Ameshakesha sana makaburini usikt wa manane,
tushavunja sana mayai viza njia panda kwa ajili apate kazi ya ukaguzi.
Kutangulia yeye kujiunga Jf,anajiona mjanja hataki kunikagua wakati tumelala wote juu ya miembe ili kutimiza masharti ya mganga!
Haya bwana platozoom nikane tu.
Judgement me naenda zangu kwa babu Asprin akanikague.
Nisipomkuta nanyoosha kwa Bishanga.
Unaiga kunya kwa tembo....................................!
nimeshastukia mchezo........mimi mtoto wa JEIFU hawaniwezi.............ila kama watahitaji ukaguzi zaidi nitawafanyia lakini sharti iwe mchana
Hee!
Kumbe Plato nawe mkaguzi now dayz?
Umeungana na akina 52 , Bishangar na wanzao?
Bt mi sijaamini hii kauli ya BT , nahisi Uchimvi at works ! Wanataka Bundi alie kwenye paa lako!
Washaona vinaelekea kukunyookea!
Ameshakesha sana makaburini usikt wa manane,
tushavunja sana mayai viza njia panda kwa ajili apate kazi ya ukaguzi.
Kutangulia yeye kujiunga Jf,anajiona mjanja hataki kunikagua wakati tumelala wote juu ya miembe ili kutimiza masharti ya mganga!
Haya bwana platozoom nikane tu.
Judgement me naenda zangu kwa babu Asprin akanikague.
Nisipomkuta nanyoosha kwa Bishanga.
Mpaka sasa sijateua msaidizi wangu kwa ukaguzi. Ila kuna vijana nimewapa kazi ya kufanya upekuzi.... platozoom ni mmoja wao, na ameutendea haki uteuzi wangu. Anawapekua barabara!!!
haya bana.......futari tuu au na vingine unaandaa