NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 231
Mkuu usijute kuzaliwa familia masikini ila juta ukiendelea kuwa masikini na kufa masikiniKaka ni hatari na mda umeshakuwa mrefu najuta s sana kuzaliwa katika familia ya kimaskini
Mkuu usijute kuzaliwa familia masikini ila juta ukiendelea kuwa masikini na kufa masikiniKaka ni hatari na mda umeshakuwa mrefu najuta s sana kuzaliwa katika familia ya kimaskini
Kumaliza MUHAS si shida ila umemaliza coarse gani na ulipata ufaulu gani?Mkuu mimi nimemaliza Afya MUHAS 2016, Ajira za mwaka jana walitoa sikupata, wametoa mwaka huu nikaomba tena sikupata !
- Mwanzoni nilidhani tulibaki wachache kumbe ni watu kibao hususani Intake za 2016 na 2017 !
Wewe ni taahira. NakupuuzaKumaliza MUHAS si shida ila umemaliza coarse gani na ulipata ufaulu gani?
FactKweli aisee,, mfumo wa elimu yetu si rafiki linapokuja suala zima la ajira,, mfumo unakufanya uwe tegemezi,,, Inabidi kujiongeza sasa,,, mtaa kuna watu kbao sio walimu pekee kuna afya pia
Mm nmemaliza 2014 mkuu inaniuma wa 2015 kuajiriwaKumbuka mimi nimemaliza 2015 kinachoniuma ni wa 2016 na 2017 kuajiriwa kabla yangu nanimefanya vizuri kwenye masomo na pia kuna wa mwaka 2018 wameajiliwa ila wameficha kwa kutokuweka mwaka
Tatizo lenu vijana mnatukana sana mitandaoni na maneno ya ajabu ajabu
Afiisa makini akipata application yako tu anaku google,fasta akienda facebook na instagram anakuta huendani na ualimu anakutupa tu
KajiajiliNimetafakari kwa kina juu ya ajira hizi sizielewi naomba declare interest nimemaliza masomo mwaka 2015 Ndala teachers college na kupata GPA ya 3.9 Credit lakini mara kwanza nilikosa na mara pili nimekosa sasa sijajua ni vigezo vinatumika katika kuchagua wanafunzi.Mbaya zaidi nachakusikitisha wanafunzi waliomaliza 2016 na 2017 wamechukuliwa wwngine wa astashahada, Shahada, stashahada sijajua tamisemi kuna tatizo gani? Na sijui hao waliomaliza 2016 na 2017 walituma maombi lini? Naomba mheshimiwa magufuli Uiangalie kwa jicho la pekee tamisemi kuna dalili ya rushwa ya wazi bila kificho kwa mtu wa 2017 na 2016 kupangiwa vituo vya kazi wakati wengi wetu wa 2015 tukiwa mitaaani labda ni watoto wa wasioguswa
Nilikuwa napitia tuuu baada ya machungu ya kukosa ajira ya ualimu nikajaribu kupitia walimu walioajiriwa wa mwaka 2016 na kisha nikapitia wa mwaka 2017. Nilianza na waalimu waliomaliza 2016 ni wengi walioajiriwa kati ya hao walioajiriwa chuo kinachojulikana kwa jina la Mamire chuo cha ualimu waliomaliza hapo wengi wameajiriwa.Katika chuo kinachoongoza kwa watahiniwa wake kuwa wengi wamemaliza 2016 na pia wameajiriwa katika hizi nikajiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu ni nani mmiliki wa chuo hiki? Je chuo wamehonga pesa kwa waajiri ili wanafunzi wao waajiliwe?Au wanakitangaza chuo kwamba ukisoma hapo lazima uajiliwe kwa kuwa wanahisa na tamisemi? je kwasisi ambao tunashindia maji tunaweza kusoma chuo hicho? Au kinamilikiwa na mmoja wanaotoa ajira hapo ndio maana wanafunzi wake wengi wameajiriwa?
Pia nimesoma kuna mwanafunzi mmoja amesoma sua diploma ya ualimu 2016 na ameajiriwa je tangu lini Sua ikaaanza kutoa stashahada ya ualimu?
Pia waliomaliza 2017 na kupangiwa vituo hapa kuna tatizo kubwa la rushwa,Utumiaji wa ovyo madaraka na pia upendeleo au ni watoto wakubwa
Kwani hatujui ni lini waliomba hizi nafasi na kama zingetangazwa nahisi wanafunzi wa vyuo vyote wangeonekana kwanini SEkomu 80,Udsm12 na Udom 2 what abuot Sua? Serikali tunaomba izipitie ajira hizi kwa Umakini vinginevyo kitengo cha ajira tamisemi wanatumia nyanja hizi kujitajirisha Mhe Rais tuoneee huruma na tusikilize sisi wanyonge
Endelea tu kujidanganya kijanaHuu Uongo Wa Mchana Kweupe!
FB, JF, IG, TWT vijana Hutumia ID fake... Huwezi Ukamgoogle mtu Kwa ID fake let say Jina langu halisi utakapoligoogle Utalipata Vipi lifanane na King Ngwaba?
Eti nyie wa 2015 ni wahenga....Kumbuka mimi nimemaliza 2015 kinachoniuma ni wa 2016 na 2017 kuajiriwa kabla yangu nanimefanya vizuri kwenye masomo na pia kuna wa mwaka 2018 wameajiliwa ila wameficha kwa kutokuweka mwaka
Ila wa mwaka 2015 wengi ndo wameajiajiriwa chuo chetu mwaka 2015 kilikuwa na wahitimu 3 wameeajriwa bado sis wa mwaka 2016 ,Kumbuka mimi nimemaliza 2015 kinachoniuma ni wa 2016 na 2017 kuajiriwa kabla yangu nanimefanya vizuri kwenye masomo na pia kuna wa mwaka 2018 wameajiliwa ila wameficha kwa kutokuweka mwaka
Mkuu mbona kama umepungukiwa hekima hapa? Au mimi ndio sijui mfumo ulivyo?Tatizo lenu vijana mnatukana sana mitandaoni na maneno ya ajabu ajabu
Afiisa makini akipata application yako tu anaku google,fasta akienda facebook na instagram anakuta huendani na ualimu anakutupa tu