Mtu mwenye mood kama yangu aje tuongee.....serious

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,155
Nipo safi....akili imetulia na inachaji, sina ugomvi na mtu ukiachilia mbali akina AMKtrina na Miss Bantu wanaonitaka otherwise am weeeeeeeeeell fine in my head. Mje tuzungumze lolote lile lenye maslahi kwenye common sense. Hutakiwi kufikiri sana kama unaandika thesis just simple words.

Nawaalika Erickb52 (pamoja saaana), Young_Master single boy..... Judgment unpredictable man, Kaizer mzee wa maisha club etra extra..............! na wengineo.

Lets us go!
 
Last edited by a moderator:
jamani tujitolee kuwasaidia watoto wa mtaani wanateseka sana nani alaumiwe kwa hili?

Wa kulaumiwa nadhani ni sisi wananchi kwa sababu kuu 2.
1. Kutowatimizia watoto mahtaj yao ya msingi na hatimae wao wenyewe hutafuta njia mbadala za kujiingizia kipato.
Na wakishalowea hukataa kurudi home na huishia kuwa Strt-Chldrn.

2. Nadhani ni mateso wayapatayo majumbani mwao kupelekea kukimbia home na kurindima mitaani na at the end huwa like Chokoraa damu.
 
dahhh!hapa umetulia kama kwenye paper mamito tototooo!!subiri like yako hapohap
 
Back
Top Bottom