Mtwara corridor imefia wapi?

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,939
594
Naomba kujua kwa anaefahamu Mradi ule mkubwa wa reli kutoka Mtwara kuelekea nchi jirani kupitia Songea, Njombe nk ulifia wapi?

Au umehamishiwa standard geji?
 
Back
Top Bottom