Mtu na Mkewe, Wapigwa Risasa na Kumwagiwa Tindikali.

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Magaidi washambulia Zanzibar

6209126.jpg

Wajeruhiwa katika tukio la kigaidi
Monday, January 23, 2012 12:42 PM
Zanzibari, habari kutoka Zanzibar zinaripoti kuwa, Magaidi wasio na hurama wamewapiga risasa na kuwamwagia tindikali mtu na mkewe. Tukio hilo limetokea eneo la Kiponda.
Bwana Alvind Asawla na mkewe Bimal Alvind walikumbwa na mkasa huo pale walipokuwa wanarejea nyumbani kwao wakitokea klabu ya pombe (bar). Akisimulia tukio hilo Alvind alisema kuwa, Watu wasiojulikana waliwavamia yeye na mkewe. Katika tukio hilo, Mkewe alimwagiwa tindi kali, na alipojaribu kumtetea akapigwa risasi iyozama kichwani mwake kwa masaa kumi na mawili. Kwa rehema za Mungu risasi haikuharibu ubongo wake.

Alvind alisema kuwa, anaamini watu hao ni magaidi kwani wangekuwa majambazi wasingemwagia tindikali maana majambazi wana lengo la kupora mali wala sio kutia watu vilema. Akisisitiza dai lake hilo alieza kuwa, ameshawahi kupokea vitishgo vya mara kwa mara kwa njia ya kupelekewa barua za kumtishia kumuua kama hatoacha kuuza pombe.

Baba yangu alimwagiwa tindikali na kupoteza maisha mwaka 2007, ameongezea Bw, Alvind. Naomba serikali ya SMZ iwachukulie hatua watu hawa. Maana hadsi leo hii matukio ya kigaidi kibao yametokea ila hakuna aliyekamatwa. Kama biashara hii ya kuuza pombe haitakiwa ZNZ naomba serikali itufahamishe na tufunge biashara zetu.
 
tukiwa wazi juu ya hali ya Zanzibar ni kuwa wanaelekea kusiko.
Wanaojifanya kuongelea mambo ya hako wanajifanya wanajua sana historia yao lakini kiukweli uelewa wa masuala ya visiwa hivi ni uleule kwa watu wote tu, hakuna cha kujifanya kujua mbali na chuki na ujuha mwingi.

Maswali ya msingi ni yafutayo:
  1. Mbona sijawahi kusikia hawa 'wongeaji' wakimsifia Mwanamapinduzi namba moja, Okello?
  2. Mbona Ugomvi wa CUF wahusika wanakuja 'kupigana vijembe' huku Tanganyika na sio Mji Mkwongwe au Wete?

Wanaondeleza chuki waendelee huku wakiangalia wenzao akina 'Uhuru/Ruto' lakini naanza kuamini na kuuona ukweli huu kuwa "Bila Muungano hakuna Zanzibar". Samahani kwa watakaochukizwa na ukweli huu kwa maana hauwezi kuwaumiza sana zaidi ya hao waliopigwa risasi kwa kuuza pombe. Zanzibar inategemea utalii kwa kiasi kikubwa na hypothesis zinaonyesha kuwa 95% ya watalii ni wanywa pombe.
 
Tindikali inauhusiano na znz, inanikumbusha igunga ile kolabo na ccm, ikithibitika cuf ifutwe tanganyika. hawa watu wa ajabu sana, wanajidai kupinga kinywaji huku wanaunga mkono vif.i-ro. sheitwan mjanja sana.
 
Unafiki wa hali ya juu,mbona hawawamwagii Mashoga hiyo tindikali wakati uko ndio chimbuko?au pombe ni haramu kuzidi ushoga?Mbona vijiwe vya kitimoto viko kibao na wana hudhuria kama kawaida,kwanini wasiwamwagie tindikali hao kiti moto,sijawahi kuona unafiki wa kiimani kama huu.
 
kodi ya pombe tamu, ila pombe haramu. 90% ya wakazi ZENJ ni Muslims kwa hiyo hao ndio wateja wenyewe, sasa kwanini wanawavamia wafanyabiashara wa the POMBEZ?
 
inasikitisha sana, lakini siku watanhganyika wakichoka huu uchokozi, nadhini ndio utakuwa mwisho wa amani zanzibar
 
Back
Top Bottom