Ulijuaje Kama sina mpango wa kuchukua Majibu? Hehehe!kwan mmeshapima?kama mnasubiri majibu tayari kisha toka nduki majibu yanauma!
Mhhhh, huyo shemeji yako lazma ataRIP kwa woga we Majibu. Keshaharibu sana aisee.hilo ni jambo la muhimu umkumbushe na shem Young_Master
Naona sasa una taka ban ya maisha! Mambo gani yaendelee tena? Shauri yakoMe sina tatizo wewe usipopima........we njoo ucheck cheti changu na mambo yaendelee.......mimi ni risk taker
hata sipajui nikiliwa na simba je?
Afu na mie ni yatima jamani. Minikumbuke Kwenye misaada wala high heels na sungogglesjamani tujitolee kuwasaidia watoto wa mtaani wanateseka sana nani alaumiwe kwa hili?
Tunapima ili kujua status zetu, sio kuhalalisha ngono nzembe.Mambo namna gani vile, kwani uliposema tupime ulikuwa na maana gani.......mbona unakuwa kama maimuna
Ushahidi Ninao tena aw viasili. Nice Siku 7 nitakuletea.Una ushahidi wa wazi.....au wewe muhanga?
Tunafuata Ushauri nasaha. Tunaishi kwa Amani tukihakikisha tunajilinda tusipate ngwengwe kama bado hatuna. Kama tunao tunaanza biashara ya arvMbona mimi sijafika huko...........haya tukishaelewa status zetu nini kinafuata
Tunafuata Ushauri nasaha. Tunaishi kwa Amani tukihakikisha tunajilinda tusipate ngwengwe kama bado hatuna. Kama tunao tunaanza biashara ya arv
Majibu ya HIV yanatangazwagwa? JK tu na kiherehere chake hakutangaza Majibu Yake iwe mie?Acha maneno mengi chukua Tax hadi mwananyamala upime halafu tutangzie status yako ili tujue la kukushauri
Hivi ww unajua HIV inaambukizwaje?Kwa hiyo in clear statement unaishi kwenye mazingira hatarishi!