MTUNZA BUSTANI HAKUPASWA KUTUKANA KABISA KUTOA LUGHA ZA MATUSI KWA MUJIBU WA KATIBA YA TANZANIA NI JINAIMpaka watunza bustani watu wa hali ya chini kabisa ambao mkuu anasema ndo anawatetea wanaanza wanatukana basi kuna tatizo tena kubwa sn, zinahitajika juhudi mahususi kulinusuru taifa. Mimi nilitegemea wanaotumbuliwa ndo waporomoshe mitusi, ila matusi hayasaidii cha msingi watz tuungane tupambane ili haki ionekane kutendeka