Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,210
- 40,652
Kwa haya ndiyo tutaanza kuelewa hatari iliyopo maana naona bado tupo gizani na tunaota
Hivi hakunaga sehemu ya namba za simu? Halafu upo sahihi, tuna mambo mengi yamekaa kizembe.
Kwaiyo kafa COVID-19?....Mtu uyo inasemekana alivyokuwa njiani alikuwa na mafua makali na pamoja kuhema Kwa shida.
Poor you!
Kwa sauti kubwa.
Wewe wasema.Kwaiyo kafa COVID-19?
Kwa hali yakushangaza mtu mmoja ambae alikuwa akitokea Dar kwenda Mpwapwa, Dodoma akutwa amefariki dunia wakati basi ilipotia Nanga kwenye stendi ya busi ya wilaya ya Mpwapwa
Mtu huyo inasemekana alivyokuwa njiani alikuwa na mafua makali na pamoja kuhema kwa shida.
Mungu tusaidie
Vifo vya namna hiyo vimekuwa vya kawaida kwa waathirika wa Covid 19. Wanasema ukifikia stage ya ARDS, bila Respiratory Ventilator, una only 20 minutes before death.
Huko Ecuador, maiti nyingi za waliofariki kwa Covid 19 zimekuwa zikiokotwa kwenye mabasi, vituo vya mabasi na majumbani kiasi cha kushindwa kupata hata takwimu halisi za waliokofa na kuugua.
Huko Kahama, nako kuna kisa kinachunguzwa. Kuna mchina na mkewe walichukua chumba hotelini. Wahudumu waligundua mchina mwanamke alikuwa ni mgonjwa hasa japo hakusema. Walipoujulisha uongozi wa hotel, walichukuliwa kwenda hospitali. Uchunguzi unaendelea lakini hwakuruhusiwa kurudi hotelini japo walikuwa wamekwishalipia kwajili ya kukaa siku kadhaa. Kuna hisia walitaka kuifanya hoteli ndiyo isolation place yao.
Ushauri: Kipindi hiki, kama siyo lazima sana, ni aheri kujizuia kusafiri. Na ukisafiri, kama una usafiri binafsi, ukichoka, pumzika ndani ya gari kuliko kulala hotelini.
Chanzo cha taarifa na picha ya tukio mkuu!
Unajua sasa kila mauti inahusishwa na COVID 19!
Ni sawa na mtu akiwa Malaya sana hata akifa kwa ajali watasema ni ukimwi tu ila ajali ilikuwa kusudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mwanzo hamkuamini, mlisimama kidete kumpinga yeyeto aliyesema taifa liko hatarini dhidi ya Covid 19.Ameendika dalili gani hapo au umekurupuka?
Wacha kukariri kila kifo COVID-19
Nawe ukatulia kama unanyolewa vile kwapaniKuna siku niko kwenye daladala kuna jamaa anapiga chafya kama beberu ila watu wametulia tu hawajisogezi, mi nae nilitulia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtu analeta taarifa humu halafu anasema inasemekana, sioni haja ya mtu kukimbia kuanzisha uzi huma kwa taarifa za kusadikika.Chanzo cha taarifa na picha ya tukio mkuu!
Unajua sasa kila mauti inahusishwa na COVID 19!
Ni sawa na mtu akiwa Malaya sana hata akifa kwa ajali watasema ni ukimwi tu ila ajali ilikuwa kusudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio 😳 😭
Tutasikia visa kadhaa vya corona huko Dodoma muda si muda.Kwa hali yakushangaza mtu mmoja ambae alikuwa akitokea Dar kwenda Mpwapwa, Dodoma akutwa amefariki dunia wakati basi ilipotia Nanga kwenye stendi ya busi ya wilaya ya Mpwapwa
Mtu huyo inasemekana alivyokuwa njiani alikuwa na mafua makali na pamoja kuhema kwa shida.
Mungu tusaidie
Upuuzi mtupuHata mwanzo hamkuamini, mlisimama kidete kumpinga yeyeto aliyesema taifa liko hatarini dhidi ya Covid 19.
Leo hata vifo hutaki kuamini . Poor U. Unafikiri hao wanaokufa kwa Corona ni wazembe ??!!!
Odhis *