Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
MTUHUMIWA WA KASHFA YA ARV APEWA TENDA KUZALISHA ARV TENA
Na Martin Maranja Masese
. @wizara_afyatz hebu tujadiliane kwa utimamu.
Turudi nyuma kidogo. Ramadhan Madabida akiwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam akiwa pia ndiye Ofisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda cha dawa cha Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI) kilichoko Njiro jijini Arusha, 10 Februari 2014 alikamatwa na kushtakiwa kwa kusambaza ARV bandia (fake).
Ramadhani Madabida na Ofisa Ubora wa Bidhaa wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD), Evance Mwemezi walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana kusomewa mashtaka ya kuuza na kusambaza dawa feki za ARV. Walikabilowa na mashtaka mengine matano ikiwepo kusabibisha hasara ya Sh148.3 Bilioni.
Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali, Shadrack Kimaro alisema katıka shtaka la kwanza, Aprili 5, 2011, Ramadhan Madabida, Shamte, Msote na Shango wakiwa na nyadhifa hizo kiwanda cha TPI walisambaza makopo 7,776 ya dawa bandia za kufubaza virusi vya Ukimwi (ARV) aina ya Antirectroviral.
Katika shtaka la pili, ilielezwa kwamba Aprili 11, 2011, Madabida, Shamte, Msofe na Shango walisambaza na kuuza makopo 4,476 ya dawa bandia aina ya Antiretroviral walizokuwa wakijaribu kuonyesha zilikuwa na viambatanisho vya starudine 30mg, Nevirapine 200mg, Lamivudine 150mg na fungu namba OC 01.85.
Nimeona taarifa, Waziri wenu wa Afya, ameagiza uongozi wa kiwanda cha dawa cha Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI) kilichoko Njiro, jijini Arusha kuanza kuzalisha dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI (ARVs) ifikapo mwezi Juni 2026 ili kupunguza mzigo wa kuagiza dawa nje ya
Waziri wenu wa Afya alipotembelea kiwanda hicho kilichositisha uzalishaji tangu mwaka 2013 alisema kilisamama kuzalisha kutokana na kukwamishwa na baadhi ya watu ambao hawakua na nia njema kwa nchi na kujali maslahi yao binafsi na akaonya yeyote atakayekwamisha mchakato atahesabika kama mpinga maendeleo.
Wakati Serikali inamkamata Ramadhan Madabida na wenzake na kuwapa kesi ya kutengeneza ARV bandia, walisingiziwa? Kwanini walisingiziwa? Nani aliwasingizia? Walishtakiwa na Serikali ya CCM kwa kutengeneza ARV bandia na wameruhusiwa na Serikali ya CCM kutengeneza ARV tena baada ya USAID kuondoa ufadhili. HOW?