Mtuhumiwa kesi ya Dk. Ulimboka atoa siri nzito...

Mtuhumiwa kesi ya Dk. Ulimboka atoa siri nzito...

nyie kweli wabongo wagumu kuelewa,hlo gemu/mchezo umesukwa na wataalamu kwa kuweka hoja hyo ili kuwarubuni watz kuwa ni kweli huyo mtu kashikwa na yupo,ila kwa ujumla ni danganya toto.hayo yamepikwa .ila wakumbuke hayataiva kamwe,kwani mwenye kuteswa alisema ni akina nani wamehusika,sasa leo wewe mkenya unakuja na swaga za kudanganya umma hapa,haupo gerezani wala nini wala nini na kama upo gerezani bsi wewe ni feki,ila kumbuka utakuja kufa ili kumaliza kabisa kesi usijali.
 
Tanzania daima halina mauzo siku hizi kwa hiyo linajaribu kuchokoa chokoa mambo ili liweze kuongeza mauzo
 
Ndio mana kibanda amelihama hili gazeti na maboss zake.
 
Nyie mwenzenu ataanza kulia sasa hivi acheni kumsingizia mtoto wa watu Pinda...akilia mm simo
 
Dr.Ulimboka hataki mateso yake yawe chachu ya mabadiliko hivyo,tumwachie Mungu mateso anayopata kijana huyo.
 
Ni watanzania wangapi walipoteza maisha yao wakati wa mgomo? Nani mtetezi wa roho zao? Au hawana haki kwa kuwa wamefariki?
 
Hata hivyo mtuhumiwa huyo alitoa siri nzito ya kile alichokieleza kuwa, ukweli kuhusu Dk. Ulimboka, jinsi alivyokamatwa, kuhojiwa na kufikishwa mahakamani katika mazingira aliyodai tatanishi, ambayo gazeti hili kwa sasa haliwezi kuripoti kwani kufanya hivyo ni kuingilia mwenendo wa kesi iliyopo mahakamani.

Sasa huyu mtuhumiwa hiyo siri nzito ya ukweli wa utekwaji wa Dr. ameijua vipi kama kwa namna moja au nyingine hajahusika?
 
Wagonjwa walioteseka kwa kukosa muhuduma za matibabu kwa sababu ya mgomo, haki zao zinatetewa na nani? Kwann baadhi ya vyama vya siasa vinashabikia hii kesi badala ya kuangalia upande wa pili? Kwa hiyo hapa tanzania kuna madaraja ya hadhi ya raia?
 
Return Of Undertaker Huku ni kujikanyaga tu, huyu mtuhumiwa si alijepeleka mwenyewe na kusema yeye ni mhusika wa tukio hilo? iweje leo aseme hana hatia? Sijawahi kusikia popote kuwa moja ya upelelezi wa polisi ni kumpeleka mtu amtambue mtuhumiwa, hii itakuwa ya aina yake kama siyo watu kutaka kudharau vyombo vyetu vya ulinzi.
 
Last edited by a moderator:
Jamani tumejarinbu kila njia kufuata sheria ili swala hili lipatiwe haki yake, jeshi la polisi akiwemo kova, ikulu, pinda wamegoma kututendea haki tunapoteza muda nao wa nini? wanasheria hao wa ulimboka nao wanaleta hadithi kwa nini wasifungue kesi mahakamani tukajua moja? mpiganaji pekee aliyejitoa Kubenea na mwanahalisi gazeti limefungiwa wanakula vumbi sisi tumewaacha solemba, mtuhumiwa tunamjua, wekeni picha yake hapa, tuchukue sheria mkonono kwa ke na familia yake, hivi mnadhani alkaida waliundwa na mtu? ni ushenzi kama huu wa wakina zoka, pinda na kikwetu uliowatengeneza, Ramadhani should go ili nao wajue nini maana ya kuwa nchi yenye usawa kwa raia wake,usawa hauna maana wakina ulimboka wafanyiwe hayo na wakina ramadhani, kwa kuwa walitumwa kuua na ikulu waendelee kupeta, hebu tuchangamkeni mara moja
 
Wagonjwa walioteseka kwa kukosa muhuduma za matibabu kwa sababu ya mgomo, haki zao zinatetewa na nani? Kwann baadhi ya vyama vya siasa vinashabikia hii kesi badala ya kuangalia upande wa pili? Kwa hiyo hapa tanzania kuna madaraja ya hadhi ya raia?

Hata mimi nashangaa, Ulimboka mmoja amekuwa muhimu kuliko watanzania walifariki bila hatia kutokana na sakata hilo.
 
Jamani tumejarinbu kila njia kufuata sheria ili swala hili lipatiwe haki yake, jeshi la polisi akiwemo kova, ikulu, pinda wamegoma kututendea haki tunapoteza muda nao wa nini? wanasheria hao wa ulimboka nao wanaleta hadithi kwa nini wasifungue kesi mahakamani tukajua moja? mpiganaji pekee aliyejitoa Kubenea na mwanahalisi gazeti limefungiwa wanakula vumbi sisi tumewaacha solemba, mtuhumiwa tunamjua, wekeni picha yake hapa, tuchukue sheria mkonono kwa ke na familia yake, hivi mnadhani alkaida waliundwa na mtu? ni ushenzi kama huu wa wakina zoka, pinda na kikwetu uliowatengeneza, Ramadhani should go ili nao wajue nini maana ya kuwa nchi yenye usawa kwa raia wake,usawa hauna maana wakina ulimboka wafanyiwe hayo na wakina ramadhani, kwa kuwa walitumwa kuua na ikulu waendelee kupeta, hebu tuchangamkeni mara moja

Hii itakuwa vita kati ya watetea wanyonge na wanaotaka umaarufu wa kisiasa. Hivi tunaacha issue ya msingi tunabaki kulalama na watu ambao hakuna ushahidi wowote kuwa walihusika. Katika hili KIKWETE, PINDA NA IGHONDU wanahusika vipi? mimi naamini walioko nyuma ya sakata hili ni wale waliosema nchi haitatawalika. Namumba MWIGULLU NCHEMBA aweke hadharani mkanda wa video wa CHADEMA kupanga mauaji ili tuweze kuoanisha ya haya matukio ili tuone kama kuna mahusiano na hatua za haraka zichukuliwe ili kukomesha njama hizi za kutaka kulitumbukiza taifa katika dimbwi la damu.
 
Hivi huyu mtuhumiwa hana haki ya kupewa wakili kama hana uwezo wa ku-hire?
 
Sasa huyu mtuhumiwa hiyo siri nzito ya ukweli wa utekwaji wa Dr. ameijua vipi kama kwa namna moja au nyingine hajahusika?

Mkuu huyoni hawa ni vijana wa SLAA walioko kazini? mbona wanafahamika sana tu. Mtuhumiwa yuko gerezani, amesomaje gazeti?
 
Lolote na liwe

Lolote na liwe ya kwenye keyboard ndo watanzania mnayoiweza watu walikuwa na munkari alivyoitaja namba na wakaitrace namba ki ukweli waTANZANIA hatuna liwalo na liwe ya ukweli.
 
Dr.Ulimboka hataki mateso yake yawe chachu ya mabadiliko hivyo,tumwachie Mungu mateso anayopata kijana huyo.

Afadhali umesema ukweli wako. Nilishasema hapa JF kuwa tukio la Ulimboka linatumiwa na wanasiasa kama chachu ya mabadiliko kwa kuwachafua watu, viongozi wa nchi na vyombo vya ulinzi. Nimejaribu kufuatilia sana nimegungua kuwa kuna vijana wa SLAA wanafanya kazi hii, na wanaibuka sana na suala hili pale CHADEMA wanapoonekana kuporomoka kama ambavyo tunajua hivi sasa ndani ya chama kuna mtikisiko mkubwa sana.
Wananchi tunapaswa kuwa makini sana na hawa jamaa ni hatari sana.
 
Hii singo imepitwa na wakati, nasikia dokta slaa ana ardhi msitu wa pande, jee, kuna uhusiano hapo? Vitu vimejificha.

Wewe ndiyo CHIZI mkuu!!au mmoja wapo wa watekaji?mbona unataka kutuhamisha kwenye mada?
 
Jee, wewe unavuta hewa kwa kuinunuwa? Ukimaliza hilo unganisha hii picha: dokta wa kannoni silaa ana ardhi huko pande, ni mchungaji kondoo aliyepotea na ana uhusiano na kanisa, mkenya ni kondoo aliyepotea na amekamatwa taarifa zikitokea kanisani. Hapo sasa!

Sio bure umehongwa wewe ili kuyumbisha ukweli.
 
Back
Top Bottom