TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
Ninayo mayai ya kienyeji ila ni makubwa sh 10.000nikulwtwe wapi?
Natafuta mfugaji wa kuniuzia trey 100 au zaidi. Mm nipo dar
Wakati wowote ukiwa nayo hata leo poa. Nahataji Mara kwa maraNaweza kukupatia,unayahitaji kwa lini? ni kwa mara moja au ni kila baada ya muda fulani ili nikukusanyie kwa wakati
Ok0712537762 icheki hyo number
Wewe ndo unahitaji mayai?0713524150 piga tuongee