Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,801
- 69,032
Basi nauza napkin na pampasi za watu wazima.
Hayaa anza kuuza aiseee na majeneza uza piaaa kuna watu wqtakufaa
Basi nauza napkin na pampasi za watu wazima.
Kumekucha
Kumpigia kura kwa tuzo 3 link hii ya
Kupiga kura kila kategori bila mara nyingi
MAMA 2015
View attachment 263204
Ukitumia email kujiunga unapiga hadi unachoka...
Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha ha Neyo atajuta.
Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha ha Neyo atajuta.
nimeshafanya yangu mbona ataomba collable mwenyewe
Hayaa anza kuuza aiseee na majeneza uza piaaa kuna watu wqtakufaa
Hii ni nafasi ya kipekee kwa diamond akiweza kumpata Neyo kwenye collabo ya show..basi watakwenda kwenye collabo binafsi na rasmi ataanza collabo na wasanii wakubwa marekani kupitia Neyo!
Hii ni njia pekee ya Diamond kuanza kuiteka U.S.A...
Diamond platnumz aka chibu dangote anazidi kung'ara kila kukicha kutokana na ubora anaouonyesha kwenye kazi yake na kuwa wakipekee sana barani hasa linapokuja suala la utumbuizaji..
Ukiachana na show ya road to mama ambapo diamond anatarajiwa kutoa burudani Nigeria 3, jully diamondplatnumz amezidi kupata shavu kwa kuchaguliwa kuwa ataperform pamoja na Neyo kwenye stage siku ya utoaji wa tuzo za Mtvmama2015... Na hii ni dhahiri kwamba moja ya tuzo anayogombea "best live" ni yake anasubiri tu kupewa..
Vipi wadau mnahisi patachafukaje sikuhiyo wanyama wawili hawa wakikutana??
Tusisahau pia kumtendea haki kijana
Hivi wale majizi ya nyimbo wamo humu kweli?
Hivi wadau mmeiona page ya davido ilivyovamiwa na wabongo leo baada ya kupost fans me imefikisha views milioni kwa siku kumi tu hahahahahaha nimewanyooshea mikono team wasafi hawafaiiiii davido ilibidi abadili akafuta tu hiyo siku kumi maana watu walikuwa wamekamia sio siku 10 ni 15 na kusema dangote kamnyoosha kwa siku 12 tu... daah kaka wa watu anashida