Mtu unamheshimu unakuta ameweka status ya "1980s challenge"

Mtu unamheshimu unakuta ameweka status ya "1980s challenge"

Hivi inawezekana ikawa ni Mimi tu ndio sijauelewa huu uzi unazungumzia nini?
 
Hivi inawezekana ikawa ni Mimi tu ndio sijauelewa huu uzi unazungumzia nini?
Anazungumzia kuwa watu wazima wengi hutumia technology ya akili mnemba (AI) kubadili picha zao zionekane za miaka ya 80. Kwake yeye anaona ni jambo la aibu lkn je wewe unaweza kushangaa hilo?
 
Anazungumzia kuwa watu wazima wengi hutumia technology ya akili mnemba (AI) kubadili picha zao zionekane za miaka ya 80. Kwake yeye anaona ni jambo la aibu lkn je wewe unaweza kushangaa hilo?
Poa thx mkuu.
 
Kwani wamekulazimisha uwaheshimu?

Picha zao, bando lao, Whatsapp yao, hawajakulazimisha kuangalia, povu la nini?
Kuna kizazi cha kipumbavu sana, anadhani anachofikiri yeye ndio sahihi kwa wengine kumbe jingajinga fulani tu.
 
Aina ya watu kama mtoa mada wakipewa vyeo ndio wanaanza kukandamiza watu.
 
Mi nimewa mute kwa muda. Siwezi kuview upuuzi..!!
 
Maisha ni mchanganyiko wa mambo mengi ila yanategemeana. Hata wewe kuna mambo unafanya watu wanakushangaa. Jifunze kuheshimu kila mtu . Hawajakulazimisha uwaheshimu
 
Back
Top Bottom