Mtu mwenye taaluma gani kamwe huwezi kuwa nae kwenye mahusiano ??

Mtu mwenye taaluma gani kamwe huwezi kuwa nae kwenye mahusiano ??

Mwanasiasa,mwanamuziki,mwanakwaya,nesi,daktari, askari(majeshi yote),sekretari,mtumishi wa ndege,Melissa,TANESCO kwa uchache ni hao.Pamoja na mambo kuwa magumu kiuchumi,kuoa mtumishi asiyejitambua ni JANGA sana.
 
Siwezi kua mahusiano ya Kimapenzi na MUUZA UCHI au Afisa usalama yeyote yule

Ila Kwa mahusiano ya kingono,
Aiseesibagui taaluma, ilimradi kitobo

Nachapa kila idara hadi wafagia mochwari,wachawi hadi waganga wa jadi.
 
Back
Top Bottom