Mtu mzima hachungwi, mwanakulitafuta mwanakulipata

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
45,122
Reaction score
111,813
Jamaa alisafiri akampigia simu mke wake akamuuliza uko wapi!? Mwanamke akasema niko nyumbani.

Jamaa akamwambia kama uko nyumbani kweli kaa kitandani then mwambie dada wa kazi akupige picha then unitumie WhatsApp.

Mwanamke akafanya hivyo, ila alivyotuma tu na ndoa yao ikaishia hapo hapo.

Kwenye hii picha kuna shida gani ambayo ilipelekea hiyo ndoa kufa!?🤔
1000481202.jpg
 
View attachment 3568898
Inasikitisha sana Jamaa Jicho Kodo kwenye angle ya kitanda.
 
Back
Top Bottom