Mtume na Nabii Mwingira

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Idadi ya makanisa ya upendo hapa nchini yanaendana na ubunifu wa kuweza kuvuta waumini. Nabii na Mtume Mwingira wa Efatha Ministry ni kiboko. Yeye ni zaidi ya Comedian ukifuatilia vipindi vyake katika Trenet TV unaweza kubaini ibada yake huwa imesheheni utumbuizaji na mzee mzima anapiga vituko kwa kwenda mbele.. Kweli Mungu ni mwenye huruma kwa wanadamu wamtafutao. Kila mtu anastaili yake ya kufika kwake.
 
Back
Top Bottom