PreGE2025 Mtutura: ACT haijasajiliwa ili iwe mapambio kwa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitamani ACT Wazalendo kisusie uchaguzi, ili waweze kushinda kwa urahisi, lakini ACT imekataa na kuamua kuwakabili vilivyo.

Akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mtina, kata ya Mtina, wilaya ya Tunduru, Jimbo la Tunduru Kusini mkoani Ruvuma, mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kupitia ACT Wazalendo, Mtutura amesema ACT Wazalendo siyo chama cha mapambio kwa CCM hivyo wameamua kukabiliana nao vilivyo.

Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Mtutura amesisitiza dhamira yake ya kuleta mabadiliko katika jimbo la Tunduru Kusini.

Amesema kuwa ACT Wazalendo imejipanga vizuri na itaendelea kuwa sauti mbadala dhidi ya kile alichokielezea kuwa ni "mamlaka ya mabavu ya CCM" kwenye maeneo ya uchaguzi.
 
ZERO BRAIN HY
 
Bila reforms asahau kuingia bungeni kihalali.
 
View attachment 3318377
. Chadema wanamkimbia mama . 5 tena
 
Back
Top Bottom