Mtu mwenye DDE PCB anaweza pata MD au Nursing degree?

ommky

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
459
Reaction score
225
eti mtu mwenye DDE PCB anaweza pata md au nursing degree? eti vandugu ushauri
 
Diploma for sure degree competition kubwa utakutana na mtu zenye BB+B hatar
 
kama unataka MD pitia diploma ya clinical medicine vingnevyo utaishia kuwa nesi kulala kwenye wodi maisha yako yote
diploma kwa cheti cha advance wapi tena
 
eti mtu mwenye DDE PCB anaweza pata md au nursing degree? eti vandugu ushauri

Inategemea na vyuo ulivyochagua

Kama umechagua Muhimbili,KCMC,UDOM,CUHAS etc unaweza pata shida

Ila kama umechagua KIU,HKMU ,,fasta sana kanunue clinical coat
 
Note: Kama umeomba vyuo vyenye competition kama muhas, cuhas, kcmc, ajuco na udsm. Hapo jua MD ilikupenda ila imependa wengine zaidi.

Ila kama umeomba vyuo kama kampala, kairuki na St Joseph, hapo anza kuandaa laptop na pamba kama dogo fulani alivyosema kwenye thread fulani hivi
 
Je mkuu kwa upande wa bachelor of arts with education vyuo kama UDSM,DUCE,UDOM na MUCE ufaulu ni DCE
 
apo bado, ndalichako kaharibu mfumo na sasa katulia cjui anampango gani
 
Back
Top Bottom