Mkuu, hicho kingine kinaitwa malaika wa shetani. It is true, ukianza kusoma hutotaka kuacha, ndo maana huwa sisomi kwenye daladala, lazima utapitishwa kituo tu, yaani lazima upende usipende
ndiye huyu aliandika kitabu kiitwacho 'simu ya kifo'?
Huyu si ndo yule aliyeandika za willy gamba?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Huyu si ndo yule aliyeandika za willy gamba?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu, hicho kingine kinaitwa malaika wa shetani. It is true, ukianza kusoma hutotaka kuacha, ndo maana huwa sisomi kwenye daladala, lazima utapitishwa kituo tu, yaani lazima upende usipende
Yupo na huyu Hussen Issa Tuwa sijui badao yupo hai.? Kuna hadithi zake nimewai kuzisoma kama mdunguaji,mkimbizi na nyingine nimeisahau.huyu jamaa ni mtunzi wa ukweli.
lazima ufe joram,dah kakakuona ndani ya movie hilo,na mtoto mzuri nuru,nadhani uataratibu ufanykie na haki zote kuzingatiwa ili hivi vitabu vichezwe movies
Absolutely, Ben Mtobwa ni marehemu, vitabu vyake vipo kwa wingi tu bookshops, pale Dar duka la TPH mtaa wa Samora.
Arusha vipo pale Book Point karibu na St Thomas Hospital; tena kipo hata kile anachozungumzia jinsi alivyokuwa mahabusu baada ya kuzingiziwa kesi
Kinaitwa Mwandishi Msalabani. Ndicho kitabu chake cha mwisho kabla ya umauti wake,anazungumzia njama mbalimbali alizofanyiwa kwa sababu ya uandishi wake, miongoni mwa njama hizo ni kufungiwa gazeti lake la Heko.Alikiuza kwa wazungu na kilibadilisha mno maisha yake ya siku za mwisho!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Shifimbo er..Shigongo! teh!teh!teh!teh!Kwa hakika hamu ya kusoma riwaya na tungo za masimulizi yakiswahili imeniisha kabisa toka kuondoka kwa hawa magwiji,inawezekana wapo wanaofuata nyayo zao lakini kwa kweli sijasoma riwaya yoyote ya mtunzi mpya wa riwaya za kiswahili.
ngoja nami nisubiri majina ya watunzi wanaochipukia labda waweza fufua hamu ya kusoma riwaya hizi za kiswahili.
Enzi zetu shule ya msingi tulikuwa tunashindana kusoma hivi vitabu vya akina J.Kiango, E.Musiba, F.H.H. Katala, B.Mtobwa n.k Yaani ilikuwa burdani. Kwa B.Mtobwa jamaa walikuwa wanaongezea m pale mbele ya Mto..! Usomaji huo ulikuwa unaongeza uelewa kwa msomaji. Sasa kizazi cha .com wamekalia hadithi za akina Shigo!
mkuu endangered,hivi hakuna uataratibu wowote ili hivi vitabu vichezwe movie??inawezekana??haki zote lazima zihifadhiwe lakini
muda mrefu sana??????????, du? hilo toleo gani?Nashukuru kwa kunisahahisha jina maana muda mrefu sana enzi za primary miaka ya 1990.