Sina uhakika sana na music videos ile non stop kama zamaniKwani BET na MTV bado walikuwa wanaonyesha music videos?
Nilishaacha kuangalia hizo chaneli zamani sana.
Hata subscription ya cable na satellite sina.
Sijaelewa rafiki, yaani CNN iwe inapatikana kwenye simu? Meaning Tv zinaenda kufa?Hata kina CNN, DW, BBC nk wasipoendana na kasi ya mabadiliko watatundika viatu muda si mrefu
Kunaitwa kujivua gambaMTV is ending its dedicated music channels (like MTV Music, 80s, 90s, Live) by December 31, 2025, shifting focus to digital and reality programming as music consumption moves online, marking the close of a 44-year era of music television, though the main MTV channel and U.S. presence remain for now, evolving from music videos to entertainment.
Kwasasa TV ni almost zimekufa.. China TV hazina dili tena! Hata hapa kwetu hebu angalia mfano taarifa za habari.. Yaani unakuwa umeshapata kila kitu kwenye simu tena kwa ukubwa wakeSijaelewa rafiki, yaani CNN iwe inapatikana kwenye simu? Meaning Tv zinaenda kufa?
What is the difference betwen music video and entertainment ? Is this not tautology..what I mean is music video is for entertainment! Nielimishe watu8.MTV is ending its dedicated music channels (like MTV Music, 80s, 90s, Live) by December 31, 2025, shifting focus to digital and reality programming as music consumption moves online, marking the close of a 44-year era of music television, though the main MTV channel and U.S. presence remain for now, evolving from music videos to entertainment.
Cable na satellite Tv yaani hizi kupitia ving’amuzi zinaelekea kufutikaSijaelewa rafiki, yaani CNN iwe inapatikana kwenye simu? Meaning Tv zinaenda kufa?
Hivyo sio vyombo vya vedio za muzikiHata kina CNN, DW, BBC nk wasipoendana na kasi ya mabadiliko watatundika viatu muda si mrefu
Navuta hisia Kila napoandika VESI"Yo! MTV Raps" Hiyo 1988 -1990 tunaangalia kwenye VHS tapes LL Cool J anashuka kwenye Limousine ana rap "I Need Love", mambo ya X CLan, DJ Premier na Guru wa Gangstarr, Leaders of The New School wakiwa na Busta Rhymes, Digital Underground Shock G ana mu introduce dogo mmoja anaitwa Tupac Shakur, Tupac hata hajulikani hapo.
Ukute shows za Fab Five Freddy, Ed Lover, Dr. Dre wamekupangia ngoma za Wanyamwezi kutoka New York mpaka LA, umkute DJ Kid Capri ana scratch, umkute KRS-One na Scot La Rock, umkute Chubb Rock ana flow nonstop, umkute Big Daddy Kane ana flow kama hana akili nzuri, uwakute NWA wana rep West Coast, utafurahi mwenyewe hapo.
Na sisi tukachukua inspirations na DJ Kim Mgomelo wa Kim and The Boyz tukaanzisha mashindano ya Yo! Rap Bonanza Dar es salaam miaka ya mwanzo ya 1990.
Na ITV ilipoanza Tanzania ikaanzisha shooting za video za muziki wa Hip Hop na watu kama Kwanza Unit, Hard Blasterz, Sossy B, Dar Young Mob, Deeplowmatz etc kwa kufuata mfano wa MTV.
MTV imetupa memories nzuri sana.
Nina miaka zaidi ya 20 sijaangalia MTV.
Nilikuwa hata sijui kama bado ipo.
Nadhani MTV ilianza kupoteza umaarufu na ushawishi wake kwenye miaka ya mwisho ya 90.
Na ujio wa BET’s 106 & Park ulisaidia kuififisha hiyo MTV.
Hata hivyo, MTV ina mchango mkubwa sana katika Hip-Hop.
Ted Demme ndo aliyeanzisha Yo! MTV Raps.
Ed Lover na Dr. Dre wakaipaisha Yo! MTV Raps.
Hip-Hop ndo iliyoipa chati MTV.
Hopefully kabla hawajafunga kabisa virago vyao watafanya tamasha kama alivyofanya Arsenio Hall….kuwakusanya wasanii wengi wa kipindi hicho na kufanya bonge la tamasha la kufunga stesheni.
Legendary moment!
Nope, umechanganya mambo. Paramount hainunuliwi na Neflix bali ilishauzwa kwa SkyDance Media. Netflix na Skydance Media wako kwenye vita kali ya kugombea kuinunua Warner Discovery ambayo ndio yenye hizo channels ulizozitaja hapo chini.BET nayo wanafuata kwa Afrika na baadhi ya sehemu za Ulaya
Wamiliki wa MTV na BET ni Paramount ambayo inaenda kununuliwa na Netflix
Content zao zitapatikana huko
Channel nyingine za CNN, Discovery, TNT, Cartoon Network nazo zinafuata
DSTv wametangaza kuzifunga kuanzia 1 January
David Ellison will never do that.Nina miaka zaidi ya 20 sijaangalia MTV.
Nilikuwa hata sijui kama bado ipo.
Nadhani MTV ilianza kupoteza umaarufu na ushawishi wake kwenye miaka ya mwisho ya 90.
Na ujio wa BET’s 106 & Park ulisaidia kuififisha hiyo MTV.
Hata hivyo, MTV ina mchango mkubwa sana katika Hip-Hop.
Ted Demme ndo aliyeanzisha Yo! MTV Raps.
Ed Lover na Dr. Dre wakaipaisha Yo! MTV Raps.
Hip-Hop ndo iliyoipa chati MTV.
Hopefully kabla hawajafunga kabisa virago vyao watafanya tamasha kama alivyofanya Arsenio Hall….kuwakusanya wasanii wengi wa kipindi hicho na kufanya bonge la tamasha la kufunga stesheni.
Inamaanisha content zitakuwa zinapatikana online through streaming and other means. Ndio maana kuna smart tv siku hizi. Mambo ya dish na antena yanaenda kufa.Sijaelewa rafiki, yaani CNN iwe inapatikana kwenye simu? Meaning Tv zinaenda kufa?
Angaliza, huyo Dr Dre wengi watajua ni yule Dr Dre na Snoop DoggNina miaka zaidi ya 20 sijaangalia MTV.
Nilikuwa hata sijui kama bado ipo.
Nadhani MTV ilianza kupoteza umaarufu na ushawishi wake kwenye miaka ya mwisho ya 90.
Na ujio wa BET’s 106 & Park ulisaidia kuififisha hiyo MTV.
Hata hivyo, MTV ina mchango mkubwa sana katika Hip-Hop.
Ted Demme ndo aliyeanzisha Yo! MTV Raps.
Ed Lover na Dr. Dre wakaipaisha Yo! MTV Raps.
Hip-Hop ndo iliyoipa chati MTV.
Hopefully kabla hawajafunga kabisa virago vyao watafanya tamasha kama alivyofanya Arsenio Hall….kuwakusanya wasanii wengi wa kipindi hicho na kufanya bonge la tamasha la kufunga stesheni.
BBC ni kama TBCHata kina CNN, DW, BBC nk wasipoendana na kasi ya mabadiliko watatundika viatu muda si mrefu
Offer ya Netflix kubwa na haihusishi media zingine kama CNN,wao wanataka Paramount tu vingine wawaachie pamoja na franchise za movies,ila trump na genge lake ndiyo wanataka inunua Warner brothers yote ikiwemo CNN Ili akomeshe viranga, maana haipendi CNNNope, umechanganya mambo. Paramount hainunuliwi na Neflix bali ilishauzwa kwa SkyDance Media. Netflix na Skydance Media wako kwenye vita kali ya kugombea kuinunua Warner Discovery ambayo ndio yenye hizo channels ulizozitaja hapo chini.