Mtuhumiwa kesi ya Dk. Ulimboka atoa siri nzito...

Mtuhumiwa kesi ya Dk. Ulimboka atoa siri nzito...

Mtu asiye na fikra pana huishia na lugha kama zako. Fikiri halafu unganisha dots. Ulikuwa hujui kama slaa ni muajiriwa serikalini kwa miaka mingi sana, unofficially, wanaojuwa maana watakueleza.

Uliona wapi duniani mtu anamponda Rais kuwa hajachaguliwa kihalali halafu hapo hapo anamuomba Rais huyohuyo akamfungulie matembezi ya kuchangisha fedha.

Ukistaajabu ya kondoo utayaona ya mchunga kondoo!

Bado tu unastaajabu na visa na vituko vya mchunga kondoo mwenye kesi za kutembea na mke wa mtu, mwenye kuzalisha nje ya ndoa na kutelekeza watoto.

Fikiri!

Hacha shobo bibie,kwani hauwezi kujadili hoja mpaka umtaje Dr Slaa,wanaume bado wako wengi tu,
 
Hii sinema haijafika mwisho tu!
 
Wewe zomba; kheri ya mwaka mpya,,,,,,,,,,,,,,,,sasa unataka kuniambia ya kwamba Dr. Slaa kwa kuwa ana kiwanja anaweza kuws alihusika katika hili la Ulimboka?????


Hii singo imepitwa na wakati, nasikia dokta slaa ana ardhi msitu wa pande, jee, kuna uhusiano hapo? Vitu vimejificha.
 
Last edited by a moderator:
yaani zoka, ahmedi msangi, ighondu, jk na pinda! ndio haswaaaaaa vinara wa movie hii! aibu zenu serikali ya kidictator!
 
Hii singo imepitwa na wakati, nasikia dokta slaa ana ardhi msitu wa pande, jee, kuna uhusiano hapo? Vitu vimejificha.
Hata wewe siku hizi umepitwa na wakati kutwa unashinda kwenye misiba ukivizia pilau
 
Hata hivyo mtuhumiwa huyo alitoa siri nzito ya kile alichokieleza kuwa, ukweli kuhusu Dk. Ulimboka, jinsi alivyokamatwa, kuhojiwa na kufikishwa mahakamani katika mazingira aliyodai tatanishi, ambayo gazeti hili kwa sasa haliwezi kuripoti kwani kufanya hivyo ni kuingilia mwenendo wa kesi iliyopo mahakamani.

.

Utamu wooooote umeishia hapa! Yaani Gazeti linasema katoa siri nzito nami msomaji natoa mimacho kusoma siri nzito iliyotolewa na mtuhumiwa lakini naishia kwenye maneno hayo!
 
Acha utoto kwenye mambo ya maana kama unaona uprtair huna kit si unyamaze kwan lazima tjue uko online,then mbona unaropokaropoka au upo karbu na choo hapo nini?
 
Inchi hii viongozi wana 2tawala kwa mkono wa chuma, hawafuati utawala bola kam wanavyo pigia kelele.chengine nyie mnaejiita wanaharakati wa haki za kibinaa dam mkowapi? Msaidieni jamaa huyo ( alie gerezani ) apate haki yake!

nani kakwambia wanaharakati wa haki za binadamu wana-deal na ishu zilizopoa? wao wanavizia ishu hot hot zinazogusa Taifa then wanaibuka na mabango yao kutoka ndani ya magari yao ya kifahari na kupigwa picha ili waonekane na 'mabwana' wa majuu. then madola yanamiminwa kwenye kapu lao...wana-enjoy maisha! hiyo ishu ya mkenya ikishika moto kitaifa ndo utawaona wanaibuka tena! ni watu wa timing masilahi-wise! unachezea midola wewe...
 
Jee, wewe unavuta hewa kwa kuinunuwa? Ukimaliza hilo unganisha hii picha: dokta wa kannoni silaa ana ardhi huko pande, ni mchungaji kondoo aliyepotea na ana uhusiano na kanisa, mkenya ni kondoo aliyepotea na amekamatwa taarifa zikitokea kanisani. Hapo sasa!
si wewe ndugu zako walipewa kesi ya wizi wa mafuta ukaja kulia hapa Jf?sasa hivi unaona sawa mkenya kuozea keko wakati ramadhan ighondu bado anapumua bure tu
 
GK nao naona wako legelege.. Raia wao amewekwa ndani kwa makosa ya kubambikwa hata kutoa kauli wanashindwa..? Cipati picha kama raia wa Marekani ndo angebambikiwa keci hii..

Serious Kova & co kuweni na huruma.. Huyo Ramadhan wala mcimkamate but muachieni mkenya wa watu.. Sio kuzuri kule..
 
hivi huyo raia wa kenya wanamtesa bure kwasababu gani na wakati ramadhani ighondu yupo anavuta hewa bure?

wewe unailipia hewa? Acha chuki na kutaka kuingiza yako unayoyataka na kuyapenda
 
Naona mkakati mpya wa nguvu ya umma ni kulitumia gazeti lenu la tanzania daima kuandika heading zinazovuta wasomaji then mnaishia kutapatapa
 
Back
Top Bottom