Habari za muda huu members jf-elimu!nikiri kuwa ni Mara yangu ya kwanza kupost humu jf-elimu.Ninaomba ushauri,mdogo wangu amemaliza kidato cha NNE kama private candidate na amepata div.four ya 26,ana C mbili,(literature na kiswahili),D anazo tano na F ya mathematics(hayo ndio matokeo yake,amesoma arts)
Kutukana na kwamba alifeli mwanzoni,akarudia kama PC anawaza asiendelee na form five,hivyo kama kuna uwezekano ajiunge chuo moja kwa moja!
Wanajukwaa,je kwa hizi marks ana sifa za kujiunga 1.chuo gani?
2.course gani?
3.Lini?
Ushauri wenu ni wa muhimu sana guys!
Naombeni ushauri Tafadhali.
Asante