Mtu na dada yake

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
hii picha nimeiona kwenye the EastAfrican imenivutia sana. dogo anajua sister ake ni mzungu.
 
Hakika tungeishi kama watoto waishivyo dunia ingekuwa nzuri sana kwani tungependana, kujaliana, kueshimiana bila kuangalia rangi zetu, ulemavu wetu nk
 
Yesu aliyajua hayo tangu zaman. Waachen watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa mbinguni ni wao. Yeyote atakaye jishusha kama mtoto mdogo hakika atauona ufalme wa Mungu
 
Mtoto anapozaliwa huzaliwa na vitu viwili tu,UWOGA WA KUDONDOKA NA UOGA WA MAKELELE,na huzaliwa na what we call INTELLIGENCE na upendo wote,vitu kama uoga mwingine ukiachana na huo hapo juu,chuki,husda,tabia mbaya,vyote anavirithi kutoka kwa jamii anayoishi(familia yake,majirani zake,shuleni,marafiki n.k),so tabia nyingi uzionazo hapa duniani ni za kujifunza wakuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…