Mtu mwenye mood kama yangu aje tuongee.....serious

Hee!
Kumbe Plato nawe mkaguzi now dayz?
Umeungana na akina 52 , Bishangar na wanzao?
Bt mi sijaamini hii kauli ya BT , nahisi Uchimvi at works ! Wanataka Bundi alie kwenye paa lako!
Washaona vinaelekea kukunyookea!

nimeshastukia mchezo........mimi mtoto wa JEIFU hawaniwezi.............ila kama watahitaji ukaguzi zaidi nitawafanyia lakini sharti iwe mchana
 
Hee!
Kumbe Plato nawe mkaguzi now dayz?
Umeungana na akina 52 , Bishangar na wanzao?
Bt mi sijaamini hii kauli ya BT , nahisi Uchimvi at works ! Wanataka Bundi alie kwenye paa lako!
Washaona vinaelekea kukunyookea!
Judgement ngoja ntakuambia yanayomsibu dogo wangu platozoom
Suala la yeye kujiunga na ukaguzi namuachia Asprin atoe kauli
 
Last edited by a moderator:
Hee!
Kumbe Plato nawe mkaguzi now dayz?
Umeungana na akina 52 , Bishangar na wanzao?
Bt mi sijaamini hii kauli ya BT , nahisi Uchimvi at works ! Wanataka Bundi alie kwenye paa lako!
Washaona vinaelekea kukunyookea!

Ameshakesha sana makaburini usikt wa manane,
tushavunja sana mayai viza njia panda kwa ajili apate kazi ya ukaguzi.
Kutangulia yeye kujiunga Jf,anajiona mjanja hataki kunikagua wakati tumelala wote juu ya miembe ili kutimiza masharti ya mganga!
Haya bwana platozoom nikane tu.
Judgement me naenda zangu kwa babu Asprin akanikague.
Nisipomkuta nanyoosha kwa Bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom