Mtui na wengineo njooni muwaone hawa

Mtui na wengineo njooni muwaone hawa

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,954
1fde68f0d7bc506e35a202c5e285d241.jpg


Watu kwa kutafuta kiki duuuh....
Wakaamua kuedit na kuweka majina yao...
 
Kila siku unaniuliza,inaelekea unachepuka sana hadi unapoteza kumbukumbu.....

Ipo ya kutosha unakaa wewe,Mtui na hao majamaa hapo juu wanaotafuta kiki...na hamuanguki[emoji23]
Lol...huyo chura balaa...asije akafanya watu tukabadili gia angani...
 
Sawa, hebu mjaribu kuweka hapo Sakayo kama itafaa
 
Si utume msg nyingine na kisha uandike my wife huyo pichani anatafuta kazi ya uhouse girl vipi anafaa au nitafute mwingine?
 
Kila siku unaniuliza,inaelekea unachepuka sana hadi unapoteza kumbukumbu.....

Ipo ya kutosha unakaa wewe,Mtui na hao majamaa hapo juu wanaotafuta kiki...na hamuanguki[emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom