Hapo kny red sikubaliani na wewe hata kidogo, suala la vijana kukimbilia Dsm ni la kitaifa, sidhani kama kuna mkoa Tz hii hauna vijana Dsm, au unataka kuniambia umefanya utafiti na kugundua kwamba asilimia kubwa ya vijana walioko Dsm wanatoka Mtwara?Barubaru,
..wasiwasi wangu upo ktk ushiriki wa wazawa wa Mtwara ktk uchumi mpya wa eneo lao.
..vijana wazawa wa mikoa ya kusini wamekuwa wakikimbia kwao kuja DSM kufanya shughuli za uchuuzi. WHY? what are we doing, or what can be done to reverse this trend?
.. wazawa wa Mtwara na mikoa mingine ya kusini tuwafikirie kwa fursa kubwa zaidi ya kufanya ulinzi[wameshafanya sana shughuli hiyo in the 80s],usafi, udereva, umesenja na shughuli nyingine kama hizo. tuweke mipango ya hawa ndugu zetu kuweza kuwa waalimu, wahandisi, madaktari, wafamasia, wakulima wa kati na wakubwa, wamiliki wa viwanda na mahoteli etc etc.
..sisi wengine tunaweza kabisa kuchangamkia fursa zinazojitokeza huko kusini, lakini ifike mahali pia tuwafikirie na wale wenzetu ambao wako dis-advantaged.
Hapo kny red sikubaliani na wewe hata kidogo, suala la vijana kukimbilia Dsm ni la kitaifa, sidhani kama kuna mkoa Tz hii hauna vijana Dsm, au unataka kuniambia umefanya utafiti na kugundua kwamba asilimia kubwa ya vijana walioko Dsm wanatoka Mtwara?
AridityIndex, ni kweli Mtwara ni mkoa ambao una fursa nyingi za kimaendeleo na unachangia asilimia kubwa katika pato la Taifa hili, na kwa sasa kwa kweli wawekezaji wengi wamewekeza Mtwara, subiri zile kilometa 60 za barabara zilizobaki ziishe ndio utaona jinsi watu watakavyokuwa wanamiminika huko kwa biashara mbalimbali, am from Mtwara too
Kuna ndege ya 540 inakwenda mara mbili kila siku .
Aine said:Hapo kny red sikubaliani na wewe hata kidogo, suala la vijana kukimbilia Dsm ni la kitaifa, sidhani kama kuna mkoa Tz hii hauna vijana Dsm, au unataka kuniambia umefanya utafiti na kugundua kwamba asilimia kubwa ya vijana walioko Dsm wanatoka Mtwara?
AridityIndex, ni kweli Mtwara ni mkoa ambao una fursa nyingi za kimaendeleo na unachangia asilimia kubwa katika pato la Taifa hili, na kwa sasa kwa kweli wawekezaji wengi wamewekeza Mtwara, subiri zile kilometa 60 za barabara zilizobaki ziishe ndio utaona jinsi watu watakavyokuwa wanamiminika huko kwa biashara mbalimbali, am from Mtwara too
Aine,
..
..kweli vijana toka nchi nzima wanakimbilia mijini kutafuta maisha bora. this is a time ticking bomb, wataalamu wa uchumi wanaielezea hali hiyo kama "urbanization without industrialisation."
..kwa hapa Tanzania tatizo la vijana kukimbilia mijini ni kubwa zaidi kwa mikoa ya kusini, kuliko maeneo mengine ya nchi yetu. ndiyo maana imefikia vijana hao kupewa jina "wamachinga" ambalo lina asili ya mikoa ya kusini.
..sasa ukizingatia kwamba mikoa ya kusini imeanza kuchangia zaidi ktk pato la taifa ndiyo maana nimeshauri kwamba ni vizuri serikali na wadau wengine wakajielekeza ktk kuboresha hali za maisha na huduma za kijamii ktk mikoa ya kusini ili kupunguza kasi ya vijana wenyeji wa huko kukimbilia mijini kutafuta maisha bora.
..wapo wanaofikiri wajibu wa serikali kwa wananchi wa Tanzania, and in this discussion wananchi wa kusini, unakomea ktk kujenga miundo mbinu tu. that is the message I am getting frm some of the contributions in this thread. serikali lazima iende zaidi ya hapo kwa kuhakikisha kwamba wananchi wa kusini ni WASHIRIKI na siyo WATAZAMAJI ktk uchumi mpya wa eneo hilo.