Mtumeeeeeeeee!!!

Mtumeeeeeeeee!!!

Balaa tupu,ni bora atoke akaliwe na simba tu,aibu
 
Lakini anaweza kusolve kwa kulala na dogo,kisha atasema dogo alikunya kule nikamuhamisha nilale naye,ndipo akakojoa hapa!
 
lol leo nimecheka hadi basi tena mmmh nyie watu kwa vichekesho natamani tungekuwa kwenye meza moja tugonge kwa kucheka kwikwikwi bwabwabwaaa haaaa uwiii
ila ningekuwa ndo huyo jamaa kuliko nifedheheke asubuhi alfajiri ningeondoka huku nyuma watajua mtoto alihama mkojo akaja kunya kwangu lakini mhhhh we mkareee
 
ha,ha,ha,ha,ha,haaa.... Mungu wangu khaa... Ha,ha,ha,haaa...

we leo ninaweza kusimamishwa kaz wanakatazaga kufungua mambo kama haya oficn nimejisahau nimecheka mpaka bac
 
Waliozoea kunya kitandani utawajua tu. Ngoja nimsubiri WA KUSOMA aje awape somo hapa.

Wewe dogo complicator ni jinga sana, WA KUKARIRI amepigwa Ban tarehe 19/12/2011, wewe umejiunga 20/12/2011 umemjuaje hadi umsubiri kama hawara yako vile kama wewe sie yeye?

Aaaah unaboa sana wewe dogo
 
Khaaaaa........yaani we acha tu nimecheka mpaka nashangaza ofisini.
 
Jamaa mmoja aliwatembelea wakwe zake, mkoa fulani ambao unasifika kuwa na simba wengi. Ilipofika wakati wa kwenda kulala wakwe zake walimtahadharisha kuwa asitoke usiku kuna simba, wakaagana na jamaa akaelekea kulala chumbani, ambako alilala shemeji yake( mtoto wapata miaka 4)

ilipofika usiku wa manane jamaa alibanwa haja ndogo na huko nje simba wanaunguruma, alishikwa na woga na huku mkojo ukiendelea kumbana. basi jamaa akaamua kumtoa yule mtoto kitandani alipokuwa amelala nakumuamishia kitandani kwake, kisha akakojoa kwenye kitanda alichokuwa amelala dogo.

baada ya kumaliza kukojoa, jamaa alienda kumchukua mtoto ili amrudishe mahali pake, akakuta mtoto amesha kunya kitandani kwake.

UNAFIKIRI KILICHOFATIA NI NINI?

Hii ni kali, nimecheka sana
 
Lakini anaweza kusolve kwa kulala na dogo,kisha atasema dogo alikunya kule nikamuhamisha nilale naye,ndipo akakojoa hapa!

hivi hujaelewa eh dogo kanya kitandani kwa huyu mbaba,na huyu mbaba kakojoa kitandani kwa dogo.labda aseme dogo alikojoa kitandani akaamua alale nae kitandani kwake ndo akashusha mzigo lol
 
Thafi thana! dawa ya bishoo kuwa bishoo zaidi yake........................
 
Jamaa alale chini, kesho amseme yule mtoto.
Jamaa: WE DOGO umekojoa kwa bedi yako nikakuhamishia kwangu, ndo una kunya kabisa? Dogo atajiskia aibu, soo kwisha
 
dogo wenyewe wa miaka mi4!? Na amsingizie aone, km hajazidi kukuaibisha. Bora hata usepe 2
 
Back
Top Bottom