Unatuletea habari gani wewe??????????? Kama ameokoka atarudisha fedha zetu nyingi $300Million alizoficha kwenye Acct zake Uswiss?????????? Majumba aliyonunua huko London vipi anuza aturudishie fedha au anayamilikisha serikali????????? Wacha ulevi wa mchana, anakulipa fedha ngapi kuleta utumbo hapa JF ???????????? Watu tuna usongo na wezi angalia tusikurarue mcha mchana hapa, koma!!!!!!!!!!