Mtu mweusi alitoka wapi?

Sasa kama adamu alikuwa mweusi vipi sasa mtu mweupe naye alitoka wapi? Maana mweusi na mweusi awezi kuzaa mweupe au mwarabu jibu swali ilo usi jifanye eti dini yako tu ndo ya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigwa jua genes zikabadilika
Hahahaha kuna Waarabu kama UAE kuna jua hatari lakini Warabu weupe wamebaki na rangi Yao na Waarabu weusi na rangi yao hii nadhani inakosa spices kujenga ushahidi. Ukifika Pakistani kuna Kabila mji Una Kabila Moja Baroushi ni weusi utadhani Wazambia
 
Ipo hivi kama binadamu ametokea kutokana Na nyani from nyani to mtu
Basi ni rahisi kutoka white to black
Inaitwa gene mutation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…