KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,447
- 5,447
ndiye huyu aliandika kitabu kiitwacho 'simu ya kifo'?
"Simu ya kifo" ni utunzi wa Fataji Katalambula
ndiye huyu aliandika kitabu kiitwacho 'simu ya kifo'?
.....Kufa na Kupona, Hofu.Hapana,kiongozi mtunzi wa story za Willy Gamba anaitwa Elvis A.Musiba (RIP)
Ambayae kazi zake ni pamoja na
Kikomo
Kikosi cha kisasi
Njama
Hujuma
na vingine