Yatajulikana tu! Nchemba atakuwa na mkanda wa ikulu wakipanga mauaji.
hahahahaha!!
very funny!!
Yatajulikana tu! Nchemba atakuwa na mkanda wa ikulu wakipanga mauaji.
kodi zetu zikitumika vibaya/[/QUO
sheli-kali zaifu inatumia pesa za kodi kuwa angamiza walipa kodi badala ya kuwashughulikia wakwepa kodi na wakwapua kodi za TAIFA,tuendeleze mapambano kuna siku huyu mkoloni mweusi alie kunywa sumu ya jani la tumbaku ata tuachia nchi yetu iwe huru.
Hii singo imepitwa na wakati,
nasikia dokta slaa ana ardhi msitu wa pande, jee, kuna uhusiano hapo?
Vitu vimejificha.
Mkuu umepotea jamvini, heri ya mwaka mpya
Kichwa cha habari ama taarifa kingekuwa hivi...Wanasheria mpo wapi kumtetea Mulundi? usingehusisha chama...pia kwenye maelezo umetaja hata watu wasiokuwa CDM mfano Mh mbatia......
Mkenya huyo hana fedha za kuwalipa hao wachumia tumboNimesoma kwenye gazeti la Tanzania daima jinsi kijana wawatu ambae ni raia wa Kenya anavyoteseka mahabusu kwa kusingiziwa ndie aliemteka Dr Ulimboka na kumtesa kitu ambacho sio kweli.Ss mm roho inaniuma maana serekali kwakuwa wanajua walichokifanya wanapiga danadana wakati kijana wa watu anaendelea kuteseka.Naomba nichukue nafasi hii kumuomba mh LISU na MBATIA na KIMOGOLO na wengine wengi haswa walio mrengo wa cdm kumtetea huyu kijana.Hata kama humu jf kuna wataalam wa sheria msaidieni jamani maana anasin
Mi nashangaa kataja Ramadhani ofisa wa ikulu badala wakamkamate huyo kwa mahojiano zaidi wameenda kumkamata mkenya wa wa2 hiv we baloz wa kenya na wakenya wote unakubaliana na hili m2 wenu anateseka Tz huku?
Mi nashangaa kataja Ramadhani ofisa wa ikulu badala wakamkamate huyo kwa mahojiano zaidi wameenda kumkamata mkenya wa wa2 hiv we baloz wa kenya na wakenya wote unakubaliana na hili m2 wenu anateseka Tz huku?
Swali zuri sana hili? Pia je hao walioandika hii habari wamejaribu kufanya uchunguzi zaidi kwa kuwasiliana na ubalozi wa kenya, wizara ya sheria, dpp, e.t.c kufuatilia kilichosemwa au ndio wameishia hapo!