Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo
baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye
MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha
ha Neyo atajuta.
Yupo kwenye mfungo wa ramadhani!
Aisee wabongo ni watu wa ajabu sana kwenye social network, utakuta hapohapo wanaanza kutukanana kwa broken english kwa sababu ya hizi timu, wacha nivumilie kuwa mtanzania
nifah nauza malimao
sasa naanzaje kutokua shabiki wa diamond kwa mfano?
Daah wabongo kama kawaida yao wamevamia page ya Neyo
baada ya kupost july 18 atakua akipafomu kwenye
MTVawards 2015,kila comment anatajwa diamond.ha ha
ha Neyo atajuta.
Ha ha ha duuh, kuiteka marekan na kitorondo?
kwani kinachoshndkana ni nini kwa mfano? Be serious kijana huku USA hawakariri maisha brother wao huangalia nani kaja na style tofauti na radha tofauti, all they need is dfrnt radha, so wakivutiwa na kitoronto atawateka pia, and keep this in your mind frnd huku watu wanapnda zaid african style like that of diamond.
Ha ha ha duuh, kuiteka marekan na kitorondo?
Ila Ne-yo si chakula cha bwana? Asije kumshawishi ndomo kujiunga kwenye hiyo movement. ..imenifika hapaaa (sound brown voice)
Ila Ne-yo si chakula cha bwana? Asije kumshawishi ndomo kujiunga kwenye hiyo movement. ..imenifika hapaaa (sound brown voice)
Hii ni nafasi ya kipekee kwa diamond akiweza kumpata Neyo kwenye collabo ya show..basi watakwenda kwenye collabo binafsi na rasmi ataanza collabo na wasanii wakubwa marekani kupitia Neyo!
Hii ni njia pekee ya Diamond kuanza kuiteka U.S.A...
nifah nauza malimao