha muwekezaji sasa kuajiri wazawa kwenye proffessional posts wakati hawana huo ujuzi. Lakini pia huwezi kumlazimisha mwenye chuo kikuu cha SAUTI na utumishi wa Umma kuchukua wazawa tu wakati hawana hata hiyo ada... au yule jamaa wa VETA pale wakati hawezi kupata hata ada kutoka kwa hao.

Watu wengi aidha kwa uvivu wa kufikiri au kwa makusudi wanakimbilia kulaumu wenyeji hasa kwenye mambo ya elimu kwa kulinganisha na maeneo mengine kama kilimanjaro nk bila hata kujua kuwa hao wanasafiria misingi iliyojengwa tangu zamani tena inawezekana waliojenga walitumia gharama kubwa sana bila hata hao wenyeji kujua......mifano tunayo wapo waliosomeshwa na mashirika ya dini bila hata familia zao kuchangia na hao hata hivi sasa familia zao zinaendele kusoma. Hizo fursa sasa hazipo unategemea wale waliotoka familia ambazo hakuna aliyepata fursa awali wataanzia wapi?.....kipato kinagomba.... kazi hamna mihogo, njugu, viazi, vitunguu, nazi, maembe, na machungwa hayana mnunuzi......Mwezi May ukitembelea vijijini unaweza kulia ukiona machungwa yanavyooza kule migombani, Nitekela nk.

Kuna approach nyingi lakini lazima tukubaliane kuwa ni ngumu sana unapoanzia from scratch ndiyo maana Barubaru anaamini hata hizo nafasi ndogo za ulinzi, udereva na ukarani zitawasaidia watu wa Mtwara kupata pa kuanzia kwanza kimapato na mentality/perspective maana kwa nini nikubebe miaka 20 nikiwa Dereva na nisifikirie siku moja mwanangu naye aje kubebwa hivyo!!!!.

Ukweli ni kwamba kuna tatizo lilitokea baada ya uhuru nina record wilayani kwetu kulikuwepo na wachache waliosoma kabla ya hapo akina Dr. halid, mtavala, Makame Rashid, Hao akina Lutavi, akina mbita sijuwi, akina Mkuchika lakini baada ya hapo hakuna aliyepata fursa ya kwenda shule hata kidogo milango ilifungwa au ilijifunga............hadi ikafunguka tena miaka ya hivi karibuni 1995..........na sasa from zero graduate per year sasa tupo wengi katika nyumba 10 za mtaani kwetu tupo zaidi ya graduate 5 kwa wilaya mzima idadi inaongezeka lakini tatizo linabaki kuwa kipato kinagomba wengi wanaishia kulia tu.

Ukweli haitakuja tukapata fursa kwa mtindo unaozungumzia wewe maana kipindi cha serikali kufanya kila kitu umepita sasa kinachoweza kutusaidia ni kuweka mazingira ikiwa ni pamoja na miundo mbinu iliyobora ndiyo maana nikahoji je kigezo kimebadilika maana zamani miundombinu haikuelekezwa huku kwa kuwa tulikuwa tunachangia kidogo kwenye pato la taifa je sasa ambapo tuna-rank 7th mbona sioni serikali ikigeuzia macho kusini kwa kasi ile ile iliyokupa kisogo enzi hizo????.
 
naona kama ranking ya mikoa ya Mara na Mwanza imekosewa kidogo,,,

Atina rekebisha hapo then rudi kwenye concept uchangie mada...........iweje mchango wa mapato ya serikali kupitia TRA umeongezeka sana hata mkoa unarank 7th lakini GVT ya Tanzania haigeukii huko kama ilivyokupa kisogo miaka yote kwa kigezo cha kuwa na mchango mdogo katika pato la Taifa???.
 
Mimi nawashauri Watanzania muache kuchanganya uchumi na siasa. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.

Wazungu wameshaziona fursa za Mtwara na zimebainishwa kila pahala LAKINI NASIKITIKA WENYEWE HAMZIONI. jIULIZENI KWANINI WAZUNGU WANAWEKEZA KATIKA BANDARI NA gAS HUKO?

Ama kweli ndio maana mkaitwa WADANGANYIKA. Nyie mmekalia politics tu pasi kufikiria uchumi.

Poleni sana

Ni kweli Barubaru ukiangalia sababu za serikali hii ya awamu ya 4 kupiga teke development program kama ya Mtwara corridor wala huwezi kujua kutoendelea kukamilisha ujenzi wa barabara inayounganisha na mozambique ambayo daraja liko tayari huwezi kujuwa kutosambaza umeme ambao uko tayari na unahitaji watumiaji tu huwezi kujua.........sababu za kutojenga bara bara inayounganisa Port na maeneo ya uzalishaji kama Tandahimba na Newala huwezi kujua!!!!!!! yaani ni siasa tu.
 
bongo kila sehemu pako bomba tu tatizo tumelogwa na mlozi alishakufa kitaambo sana..
 
AridityIndex said:
Joka Kuu uko sahihi kabisa katika mawazo yako......nadhani kinachogomba hapo ni kwamba maneno yako yamekaa kisiasa zaidi maana ili mipango yako itekelezeke hicho unachokieleza inabidi kila kitu kibadilike kuanzia sera za kiuchumi zenyewe za nchi na dunia kwa ujumla, sera ya elimu biashara na masoko kitu ambacho kufikiria kwa namna hiyo hutakuja kufikia suluhisho hata kidogo.

Barubaru kama mchumi yeye analijua hilo....hutaweza kumlazimisha muwekezaji sasa kuajiri wazawa kwenye proffessional posts wakati hawana huo ujuzi. Lakini pia huwezi kumlazimisha mwenye chuo kikuu cha SAUTI na utumishi wa Umma kuchukua wazawa tu wakati hawana hata hiyo ada... au yule jamaa wa VETA pale wakati hawezi kupata hata ada kutoka kwa hao.

Watu wengi aidha kwa uvivu wa kufikiri au kwa makusudi wanakimbilia kulaumu wenyeji hasa kwenye mambo ya elimu kwa kulinganisha na maeneo mengine kama kilimanjaro nk bila hata kujua kuwa hao wanasafiria misingi iliyojengwa tangu zamani tena inawezekana waliojenga walitumia gharama kubwa sana bila hata hao wenyeji kujua......mifano tunayo wapo waliosomeshwa na mashirika ya dini bila hata familia zao kuchangia na hao hata hivi sasa familia zao zinaendele kusoma. Hizo fursa sasa hazipo unategemea wale waliotoka familia ambazo hakuna aliyepata fursa awali wataanzia wapi?.....kipato kinagomba.... kazi hamna mihogo, njugu, viazi, vitunguu, nazi, maembe, na machungwa hayana mnunuzi......Mwezi May ukitembelea vijijini unaweza kulia ukiona machungwa yanavyooza kule migombani, Nitekela nk.

Kuna approach nyingi lakini lazima tukubaliane kuwa ni ngumu sana unapoanzia from scratch ndiyo maana Barubaru anaamini hata hizo nafasi ndogo za ulinzi, udereva na ukarani zitawasaidia watu wa Mtwara kupata pa kuanzia kwanza kimapato na mentality/perspective maana kwa nini nikubebe miaka 20 nikiwa Dereva na nisifikirie siku moja mwanangu naye aje kubebwa hivyo!!!!.

Ukweli ni kwamba kuna tatizo lilitokea baada ya uhuru nina record wilayani kwetu kulikuwepo na wachache waliosoma kabla ya hapo akina Dr. halid, mtavala, Makame Rashid, Hao akina Lutavi, akina mbita sijuwi, akina Mkuchika lakini baada ya hapo hakuna aliyepata fursa ya kwenda shule hata kidogo milango ilifungwa au ilijifunga............hadi ikafunguka tena miaka ya hivi karibuni 1995..........na sasa from zero graduate per year sasa tupo wengi katika nyumba 10 za mtaani kwetu tupo zaidi ya graduate 5 kwa wilaya mzima idadi inaongezeka lakini tatizo linabaki kuwa kipato kinagomba wengi wanaishia kulia tu.

Ukweli haitakuja tukapata fursa kwa mtindo unaozungumzia wewe maana kipindi cha serikali kufanya kila kitu umepita sasa kinachoweza kutusaidia ni kuweka mazingira ikiwa ni pamoja na miundo mbinu iliyobora ndiyo maana nikahoji je kigezo kimebadilika maana zamani miundombinu haikuelekezwa huku kwa kuwa tulikuwa tunachangia kidogo kwenye pato la taifa je sasa ambapo tuna-rank 7th mbona sioni serikali ikigeuzia macho kusini kwa kasi ile ile iliyokupa kisogo enzi hizo????.

AridityIndex,

..labda hujanielewa, but let me try one more time, then you can tell me why I am wrong.

..mimi sisemi wawekezaji walazimishwe kuajiri wazawa ambao hawako qualified au ni under qualified.

..pia hakuna mahali nimeelekeza kwamba vyuo vya elimu ya juu vichukue wanafunzi ambao hawana sifa.

..ninachopigania mimi ni kuwepo kwa mipango ambayo ita-reduce educational achievement gaps kati ya hii mikoa ya kusini vs maeneo mengine ya Tanzania. kwanini shule bora ziwepo dsm,kilimanjaro,mbeya,na kagera?

..binafsi nimesoma na watu wa kusini, na wengine toka mikoa ya pembezoni, wana akili kama wa-Tanzania wenzao wengine. wakiweka mazingira bora watafanya vizuri.

..kingine ninachopigania ni kuwepo kwa sera na mipango ambayo itawezesha kuboreshwa kwa hali za maisha za wakulima wa maeneo ya kusini. tuhakikishe kwamba wanapatiwa pembe jeo, mbegu bora, maghala ya uhifadhi, mafunzo ya ukulima na ufugaji bora,masoko ya uhakika etc etc.

..tuhakikishe kwamba mkulima wa kusini halimi tena kwa kujikumu kwa chakula, bali analima kwa chakula na ziada anauza na kujipatia mapato ya kufanya shughuli nyingine za maendeleo.

..mkulima wa kusini akishaweza kuuza na kujipatia akiba, hapo ndipo atakapoweza kutamani mambo mengine kama elimu kwa watoto, nyumba bora, umeme na maji ndani ya nyumba,etc etc.

..ni kweli kila mtu inabidi abadilike[attitude change] kuanzia wananchi wa kusini wenyewe, watendaji na viongozi wa serikali,vyama vya siasa na kijamii etc etc.

..najua huko Kusini mmepigika mno kiasi kwamba mnadhani ni lazima mchukue BABY STEPS au MBEMBELEZE serikalini ndyo maendeleo yapatikane.

NB:

..hata kule kaskazini I am very uncomfortable with the fact kwamba shule zinazofanya vizuri zimejaa watoto wa wakubwa walioko DSM wakati wazawa wanaoishi karibu na shule hizo wameachiwa nafasi chache tu.
 
Nimekuelewa mheshimiwa JokaKuu ndiyo maana niliappreciate mchango wako lakini tungeenda mbali kidogo katika kuweka theory into practice utaona mambo mengi hapo hayawezi yakatekelezwa na serikali moja kwa moja haya yale yanayohusu kipato cha mtu mmoja mmoja na maisha yake kwa ujumla inategemea zaidi wawekezaji wadogo watu binafsi na taasisi maana serikali imejitoa katika huduma nyingi. Masoko ya bidhaa kama mtama, mihogo, ufuta, mbaazi, njugu, karanga, yatategemea zaidi wawekezaji wa namna hiyo na obviously hawa watafuata pahala penye maji, umeme, na connection mzuri ya barabara na usafiri mwingine na haya yote ndiyo tunayowadai serikali hii inayochukua kodi na kila kitu chetu bila ku-reinvest.

Ni kweli tumepigika lakini pia tumepigishwa.......tembelea Mtwara maeneo kama maghalani utagundua haya nisemayo uchumi ulikuwa unatembea vizuri enzi hizo na ndiyo maana utaona uwekezaji uliofanyika kule lakini something wrong had happened after independence na wa sasa wanaendeleza. Pamoja na kukubaliana na wewe katika strategies za kuinua kilimo lakini tatizo la Mtwara na Lindi si la kiuzalishaji sana, ndiyo maana husikii serikali ikileta misaada ya chakula huku kila mara inapotokea njaa, ila hakuna masoko ya kile kinachozalishwa mihogo, mtama, ufuta, ulezi, Machungwa, Maembe, korosho nk na hivyo mara zote haya yanawa discourage wananchi na vijana wengi wanahama huku kwa sababu hiyo siyo kama ni wavivu. Mapendekezo ya hatua za kiuchumi kama alivyoeleza Barubaru ingeweza kusaidia kwenye hizo sector nyingine maana ingeongeza demand ya bidhaa hizi zinazozalishwa. serikali ikianza ku-mfocus mtu mmoja mmoja itakosea kama inavyoendelea kukosea kwenye mipango ya pembejeo ya ruzuku na matractor madogo (power tillers) crazy.
 
Barubaru,

..wasiwasi wangu upo ktk ushiriki wa wazawa wa Mtwara ktk uchumi mpya wa eneo lao.

..vijana wazawa wa mikoa ya kusini wamekuwa wakikimbia kwao kuja DSM kufanya shughuli za uchuuzi. WHY? what are we doing, or what can be done to reverse this trend?

.. wazawa wa Mtwara na mikoa mingine ya kusini tuwafikirie kwa fursa kubwa zaidi ya kufanya ulinzi[wameshafanya sana shughuli hiyo in the 80s],usafi, udereva, umesenja na shughuli nyingine kama hizo. tuweke mipango ya hawa ndugu zetu kuweza kuwa waalimu, wahandisi, madaktari, wafamasia, wakulima wa kati na wakubwa, wamiliki wa viwanda na mahoteli etc etc.

..sisi wengine tunaweza kabisa kuchangamkia fursa zinazojitokeza huko kusini, lakini ifike mahali pia tuwafikirie na wale wenzetu ambao wako dis-advantaged.

Joka kuu naona bila shaka roho yako imejaa husda na choyo kama sio ubaguzi na dharau kwa jamii ya watu wa kusini mwa nchi yenu.

Nasema hivyo ni kwa sababu ni kuwa Tanzania ni ya wote na hakuhitaji work permit kwa mchaga/ msukuma kuishi au kufanya kazi Mtwara. halikadhalika kwa yoyote. Upande wangu nikisema mzawa nachukulia waTZ wote kwa ujumla wenu bila kujali huyu mchaga, mhaya au mmakonde. naomba unielewe kwa hilo.

Na ninaposema uchumi wa TZ unashikiliwa na kuendeshwa na wageni ( wazungu, waasia na wenye asili ya Znz) kwa zaidi ya 60% namaanisha watanzania wote kabisa.

Lakini kwa kukusaidia watu wengi wanakimbilia Dar au mijini kijumla ni kwa sababu Serikali imewekeza sana kwenye miji na sio vijijini. Utaona vijijini hakuna maji safi, hakuna umeme, hakuna hospitali na shule nzuri, hakuna miundombinu bora ya mawasiliano kama simu na barabara. Hivi ni vichocheo vikuu vinavyowafanya vijana wengi wakimbilie mijini.

Nimebainisha toka awali kuwa kama Serikali itaviweka hivyo vyote kama barabara nzuri, Njia bora za mawasiliano ya simu na data, Hospitali nzuri, Huduma za kijamii kama hospitali n.k na vile umeme wa uhakika basi kila mtu atakimbilia Mtwara.

Na nimebainisha wazi sasa hivyo vitu vipo Mtwara kwa mujibu wa Balozi Abillahi, Na hivyo vimewafanya wawekezaji wengi kutoka nje ya Tz kuja kuwekeza Mtwara hususan katika gas na mafuta lakini pia upanuzi wa bandari.

Kutokana na uwekezaji huo hata Serikali yenu na watu binafsi wamewekeza katika hivyo vyuo mbalimbali na mundombinu bora ya mawasiliano kama barabara na mahoteli na hata simu na data bila kusahau vyombo vya habari ambavyo nimevitaja hapo awali. Hivyo vyote ni vichocheo vya kuwarudisha hata wale wazawa kwao.

Ndio maana nikasema katika next three year . MTWARA utakuwa tishio sana kiuchumi nyuma ya Dar. Nakuulize JE MTWARA KUNA MGAWO WA UMEME? fuatilia hilo kisha nijibu.

nakushauri msibaguane wote nyie ni watanganyika, Watanzania.

Kumbuka siu zote mji unajengwa na wageni wenyeji wanamalizia. Mfano Arusha imejikita zaidi na wafanyabiashara wengi ni wachaga, vipi wamasai wapo wapi? nenda tabora, mwanza na popote pale uangalie wazawa na maendeleo yao kisha nijuze labda siku hizi kuwe na mabadiliko.

Kila l a heri
 
..hujanielewa.

..soma vizuri nilichoandika.

..contrary to your accusations, mimi napigania Tanzania yenye haki na usawa ambapo everybody has a shot at achieving his/her fullest potential.

..AridityIndex, aliyeanzisha mada hii, ni mwenyeji wa kusini. yeye amenielewa na hajaona ubaya[husda,choyo,dharau] wowote ule wa ktk kile nilichoandika.

..tujielekeze ktk kuelimishana na siyo kutuhumiana kiujumla-jumla.
 
Nafikiri tuna uchambuzi tofauti sana. Mimi nachambua kiuchumi zaidi na kuhamasisha waTz wote lakini wewe unachambua kisiasa na mtazamo wako kwa watu wa kusini zaidi ambao umewaita wazawa,

Hakika hizi ni tofauti sana kiuchambuzi, nami kwa kuligundua hilo napenda kumaliza kwa kukwambia. WaTZ mchangamkie fursa hizo bila kujali makabila yenu, dini zenu wala itikadi zenu za kisiasa. Kwani fura hizo ni za kiuchumi kitu aambacho akiambatani kabisa na dini, siasa wala ukanda.

Naamini kabisa kama mtachangamkia basi mtafanya vizurio na hata kuongeza wigo wa umiliki wa Uchumi wenu wa nchi wenyewe bila kutegemea wageni kuwaongoza katika kumiliki uchumi wenu.

Kumbukeni kuwa nchi nyingi za gulf zimejaaliwa mafuata na si wengi wa watu wake wasomi. lakini kwa matumizi mazuri ya sera na uchimbaji zimeweza kuendelea kiuchumi kuliko hata nchi za Ulaya na zinajitegemea.

Mtwara wana Gas na mafuta navyo kama vitasimamiwa vizuri na nchi basi nafikiri zitawatoa kiuchumi na kuondoka kuwa miongoni mwa nchi masikini sana duniyani.

lakini haya hamuwezi kuyafikia kwa kubaguana kidini au kimakabila,
Kila la kheir
 
Kinachotakiwa kufanywa ni kwenye katiba mpya kuainishwa kinagaupaga mgawanyo wa mapato kwa serikali kuu na serikali za mitaa(ie mikoa,wilaya,kijiji) na ni asilimia ngapi za mapato yakusanyayo yaende kwenye maendeleo bila hivyo Dar itaendelea kufaidi rasilimali za nchi nzima.
Pia kuimarisha check points katika mikoa
 
Hata mkifanya hivyo bila usimamizi mzuri wa rasilimali hizo na mapato hayo. Mnarudi kule kule kuwa wasindikizaji wa Uchumi kama mlivyo sasa.

nchi yenu, madini yenu, lakini uchumi wenu nyie mnakuwa wasindikizaji wakuu. sababu kuu ni kukosa uzalendo.

Poleni
 
Back
Top Bottom