Mtunzi wa vitabu Joram Kiango

Mtunzi wa vitabu Joram Kiango

Mkuu, hicho kingine kinaitwa malaika wa shetani. It is true, ukianza kusoma hutotaka kuacha, ndo maana huwa sisomi kwenye daladala, lazima utapitishwa kituo tu, yaani lazima upende usipende

pamoja sana mkuu,joramu anavyomsoma ni kama unamuona live.
 
ENDANGERED wewe ni mkali sana nimekukubali, ni kweli kwenye title kuna makosa ya kiuchapaji mods watusaidie kubadilisha.
 
Dah yaani umenikumbusha mbali sana.ndio yale km ya kanumba baada ya kufa hakuna tena watunzi wa vitabu na filamu wazuri
 
lazima ufe joram,dah kakakuona ndani ya movie hilo,na mtoto mzuri nuru,nadhani uataratibu ufanykie na haki zote kuzingatiwa ili hivi vitabu vichezwe movies
 
mkuu endangered,hivi hakuna uataratibu wowote ili hivi vitabu vichezwe movie??inawezekana??haki zote lazima zihifadhiwe lakini
Mkuu, hicho kingine kinaitwa malaika wa shetani. It is true, ukianza kusoma hutotaka kuacha, ndo maana huwa sisomi kwenye daladala, lazima utapitishwa kituo tu, yaani lazima upende usipende
 
Hussein Tuwa yupo, ni afisa wa rasilimali watu USAID Tanzania

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yupo na huyu Hussen Issa Tuwa sijui badao yupo hai.? Kuna hadithi zake nimewai kuzisoma kama mdunguaji,mkimbizi na nyingine nimeisahau.huyu jamaa ni mtunzi wa ukweli.

Yupo hai mkuu,tena bado kijana
 
lazima ufe joram,dah kakakuona ndani ya movie hilo,na mtoto mzuri nuru,nadhani uataratibu ufanykie na haki zote kuzingatiwa ili hivi vitabu vichezwe movies

Lakini mkuu familia za hawa marehemu zinafahidika na mauzo, au ndiyo mikataba ya wahindi?
 
Absolutely, Ben Mtobwa ni marehemu, vitabu vyake vipo kwa wingi tu bookshops, pale Dar duka la TPH mtaa wa Samora.
Arusha vipo pale Book Point karibu na St Thomas Hospital; tena kipo hata kile anachozungumzia jinsi alivyokuwa mahabusu baada ya kuzingiziwa kesi

Kinaitwa Mwandishi Msalabani. Ndicho kitabu chake cha mwisho kabla ya umauti wake,anazungumzia njama mbalimbali alizofanyiwa kwa sababu ya uandishi wake, miongoni mwa njama hizo ni kufungiwa gazeti lake la Heko.Alikiuza kwa wazungu na kilibadilisha mno maisha yake ya siku za mwisho!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwa hakika hamu ya kusoma riwaya na tungo za masimulizi yakiswahili imeniisha kabisa toka kuondoka kwa hawa magwiji,inawezekana wapo wanaofuata nyayo zao lakini kwa kweli sijasoma riwaya yoyote ya mtunzi mpya wa riwaya za kiswahili.
ngoja nami nisubiri majina ya watunzi wanaochipukia labda waweza fufua hamu ya kusoma riwaya hizi za kiswahili.
Shifimbo er..Shigongo! teh!teh!teh!teh!
 
Naipenda sana sayansi na Teknologi kwa maana nami pia ni mdau, kwa kuwa kukuwa kwake kwa kasi kumeleta faida kubwa kwa nchi zetu za ulimwengu wa tatu. Lakini vile vile na hasara ipo pia kwa mfano: Watu wengi wameacha kusoma vitabu vya kawaida badala yake wamekimbilia kwenye ebook, pdf na, nk. Kwa sasa watoto wengi kuandika kwa mkono ni shida kwasababu wamezoea keyboard, tofauti na kipindi kile ambacho mwaafunzi alikuwa akiandika mwandiko mzuri kuliko hata typewriter.
 
Enzi zetu shule ya msingi tulikuwa tunashindana kusoma hivi vitabu vya akina J.Kiango, E.Musiba, F.H.H. Katala, B.Mtobwa n.k Yaani ilikuwa burdani. Kwa B.Mtobwa jamaa walikuwa wanaongezea m pale mbele ya Mto..! Usomaji huo ulikuwa unaongeza uelewa kwa msomaji. Sasa kizazi cha .com wamekalia hadithi za akina Shigo!
 
Du! hiyo ya kuongezea m baada ya Mto alafu unamalizia na bwa imenifanya nitabasamu bila kujua, lakini ulikuwa ni utundu wa wanafunzi.
 
mkuu endangered,hivi hakuna uataratibu wowote ili hivi vitabu vichezwe movie??inawezekana??haki zote lazima zihifadhiwe lakini

mKuu, kuna title moja ineshatolewa movie, ni kitambo lakini, kipindi bado yuko hai.
I, personally, ninatamani nitafsiri one of these series kwenda film, I live to believe that, kuna siku I will have my thirst quenched. The day will come, ambapo kila mtu atamuona the 21 years old Joram Kiango akifanya vitu vyake baada ya kupata uzoefu wa kutosha kwenye vikundi vya ujambazi, kisha Jeshi la Polisi kitengo cha Upelelezi (haya yote ni huko Marekani) kabla hajahamia Afrika, Tanzania, Dar es Salaam, kutafuta vis ambayvo anaweza kusuluhisha na kurejesha amani
 
Vizuri, mods wameweka title inayotakiwa.
 
Back
Top Bottom