hawa hawakuwepo?Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa
Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.
Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .
mkuu, askari wataongezwa hasa wale walioko DRC na Dafur wakirejea hivyo kudhibiti hii hali.Likijengwa watakua wanalitoboa kama yale ya mafuta nigeria
Gari la kubeba mabomba limeshambuliwa huko Mtwara na liko katika kituo kikuu cha Polisi. Vioo vya mbele vimevunjwa/pasuliwa
Hii ni hatari na ishara mbaya kwa taifa cha msingi ni kukaa na wananchi kujadili na kufikia muafaka kwa faida ya miaka ijayo kutumia nguvu katika hili jambo nii giza huko mbele.
Mungu shusha hekima kwa wababe wa mamlaka .
Wakuu hii salute ya katikati ya paji la uso ni MPYA, hii inatumika wapi duniani? ni kosovo ama? aisee nimeupenda huu ubunifu wa Green Guards aka wajasilia.hawa hawakuwepo?
Pasco amesalimika? Yeye ndiye alikuwa msindikizaji wa mzigo huo haramu kwa mujibu wa wana mtwara.