"Mtumishi hewa namba Moja"

Ehee magu angeanza nae huyu kwanza make katutoboa mifuko yetu vyakutosha tu!
 
Huyo Mtumishi ametumikia sana! anatakiwa kustaafu kwa manufaa ya UMMA.
 
Kuna picha flani hiv nimeiona, eti Kipanya anampa tochi JPM ili aangazie maadui. JPM akajibu "sidhani kama watanielewa"
Akilitumbua hilo jipu, atakuwa mbabe wa maana tu!!
 
Mkuu 'Mwenge' ndiyo symbol inayomwakilisha 'Rais' kama vile ile inayomwakilisha 'Malkia Elizabeth' wa Uingereza
''Symbol'' Kama ni hivyo kwanini symbol itumie mamilioni ya shilingi wakati rais original yupo na hazururi hovyo.
 
''Symbol'' Kama ni hivyo kwanini symbol itumie mamilioni ya shilingi wakati rais original yupo na hazururi hovyo.

mkuu,utamaduni duniani kote unaenziwa kwa gharama,kama haiathiri sio kesi,ukizingatia ndio mwenge wa uhuru,duniani kote uhuru wa nchi huenziwa kwa namna itakavyoonekana inafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…