Mtu mwenye DDE PCB anaweza pata MD au Nursing degree?

Mtu mwenye DDE PCB anaweza pata MD au Nursing degree?

kairuki,kampala na st joseph pia hapati competition mwaka huu si mchezo
 
Hupatiii degree yeyote hapa bongo
Kasome diploma then uombe degree hapo baadae...
 
Hapati degree yoyote kimpango upi acha mchango mgando huo
Mara zote huwa naamin jamii forum ni jukwaa la watu wenye hekima wenye nia ya kusaidiana/kusaidia watu kimawazo ili waweze fikia mafanikio wanayoyatarajia, lakin kuna watu hum wanaharibu maana harisi ya Great thinkers kutokana na majibu yao mabovu. Binafsi nakereka sana na watu wa tabia hizi, mfano mtu ana ufauru wa DDE advance anaomba ushauri halafu mwingine anamwambia hapati chuo chochote halafu mtu huyu nae anajiita msomi(mtu huyu kweli amesoma guide book?)!!!!!!!! Kuweni wastaarabu basi kwenye mambo ya msingi na kama hujui kaa kimya si lazima kila thread u-comment....🙁🙁🙁
 
kama unataka MD pitia diploma ya clinical medicine vingnevyo utaishia kuwa nesi kulala kwenye wodi maisha yako yote
Diploma kuna cut point ya 3.5 GPA sijui umemtahadhalisha?
 
eti mtu mwenye DDE PCB anaweza pata md au nursing degree? eti vandugu ushauri
Kwa matokeo hayo nitakutafuta SUA
Chuo kikifungua na ukizembea utaangukia education hapo SUA
Bora uombe koz za maana
 
Md utapata kwa vyuo kama imtu,kairuki ,kampala maana uko wana chukua div 3 udaktari ila kwa vyuo kama kcmc,muhas ,bugando utachemsha,kwa nursing nenda chuo chochote ila sikushauri usome nursing soma clinical off au lab techncian
 
Mkuu CCD ni sawa na B+B+ B- za BRN
Lazima upate.
Hivi unajibu kwa mazoea au nini? Kama B+ ni sawa na C, je A ya BRN ni sawa na nini?

Tcu wamesema B ya brn ni sawa na point 3 na
C ya 2016 ni sawa na point 3 pia.
Punguza ndoto za saa 7 mchana mkuu
 
Hivi unajibu kwa mazoea au nini? Kama B+ ni sawa na C, je A ya BRN ni sawa na nini?

Tcu wamesema B ya brn ni sawa na point 3 na
C ya 2016 ni sawa na point 3 pia.
Punguza ndoto za saa 7 mchana mkuu
Binafsi naona amejibu vema.....
Kwasababu B+ ni 65-74 na C kwa mwaka huu ni 60-69 so yupo sahihi in term of marks japo uzto zinatofautiana....na ukumbuke B- ilikuwa 54-64 while kwa mwaka huu hiyo kitu ni sawa na D....

So namuunga mkona aliyefananisha CCD na B+B+B-
 
Mbona mwenyewe unajichanganya mkuu! Kama B- ilikuwa kuanzia 54-64 na C mwaka huu umesema ni kuanzia 60-69. Sasa brn aliepata B- ya 60 sio sawa na C ya mwaka huu?
Sikatai kuwa maksi ni tofauti ila necta walishapeleka uzito wa maksi tcu.
Sasa CCD 2016 ni sawa na BBC 2015. According to guidebook 2016/2017
 
Nijibu tena A ya brn ni sawa na ngapi mwaka 2016?
Kwa hiyo hakuna Brn aliepata exactly A ya 80-100?.
Tcu ameshajibu maswali kama haya mkuu
 
Nijibu tena A ya brn ni sawa na ngapi mwaka 2016?
Kwa hiyo hakuna Brn aliepata exactly A ya 80-100?.
Tcu ameshajibu maswali kama haya mkuu
Jomba wigo wa A ya BRN ulikuwa unaruhusu hata baathi ya watu wenye B mwaka huu wawe na A....by the way ni mitazamo tu na mabadiliko yalishafanyika
 
Mbona mwenyewe unajichanganya mkuu! Kama B- ilikuwa kuanzia 54-64 na C mwaka huu umesema ni kuanzia 60-69. Sasa brn aliepata B- ya 60 sio sawa na C ya mwaka huu?
Sikatai kuwa maksi ni tofauti ila necta walishapeleka uzito wa maksi tcu.
Sasa CCD 2016 ni sawa na BBC 2015. According to guidebook 2016/2017

Mkuu Waliyoyaongea Hao Jamaa Ni Swa!
Mimi Rafiki Yangu Ana BCD za Mwaka 2015 na Alipoapply Chuo Mara hii System imegoma Kumdahili Kaambiwa Hana Sifa Coz Matokeo iliyomletea ni DEF.
Kwamaana Hiyo Ukiingiza Tu Index Namba Yako ya F6 system inaconvert Credits Zako Kutokana na Marks Zako Ulizopata! Nahisi System imesetiwa Kwa Marks na Wala Si Points.
Ndiyomaana Wengine B huwa C, ila wengine B huwa D.
 
Back
Top Bottom