Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Upuuzi mtupu ulioandika humu. Hoja hapa kwa nini kwenye matatizo ya pumbu hawaoni ufalme wa Mungu katika biblia? Unaniletea tafsiri zako unazozijua wewe...

Jitafakari wewe unaniuliza mie Nina Pepo ya kuwapa? Halafu baba kassim amesha kwambia kila Umma wana kawaida yao ya Ibada na sheria zao
IMG_20180629_184821_771.jpg
unaniuliza Mimi mambo ya Musa yananihusu nini?
 
Kiranga
naona hoja hapa ni logical consistency. Je kutokuwepo kwa hiyo consistance kuna fanya kutokuwepo kwa Mungu wa Koran au Biblia? Mimi naamini ktk Mungu wa biblia lakini siamini ktk logical consistency yake hasa nikizingatia kuna vipindi vya uongozi wa Mungu ambavyo sheria na taratibu zinabadilika.
Ukitafuta ushahidi wa ki fact ktk biblia utaukosa ila wa Truth utapata.
Kwa Mungu Truth matters sio FACT

Ukikataa logical consistency, umekataa lolote kuwa na maana yoyote. Umeelewa hili?

Yani, logical consistency ndiyo kitu kinacholeta maana ya kitu chochote chenye maana.

Kwa nini?

Hebu tuseme utupilie embali logical consistency. Uamini Mungu yupo bila logical consistency.

Hili maana yake ni nini?

Maana yake ni kwamba, kuamini kwako Mungu yupo bila logical consistency hakuna maana.

Kwa sababu, ukisema unaamini Mungu yupo, halafu huamini katika logical consistency, ni sawa na umesema kuamini Munguyupo ni sawa na kuamini Mungu hayupo. Kwa sababu, kinachotenmganisha kuaminiMungu yupo na kusema Mungu hayupo ni logical consistency.

Ukisema huamini katika logical consistency, maana yake ni umesema kwamba kuamini kwamba Mungu yupo na Mungu hayupo nisawa. Na ukisema kwamba kuamini Mungu yupo na kuamini Mungu hayupo ni sawa, ukisema unaamini Mungu yupo, ni sawana usema unaamini Mungu hayupo.

Kuamini Mungu yupo, bila kukubali logical consistency, ni kuamini Mungu hayupo.

Ni kuamini Mungu yupo na hayupo kwa wakati mmoja.

Ni kuamini kwamba kusema Mungu yupo au hayupo vyote ni makosa na ukweli upo nje ya vyote viwili hivyo.

Nivurugu zote unazoweza kuzifikiria, kwa tofauti tofauti zake zote kirejareja, na kwa kuunganishwa kwake zote pamoja.

Nakupa mfano wa hesabu, kwa sababu hesabu kwangu huwa zinakata mjadala na zinaonesha mambo kwa uwazizaidi.

Huwezi kusemaunaweza kuvuruga hesabu ndogo tu, kwa mfano uvuruge 1 =1, useme 1=2, halafu ufikiri kwamba vurugu hiiitaishia hapo tu.

Vurugu hii itaharibu number line nzima. Kwa sababu, ukishasema 1=2, hapo ukizidisha kila upande kwa 2 umesema pia kwamba 2=4, lakini, kwa sababu 1=2, na tumeona 2=4, ukiibadilisha hii 2 ya 2=4 ukaifanya iwe 1 (kwa sababu 1=2) utapata 1=4. Ukizidisha pande zote kwa 2 unapata 2 = 8, lakini tukishakubali kwamba 1=2, tunaweza kuiondoa 2 ya 2=8, tukaweka 1 badala ya 2 na kupata 1= 8.

Pretty soon tutajikuta tuna number line ambayo kila namba ni sawasawa na kila namba nyingine na hivyo hiyo number line haina maana.

Wewe unachosema ni kwamba, unaweza kuondoalogical consistency halafu mabo bado yaka make sense. Kwamba unaweza kusema 1=2, halafu hukokwingine kusiathirike na hilo.

Wakati kiukweli nikwamba, ukiondoa logical consistency, umeharibu maana ya maana, ukishakubali 1=2, hujaondoa maana ya 1= 2 tu, umeondoa maana ya namba zote.

Ndiyo maana katika mazungumzo yangu huwa nashikilia sana logical consistency.

Ukiiondoahii, siyo tu huwezi kupata maana, umeondoa hata maana ya maana.
 
Dhulqarnayn ameshakufa na wala hakuwashikilia juj wa ma' ajuj bali aliweka uzio uliyowatenganisha baina ya watu wa hilo eneo alilowakuta na juju wa maajuj.

Juzi na jana mumetueleza kuwa habari za Dhul-Qarnaini zilikuwa ni simulizi za Mungu kwa Muhammad.Sasa tunaanza kuchambua sura nzima ya Al-Kahf (sura ya 18) inakokutwa hiyo habari ya Jua kuzama katika matope.Nifuatilie:

1. Aya ya 1-6 inaongelea ukuu wa Kurani:

"1 - Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.2 - Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.3 - Wakae humo milele.4 - Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.5 - Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu. 6 - Huenda ukajihiliki nafsi yako kwa ajili yao, kuwasikitikia kwa kuwa hawayaamini mazungumzo haya!"

Na kuanzia aya ya 7-8 kunaongelewa uweza wa Mungu na mifano ya uweza huo ikiwa ni viumbe vinavyoonekana kwa macho:

"7 - Kwa hakika tumevifanya vilioko juu ya ardhi kuwa ni pambo lake ili tuwafanyie mtihani, ni nani kati yao wenye vitendo vizuri zaidi. 8 - Na hakika Sisi tutavifanya vyote vilio juu ya ardhi kuwa kama nchi ilio pigwa na ukame. 9 - Bali unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu?"

Na kuanzia aya ya 10-26 ndio zinaongelewa habari za hao vijana wawili waliozimia pangoni kwa miaka mia tatu:

"8:10 - Vijana hao walipo kimbilia kwenye pango walisema: Mola wetu Mlezi! Tupe rehema itokayo kwako, na tutengezee uwongofu katika jambo letu.

18:11 - Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa.

18:12 - Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa.

18:13 - Sisi tunakusimulia khabari zao kwa kweli. Hakika wao walikuwa ni vijana walio muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu.

18:14 - Na tukazitia nguvu nyoyo zao walipo simama na wakasema: Mola wetu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi. Hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni Mungu. Hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.

18:15 - Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye. Kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri? Na nani aliye dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu?

18:16 - Na mkijitenga nao na vile wanavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu, basi kimbilieni pangoni, akufungulieni Mola wenu Mlezi rehema yake, na akutengenezeeni ya kukufaeni katika mambo yenu.

18:17 - Na unaliona jua linapo chomoza linainamia kuliani mwao kutoka hapo pangoni; na linapo kuchwa linawakwepa kushotoni, na wao wamo katika uwazi wa pango. Hizo ni katika ishara za Mwenyezi Mungu. Ambaye Mwenyezi Mungu anamwongoa basi huyo ni mwenye kuongoka. Na anaye muacha kupotea basi hutampatia mlinzi wala mwongozi.

18:18 - Nawe utawadhania wamacho, na hali wamelala. Nasi tunawageuza kulia na kushoto. Na mbwa wao amenyoosha miguu yake ya mbele kizingitini. Kama ungeli watokea hapana shaka ungeli geuka kuwakimbia, nawe umejaa khofu.

18:19 - Na kwa namna hii tuliwainua usingizini wapate kuulizana wao kwa wao. Alisema msemaji katika wao: Mmekaa muda gani? Wakasema: Tumekaa siku moja au sehemu ya siku. Wakasema: Mola wenu Mlezi anajua zaidi muda mlio kaa. Hebu mtumeni mmoja wenu na hizi fedha zenu ende mjini, akatazame chakula chake kipi kilicho bora kabisa akuleteeni cha kukila. Naye afanye mambo hayo kwa busara, wala asikutajeni kabisa kwa yeyote.

18:20 - Kwani wao wakikutambueni watakupigeni mawe, au watakurudisheni katika dini yao; na hapo hamtafanikiwa kabisa!

18:21 - Na namna hivi tuliwa juulisha kwa watu wapate kujua ya kwamba ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli, na kwamba Saa haina shaka. Walipo kuwa wakigombania jambo lao wao kwa wao walisema: Jengeni jengo juu yao. Mola wao Mlezi anawajua vyema. Wakasema walio shinda katika shauri yao: Bila ya shaka tutawajengea msikiti juu yao.

18:22 - Watasema: Walikuwa watatu, wa nne wao ni mbwa wao. Na wanasema: Walikuwa watano, wa sita wao ni mbwa wao. Wanavurumisha ovyo. Na wanasema: Walikuwa saba, na wa nane wao ni mbwa wao. Sema: Mola wangu Mlezi ndiye anaye jua sawa sawa hisabu yao. Hawawajui ila wachache tu. Basi usibishane juu yao ila kwa mabishano ya juu juu tu hivi. Wala usiulize khabari zao kwa yeyote yule.

18:23 - Wala usisema kamwe kwa jambo lolote lile: Hakika nitalifanya hilo kesho -

18:24 - Isipo kuwa Mwenyezi Mungu akipenda. Na mkumbuke Mola wako Mlezi pale unapo sahau, na sema: Asaa Mola wangu Mlezi ataniongoa kwenye uwongozi ulio karibu zaidi kuliko huu.

18:25 - Na walikaa katika pango lao miaka mia tatu, na wakazidisha tisa.

18:26 - Sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi muda walio kaa. Ni zake tu siri za mbingu na ardhi. Kuona kulioje na kusikia kwake! Hawana mlinzi isipo kuwa Yeye, wala hamshirikishi yeyote katika hukumu yake."

Aya ya 6-82 inaongea juu ya Musa na kijana wake walivyokuwa katika safari na wakajikuta Kijana wake amemsahau samaki aliyechoropokea baharini:

"60 - Na pale Musa alipo mwambia kijana wake: Sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili, au nitaendelea kwa muda mrefu.

18:61 - Basi wawili hao walipo fika zinapo kutana hizo bahari mbili walimsahau samaki wao, naye akashika njia yake kaporonyokea baharini.

18:62 - Walipo kwisha pita alimwambia kijana wake: Tupe chakula chetu cha mchana. Kwa hakika tumepata machofu kweli kwa hii safari yetu.

18:63 - Akasema (kijana): Waona! Pale tulipo pumzika penye jabali basi mimi nilimsahau yule samaki. Na hapana aliye nisahaulisha nisimkumbuke ila Shet'ani tu. Naye akashika njia yake baharini kwa ajabu.

18:64 - (Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia.

18:65 - Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema kutoka kwetu, na tukamfunza mafunzo yaliyo toka kwetu.

18:66 - Musa akamwambia: Nikufuate ili unifunze katika ule uwongofu ulio funzwa wewe?

18:67 - Akasema: Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami.

18:68 - Na utawezaje kuvumilia yale usiyo yajua vilivyo undani wake?

18:69 - Akasema: Inshaallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mvumilivu, wala sitoasi amri yako.

18:70 - Akasema: Basi ukinifuata usiniulize kitu mpaka mimi nianze kukutajia.

18:71 - Basi wawili hao wakatoka, hata walipo panda jahazi (yule mtu) akaitoboa. (Musa) akasema: Unaitoboa uwazamishe watu wake? Hakika umefanya jambo baya.

18:72 - Akasema: Sikukwambia hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami?

18:73 - (Musa) akasema: Usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.

18:74 - Basi wakatoka wawili hao mpaka wakamkuta kijana, akamuuwa. (Musa) akasema: Ala! Umemuuwa mtu asiye na kosa, na wala hakuuwa! Ama hakika umefanya jambo baya kabisa!

18:75 - AKASEMA: Je! Sikukwambia kwamba hakika wewe huwezi kuvumilia kuwa pamoja nami?

18:76 - Akasema: Nikikuuliza kitu chochote baada ya haya usifuatane nami, kwani umekwisha pata udhuru kwangu.

18:77 - Basi wakatoka mpaka wakawafikia watu wa mji mmoja. Wakawaomba watu wake wawape chakula, nao wakakataa kuwakaribisha. Hapo wakakuta ukuta unataka kuanguka, (yule mja mwema) akausimamisha. (Musa) akasema: Ungeli taka ungeli chukua ujira kwa haya.

18:78 - (Yule mtu) akasema: Huku ndio kufarikiana baina yangu na wewe. Sasa nitakueleza maana ya yale uliyo kuwa huwezi kuyastahamilia.

18:79 - Ama ile jahazi ilikuwa ya masikini za Mungu wafanyao kazi baharini. Nilitaka kuiharibu, kwani nyuma yao alikuwako mfalme anaghusubu majahazi yote.

18:80 - Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.

18:81 - Basi tulitaka Mola wao Mlezi awabadilishie aliye bora zaidi kuliko huyo kwa kutakasika, na aliye karibu zaidi kwa huruma.

18:82 - Na ama ukuta, huo ulikuwa ni wa vijana wawili mayatima kule mjini. Na chini yake ilikuwako khazina yao; na baba yao alikuwa ni mtu mwema. Basi Mola wako Mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Wala mimi sikutenda hayo kwa amri yangu. Hiyo ndiyo tafsiri ya hayo ambayo wewe hukuweza kuyasubiria."

Aya ya 65 inadokeza mtu mmoja ambaye alikutana na Musa na Kijana wake, wakiwa njiani wanarudi kumtafuta yule samaki ambaye alisahaulika.Ni mtu huyu huyu anaendelea kuwa na Musa katika maongezi hadi aya ya 82:

"65 - Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema kutoka kwetu, na tukamfunza mafunzo yaliyo toka kwetu."

Na kuanzia aya ya 83,ndipo kunaanza ufafanuzi wa habari za Dhul-Qarnaini:

"83 - Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.

18:84 - Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.

18:85 - Basi akaifuata njia.

18:86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema."

SASA UTATA UKO HAPA:

1.Ni nani huyu Mja "Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema kutoka kwetu, na tukamfunza mafunzo yaliyo toka kwetu" ambaye anaongea na Musa na kumufafanulia habari mbalimbali kama anavyotajwa katika aya ya 65? Je,Muhammad au ni nani?

2. Kama ni Muhammad ina maana Muhammad alikwisha kuzaliwa wakati huo hadi aweze kuongozana na Musa katika safari hiyo?Katika Imani ya Kiyahudi kunasadikiwa Musa aliishi kati ya mwaka 1391-1271KK.Mkatoliki Jerome anakisia kuwa Musa alizaliwa mwaka 1592KK na James Ussher anakisia kuwa Musa alizaliwa mwaka 1571Kk.Sasa,je,muda huo Muhammad alikuwa ameshazaliwa hadi aweze kuongozana na Musa?

3. Kama sio Muhammad ni Mja gani mwingine wa mwenyezi Mungu anayetajwa na aya hiyo?

4. Aya ya 83 inapoanza kwa uyakini ni mwendelezo wa muongeaji yule yule aliyekuwa anaongea na Musa kuanzia aya 65-82.Je,munaposema aya hiyo inamuhusisha Muhammad na Mungu(Mungu akiwa anamsimulia Muhammd habari za Dhul-Qarnaini), ina maana kwa kadri ya aya zinazoitangulia aya hiyo ya 83, Mungu munayemsema kuongea na Muhammad katika aya ya 83-86, ndiye huyo huyo "mja wa Mungu" ambaye Musa alionana naye njiani katika aya ya 65?

Wewe umejidharirisha kwa kiwango cha standard Gauge ngoja ntakujibu kwa mfano mdogo sana nikirudi nyumbani.Yaani umejiona bongo la genius na umeona umejenga bonge la hoja.Lakini umewapata maboya wenzako basi umejiona mjanja

Karibu mkuu.Nakutakia safari njema ya kurudi nyumbani.Ubukue kikwelikweli.
 
masoud mshahara
M/mungu akujaalie umeweza kuwatawnya viumbe dhahifu.

Ni wapi wametawanywa? Ndio kwanza mjadala unaanza! Mpaka mbichi na mbivu zitajulikana.Mumeiambia dunia uongo kwa muda mrefu sana.What is most astounding is that the Devil is resting in the details of Quran itself.Ni kwamba uongo uko katika maelezo ya Kurani yenyewe ile ile.
 
Umeleta aya imekugeuka unabaki kubwabwaja
 
Juzi na jana mumetueleza kuwa habari za Dhul-Qarnaini zilikuwa ni simulizi za Mungu kwa Muhammad.Sasa tunaanza kuchambua sura nzima ya Al-Kahf (sura ya 18) inakokutwa hiyo habari ya Jua kuzama katika matope.Nifuatilie:

1. Aya ya 1-6 inaongelea ukuu wa Kurani:

"1 - Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.2 - Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.3 - Wakae humo milele.4 - Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.5 - Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu. 6 - Huenda ukajihiliki nafsi yako kwa ajili yao, kuwasikitikia kwa kuwa hawayaamini mazungumzo haya!"

Na kuanzia aya ya 7-8 kunaongelewa uweza wa Mungu na mifano ya uweza huo ikiwa ni viumbe vinavyoonekana kwa macho:

"7 - Kwa hakika tumevifanya vilioko juu ya ardhi kuwa ni pambo lake ili tuwafanyie mtihani, ni nani kati yao wenye vitendo vizuri zaidi. 8 - Na hakika Sisi tutavifanya vyote vilio juu ya ardhi kuwa kama nchi ilio pigwa na ukame. 9 - Bali unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu?"

Na kuanzia aya ya 10-26 ndio zinaongewa habari za hao vijana wawili waliozimia pangoni kwa miaka mia tatu:
"
8:10 - Vijana hao walipo kimbilia kwenye pango walisema: Mola wetu Mlezi! Tupe rehema itokayo kwako, na tutengezee uwongofu katika jambo letu.

18:11 - Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa.

18:12 - Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa.

18:13 - Sisi tunakusimulia khabari zao kwa kweli. Hakika wao walikuwa ni vijana walio muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu.

18:14 - Na tukazitia nguvu nyoyo zao walipo simama na wakasema: Mola wetu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi. Hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni Mungu. Hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.

18:15 - Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye. Kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri? Na nani aliye dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu?

18:16 - Na mkijitenga nao na vile wanavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu, basi kimbilieni pangoni, akufungulieni Mola wenu Mlezi rehema yake, na akutengenezeeni ya kukufaeni katika mambo yenu.

18:17 - Na unaliona jua linapo chomoza linainamia kuliani mwao kutoka hapo pangoni; na linapo kuchwa linawakwepa kushotoni, na wao wamo katika uwazi wa pango. Hizo ni katika ishara za Mwenyezi Mungu. Ambaye Mwenyezi Mungu anamwongoa basi huyo ni mwenye kuongoka. Na anaye muacha kupotea basi hutampatia mlinzi wala mwongozi.

18:18 - Nawe utawadhania wamacho, na hali wamelala. Nasi tunawageuza kulia na kushoto. Na mbwa wao amenyoosha miguu yake ya mbele kizingitini. Kama ungeli watokea hapana shaka ungeli geuka kuwakimbia, nawe umejaa khofu.

18:19 - Na kwa namna hii tuliwainua usingizini wapate kuulizana wao kwa wao. Alisema msemaji katika wao: Mmekaa muda gani? Wakasema: Tumekaa siku moja au sehemu ya siku. Wakasema: Mola wenu Mlezi anajua zaidi muda mlio kaa. Hebu mtumeni mmoja wenu na hizi fedha zenu ende mjini, akatazame chakula chake kipi kilicho bora kabisa akuleteeni cha kukila. Naye afanye mambo hayo kwa busara, wala asikutajeni kabisa kwa yeyote.

18:20 - Kwani wao wakikutambueni watakupigeni mawe, au watakurudisheni katika dini yao; na hapo hamtafanikiwa kabisa!

18:21 - Na namna hivi tuliwa juulisha kwa watu wapate kujua ya kwamba ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli, na kwamba Saa haina shaka. Walipo kuwa wakigombania jambo lao wao kwa wao walisema: Jengeni jengo juu yao. Mola wao Mlezi anawajua vyema. Wakasema walio shinda katika shauri yao: Bila ya shaka tutawajengea msikiti juu yao.

18:22 - Watasema: Walikuwa watatu, wa nne wao ni mbwa wao. Na wanasema: Walikuwa watano, wa sita wao ni mbwa wao. Wanavurumisha ovyo. Na wanasema: Walikuwa saba, na wa nane wao ni mbwa wao. Sema: Mola wangu Mlezi ndiye anaye jua sawa sawa hisabu yao. Hawawajui ila wachache tu. Basi usibishane juu yao ila kwa mabishano ya juu juu tu hivi. Wala usiulize khabari zao kwa yeyote yule.

18:23 - Wala usisema kamwe kwa jambo lolote lile: Hakika nitalifanya hilo kesho -

18:24 - Isipo kuwa Mwenyezi Mungu akipenda. Na mkumbuke Mola wako Mlezi pale unapo sahau, na sema: Asaa Mola wangu Mlezi ataniongoa kwenye uwongozi ulio karibu zaidi kuliko huu.

18:25 - Na walikaa katika pango lao miaka mia tatu, na wakazidisha tisa.

18:26 - Sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi muda walio kaa. Ni zake tu siri za mbingu na ardhi. Kuona kulioje na kusikia kwake! Hawana mlinzi isipo kuwa Yeye, wala hamshirikishi yeyote katika hukumu yake."

Aya ya 6-82 inaongea juu ya Musa na kijana wake walivyokuwa katika safari na wakajikuta Kijana wake amemsahau samaki aliyechoropokea baharini:

"60 - Na pale Musa alipo mwambia kijana wake: Sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili, au nitaendelea kwa muda mrefu.

18:61 - Basi wawili hao walipo fika zinapo kutana hizo bahari mbili walimsahau samaki wao, naye akashika njia yake kaporonyokea baharini.

18:62 - Walipo kwisha pita alimwambia kijana wake: Tupe chakula chetu cha mchana. Kwa hakika tumepata machofu kweli kwa hii safari yetu.

18:63 - Akasema (kijana): Waona! Pale tulipo pumzika penye jabali basi mimi nilimsahau yule samaki. Na hapana aliye nisahaulisha nisimkumbuke ila Shet'ani tu. Naye akashika njia yake baharini kwa ajabu.

18:64 - (Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia.

18:65 - Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema kutoka kwetu, na tukamfunza mafunzo yaliyo toka kwetu.

18:66 - Musa akamwambia: Nikufuate ili unifunze katika ule uwongofu ulio funzwa wewe?

18:67 - Akasema: Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami.

18:68 - Na utawezaje kuvumilia yale usiyo yajua vilivyo undani wake?

18:69 - Akasema: Inshaallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mvumilivu, wala sitoasi amri yako.

18:70 - Akasema: Basi ukinifuata usiniulize kitu mpaka mimi nianze kukutajia.

18:71 - Basi wawili hao wakatoka, hata walipo panda jahazi (yule mtu) akaitoboa. (Musa) akasema: Unaitoboa uwazamishe watu wake? Hakika umefanya jambo baya.

18:72 - Akasema: Sikukwambia hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami?

18:73 - (Musa) akasema: Usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.

18:74 - Basi wakatoka wawili hao mpaka wakamkuta kijana, akamuuwa. (Musa) akasema: Ala! Umemuuwa mtu asiye na kosa, na wala hakuuwa! Ama hakika umefanya jambo baya kabisa!

18:75 - AKASEMA: Je! Sikukwambia kwamba hakika wewe huwezi kuvumilia kuwa pamoja nami?

18:76 - Akasema: Nikikuuliza kitu chochote baada ya haya usifuatane nami, kwani umekwisha pata udhuru kwangu.

18:77 - Basi wakatoka mpaka wakawafikia watu wa mji mmoja. Wakawaomba watu wake wawape chakula, nao wakakataa kuwakaribisha. Hapo wakakuta ukuta unataka kuanguka, (yule mja mwema) akausimamisha. (Musa) akasema: Ungeli taka ungeli chukua ujira kwa haya.

18:78 - (Yule mtu) akasema: Huku ndio kufarikiana baina yangu na wewe. Sasa nitakueleza maana ya yale uliyo kuwa huwezi kuyastahamilia.

18:79 - Ama ile jahazi ilikuwa ya masikini za Mungu wafanyao kazi baharini. Nilitaka kuiharibu, kwani nyuma yao alikuwako mfalme anaghusubu majahazi yote.

18:80 - Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.

18:81 - Basi tulitaka Mola wao Mlezi awabadilishie aliye bora zaidi kuliko huyo kwa kutakasika, na aliye karibu zaidi kwa huruma.

18:82 - Na ama ukuta, huo ulikuwa ni wa vijana wawili mayatima kule mjini. Na chini yake ilikuwako khazina yao; na baba yao alikuwa ni mtu mwema. Basi Mola wako Mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Wala mimi sikutenda hayo kwa amri yangu. Hiyo ndiyo tafsiri ya hayo ambayo wewe hukuweza kuyasubiria."

Aya ya 65 inadokeza mtu mmoja ambaye alikutana na Musa na Kijana wake, wakiwa njiani wanarudi kumtafuta yule samaki ambaye alisahaulika.Ni mtu huyu huyu anaendelea kuwa na Musa katika maongezi hadi aya ya 82:

"65 - Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema kutoka kwetu, na tukamfunza mafunzo yaliyo toka kwetu."

Na kuanzia aya ya 83,ndipo kunaanza ufafanuzi wa habari za Dhul-Qarnaini:

"83 - Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.

18:84 - Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.

18:85 - Basi akaifuata njia.

18:86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema."

SASA UTATA UKO HAPA:

1.Ni nani huyu Mja "Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema kutoka kwetu, na tukamfunza mafunzo yaliyo toka kwetu" ambaye anaongea na Musa na kumufafanulia habari mbalimbali kama anavyotajwa katika aya ya 65? Je,Muhammad au ni nani?

2. Kama ni Muhammad ina maana Muhammad alikwisha kuzaliwa wakati huo hadi aweze kuongozana na Musa katika safari hiyo?Katika Imani ya Kiyahudi kunasadikiwa Musa aliishi kati ya mwaka 1391-1271KK.Mkatoliki Jerome anakisia kuwa Musa alizaliwa mwaka 1592KK na James Ussher anakisia kuwa Musa alizaliwa mwaka 1571Kk.Sasa,je,muda huo Muhammad alikuwa ameshazaliwa hadi aweze kuongozana na Musa?

3. Kama sio Muhammad ni Mja gani mwingine wa mwenyezi Mungu anayetajwa na aya hiyo?

4. Aya ya 83 inapoanza kwa uyakini ni mwendelezo wa muongeaji yule yule aliyekuwa anaongea na Musa kuanzia aya 65-82.Je,munaposema aya hiyo inamuhusisha Muhammad na Mungu(Mungu akiwa anamsimulia Muhammd habari za Dhul-Qarnaini), ina maana kwa kadri ya aya zinazoitangulia aya hiyo ya 83, Mungu munayemsema kuongea na Muhammad katika aya ya 83-86, ndiye huyo huyo "mja wa Mungu" ambaye Musa alionana naye njiani katika aya ya 65?
Sasa umeamia kwa MJA
 
(
Maswali gani unauliza wewe? allah mwenye deen yake kawaelekeza Mkiamini View attachment 816562 wewe ndio kwanza humuanini allah na Muhammad tunatafuta makosa... au ni wazimu wa maswali?? View attachment 816568 halafu mmepigwa ban kuuliza View attachment 816591 endeleeni kumuaibisha allah na baba kassim

Mkuu:

Wanazuoni wa Kiislamu toka uzi ulipobandikwa walituambia kuwa suala la Jua kuzama katika matope ilikuwa ni maongezi kati ya Muhammad na Mungu.Ndio kusema Mungu alikuwa akimpatia Muhammad simulizi jinsi Dhul-Qarnaini alivyoliona Jua likizama mbele ya upeo wa macho yake.Tuliosoma aya hiyo ya 18(Al-Kahf ) kwa kina tuliona ngoja tuwakubalie hivyo wanavyosema ili wafunge milango na madirisha kabisa ili washindwe namna ya kutoka mbele ya safari.Sasa tunawauliza:

1.
Je,Ni Muhammad ndiye anatajwa na aya ya 65 kama mja wa Mungu?

2. Je,kama Muhammad ndiye Mja ambaye alikutana na Musa na Kijana wake wakiwa wanamtafuta samaki aliyesahauliwa na kijana wake,ina maana Muhammad wakati wa uhai wa Musa naye alikwisha kuzaliwa?

3.Kama Kurani haisemi uongo,hivi inaingiaje akilini kwa samaki ambaye Musa na Kijana wake walikuwa wakisafiri naye na kisha kusahaulika,kuweza kuchoropoka na kisha kuingia baharini tena? Huyo samaki alimudu vipi kuwa hai nje ya maji kwa safari ile kiasi kwamba aliweza kuchoropokea tena majini?

"18:60 - Na pale Musa alipo mwambia kijana wake: Sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili, au nitaendelea kwa muda mrefu.

18:61 - Basi wawili hao walipo fika zinapo kutana hizo bahari mbili walimsahau samaki wao, naye akashika njia yake kaporonyokea baharini.

18:62 - Walipo kwisha pita alimwambia kijana wake: Tupe chakula chetu cha mchana. Kwa hakika tumepata machofu kweli kwa hii safari yetu.

18:63 - Akasema (kijana): Waona! Pale tulipo pumzika penye jabali basi mimi nilimsahau yule samaki. Na hapana aliye nisahaulisha nisimkumbuke ila Shet'ani tu. Naye akashika njia yake baharini kwa ajabu.

18:64 - (Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia.

4.
Aya zilizotangulia ile ya 62,kunaonekana ni simulizi la safari ya Musa na Kijana wake tu lakini ghafla katika aya ya 62 kunaonekana kuna watu zaidi ya watu wawili, ambao wanamuomba Kijana wa Musa chakula wale.Je,hao watu wengine ni akina nani?

5.Ghafla kuanzia ya 65 anaongezeka mtu mwingine safarini ambaye ndiye Musa anamuomba aambatane naye safarini.Ni mtu huyu anayejiunga katika safari ya Musa katika ya 65 ndiye anaendelea hadi aya ya 83 anapoanza kumuhadithia Musa habari za Dhul-Qarnaini.SASA.tuwaulize wanazuoni wa Kiislamu,ni Musa ndiye aligeuka akawa Muhammad na kisha kusimuliwa habari za Dhul-Qarnaini?
 
Umeleta aya imekugeuka unabaki kubwabwaja

Endelea kusoma uchambuzi.Wewe unafikiria mimi niko hapa kufanya masihara.Mimi niko kazini kusaidia kuleta mwanga.Endelea kusoma nyuzi mkuu.Niko nachambua sura ya 18 (Al-Kahf ) ya Kurani.Niko natikisa sura hiyo kuona kama uyakini wake kama kweli Sura Al-Kahf ina maneno ya Mungu au mambo yaliyokopiwa tu na kuwekwa humo.
Ukisoma sura Al-Kahf, kuanzia aya za 32-36, zinayotazingulia aya za Jua kuzama katika Dimbwi la matope,unakutana na habari za vijana wawili waliozimia pangoni.Lakini cha kushangaza katika aya ya 19,vijana hao hao tena wanaulizana eti "mumekaa muda gani pangoni"! Jambo hilo linawezekana vipi?

"19 - Na kwa namna hii tuliwainua usingizini wapate kuulizana wao kwa wao. Alisema msemaji katika wao: Mmekaa muda gani? Wakasema: Tumekaa siku moja au sehemu ya siku. Wakasema: Mola wenu Mlezi anajua zaidi muda mlio kaa. Hebu mtumeni mmoja wenu na hizi fedha zenu ende mjini, akatazame chakula chake kipi kilicho bora kabisa akuleteeni cha kukila. Naye afanye mambo hayo kwa busara, wala asikutajeni kabisa kwa yeyote."

Hivi inaingiaje watu wawili waliokuwa wanafanya jambo moja kisha tena mmoja wao ainuke tena kuwauliza wale wale katika wawili? Na kisha tena wajijibu kuwa "Tumekaa siku moja au sehemu ya siku."!

Ndugu yangu, lugha inayotumika katika Sura hii wewe unaielewa vizuri?

Kitu kingine kinachofanya Sura hii ionekane hata habari za Jua kuzama katika Dimbi la matope ni mambo ambayo hayaeleweki ni aya ya 25: " Na walikaa katika pango lao miaka mia tatu, na wakazidisha tisa"

Ikiwa Kurani ni maneno ya Mungu,kwa maana kwamba ndiye anayeongea,ina maana kwa mjibu wa aya hiyo ya 25,ni Mungu ndiye anasema kwamba vijana hao wawili walikaa pangoni kwa muda wa miaka mia tatu.Ikiwa huo ndio uelewa,inakuwaje tena katika aya inayofuata Mungu huyo huyo anakataa tena muda huo wa miaka 300 na kisha anasema yeye ndiye anafahamu muda kamili waliouutumia hao vijana pangoni?

Na je ikiwa sio Mungu anayetaja muda huo wa miaka 300 katika aya ya 25,ni mtu gani mwingine ambaye aliweza kuishi hadi miaka 300 tokasiku vijana hao wanazimia pangoni hadi siku wanazinduka hata aweze kuwaambia kuwa wamekaa humo kwa miaka 300?

"18:26 - Sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi muda walio kaa. Ni zake tu siri za mbingu na ardhi. Kuona kulioje na kusikia kwake! Hawana mlinzi isipo kuwa Yeye, wala hamshirikishi yeyote katika hukumu yake."
 
Sasa umeamia kwa MJA

Sijachepuka uelekeo. Niko mle mle.Tuko tunatafuta ni nani hasa alikuwa anaelezwa habari za Jua kuzama katika Bwawa la Matope meusi.Wanazuoni tuelezeni kwa mjibu wa aya nilizokuwekea hapo juu ni Musa au Muhammad? Huyo Mja ambaye anaonekana yuko na Musa safarini akimufafanulia mambo mbalimbali kuanzia aya ya 65- 83 ndiye Muhammad au ni nani hasa? Je,huyo Mja ni Mungu au nani?Umezisoma aya ninazokueleza?
 
Mohammad alikuwa muhongo sana na hata hiyo Qu'ran si Mungu aliyemshushia. Mohammad kila alipotaka kitu kwa tamaa alitumia uwongo/ulaghai kusema kwamba Mungu alimuotesha na watu waliamini hivyo. Kwa dunia ya sasa tunaweza kumuita tapeli, maana watu waliokuwa wanamfuata na kumsikiliza uwongo wake walikuwa mazezeta kwa sababu hata upuuzi aliokuwa anawaambia walimuani bila kumhoji, walishindwa hata kujiuliza.
Yeah mfano kutokunywa pombe kila siku alibadilisha sheria
 
Dhul-Qarnaini(

Mkuu:

Wanazuoni wa Kiislamu toka uzi ulipobandikwa walituambia kuwa suala la Jua kuzama katika matope ilikuwa ni maongezi kati ya Muhammad na Mungu.Ndio kusema Mungu alikuwa akimpatia Muhammad simulizi jinsi Dhul-Qarnaini alivyoliona Jua likizama mbele ya upeo wa macho yake.Tuliosoma aya hiyo ya 18(Al-Kahf ) kwa kina tuliona ngoja tuwakubalie hivyo wanavyosema ili wafunge milango na madirisha kabisa ili washindwe namna ya kutoka mbele ya safari.Sasa tunawauliza:

1.
Je,Ni Muhammad ndiye anatajwa na aya ya 65 kama mja wa Mungu?

2. Je,kama Muhammad ndiye Mja ambaye alikutana na Musa na Kijana wake wakiwa wanamtafuta samaki aliyesahauliwa na kijana wake,ina maana Muhammad wakati wa uhai wa Musa naye alikwisha kuzaliwa?

3.Kama Kurani haisemi uongo,hivi inaingiaje akilini kwa samaki ambaye Musa na Kijana wake walikuwa wakisafiri naye na kisha kusahaulika,kuweza kuchoropoka na kisha kuingia baharini tena? Huyo samaki alimudu vipi kuwa hai nje ya maji kwa safari ile kiasi kwamba aliweza kuchoropokea tena majini?

"18:60 - Na pale Musa alipo mwambia kijana wake: Sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari mbili, au nitaendelea kwa muda mrefu.

18:61 - Basi wawili hao walipo fika zinapo kutana hizo bahari mbili walimsahau samaki wao, naye akashika njia yake kaporonyokea baharini.

18:62 - Walipo kwisha pita alimwambia kijana wake: Tupe chakula chetu cha mchana. Kwa hakika tumepata machofu kweli kwa hii safari yetu.

18:63 - Akasema (kijana): Waona! Pale tulipo pumzika penye jabali basi mimi nilimsahau yule samaki. Na hapana aliye nisahaulisha nisimkumbuke ila Shet'ani tu. Naye akashika njia yake baharini kwa ajabu.

18:64 - (Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia.

4.
Aya zilizotangulia ile ya 62,kunaonekana ni simulizi la safari ya Musa na Kijana wake tu lakini ghafla katika aya ya 62 kunaonekana kuna watu zaidi ya watu wawili, ambao wanamuomba Kijana wa Musa chakula wale.Je,hao watu wengine ni akina nani?

5.Ghafla kuanzia ya 65 anaongezeka mtu mwingine safarini ambaye ndiye Musa anamuomba aambatane naye safarini.Ni mtu huyu anayejiunga katika safari ya Musa katika ya 65 ndiye anaendelea hadi aya ya 83 anapoanza kumuhadithia Musa habari za Dhul-Qarnaini.SASA.tuwaulize wanazuoni wa Kiislamu,ni Musa ndiye aligeuka akawa Muhammad na kisha kusimuliwa habari za Dhul-Qarnaini?

Mkuu watu wengi wasicho kielewa koloani ni stori za Babu ahadithia wajukuu zake
IMG_20180709_203600_021.jpg
 
Yeah mfano kutokunywa pombe kila siku alibadilisha sheria

Kurani nzima imesomwa na kila aya itatikiswa ili watu wajionee ukweli wa mambo.

Kwa mfano kuna tukio mke wake Muhammad,Aisha, alisemekena kuchepuka.Jambo hilo likashikiwa bango na baadhi ya walioamini mpaka kufikia hatua ya kumueleza Muhammad kwa nini anaendelea kubembelezana na Aisha wakati wanawake wamejaa?Kwa nini asiachane na aoe mke mwongine?

Kelele na zomeazomea zilipozidi, katika hali ya Kushangaza,Muhammad akaingia ndani kwa mkewe Aisha na alipotoka nje akasema ameshaongea na Mungu na Mungu kamdhihirishia kuwa hilo suala la Ugoni, Aisha anasingiziwa tu na hapo hapo Aya ikashuka juu ya masuala ya Ugoni kwamba ili ugoni uthibitike ni lazima kuwepo mashahidi.Na baada ya aya hiyo kushuka, ile timu iliyokuwa inasambaza ubuyu ule wa Aisha kuchepuka au kukamatwa ugoni wakaadhibiwa vibaya sana kwa kuchapwa mijeledi! Ni Mungu gani anafanya kazi namna hiyo?
 
Pamoja na yote Ikumbukwe hakuna aujuae ukweli kuhusu jua na hii dunia hapo sijagusia mwezi... Vyote tuvijuavyo ni kwasababu yakuwaamini waliotuambia so wote tuko sahihi.
 
Sasa umeamia kwa MJA

Tunaendelea kuhakiki au kutikisa aya zinazozitangulia aya za Jua kuzama katika Bwawa la matope ili kujiridhisha kama ni kweli ni Mungu alikuwa anaongea katika Sura hiyo au ni kitu kingine tu. Katika sura hiyo hiyo ya 18(Al-Kahf ),aya ya 50 inaonekana Shetani anao madhuria:

"
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye kudhulumu."

Kwa mjibu wa Kamusi ya Kiswahili,Dhuria ni ndugu katika ukoo.Je,shetani naye anao ndugu?
 
Pamoja na yote Ikumbukwe hakuna aujuae ukweli kuhusu jua na hii dunia hapo sijagusia mwezi... Vyote tuvijuavyo ni kwasababu yakuwaamini waliotuambia so wote tuko sahihi.

Kwa hiyo unataka kutueleza kwamba hata maelezo ya Kurani yanayotolewa na aya za 83-86,huyaamini wakati yanatolewa na Mungu kwa Muhammad?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom