Mtu mmoja akutwa amefariki ndani ya basi

Mtu mmoja akutwa amefariki ndani ya basi

Hatari sana,hapo basi zima watakuwa hatarini..Mungu tunusuru
Unajua chanzo cha kifo chake?

Watanzania tumekuwa kama nyumbu ni tunaamini chochote kile hata habari ya kuunga unga.
 
Amin Amin nawaambieni Msikilizani waziri Mkuu na waziri wa Afya Naam maana kila kifo chenye utata kitahusishwa na Corona.
 
Unajua chanzo cha kifo chake?

Watanzania tumekuwa kama nyumbu ni tunaamini chochote kile hata habari ya kuunga unga.
Kwa hizo dalili hadi upate taarifa toka kwa Mwl?Poor you!
 
Kwa Hali yakushangaza mtu mmoja ambae alikua akitokea Dar kwenda Mpwapwa, Dodoma akutwa amefariki dunia wakati basi ilipotia nanga kwenye stendi ya busi ya wilaya ya Mpwapwa

Mtu uyo inasemekana alivyokuwa njiani alikuwa na mafua makali na pamoja kuhema Kwa shida.

Mungu tusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila kifo ni corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya uongo, ina maana we ujue alikuwa na mafua makali na kuhema kwa shida walio nae wasigundue hilo. Kwa hali ya sasa ukiwa kwenye mkusanyiko na ukaonyesha hali hiyo watu lazima wapate taharuki. Sio habari ya kweli. Isitoshe kuna watu aliokaa nao karibu. Wasingekubali maana wanajua itawaathiri hata wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
What if mtoa habari ndiye aliyekuwa naye karibu. Hivi nyie Lumumba hao funza kichwana wataisha lini. Unapopinga alicholeta mwenzako lazima uwe na supporting evidence. Kha!
 
Habari ya uongo, ina maana we ujue alikuwa na mafua makali na kuhema kwa shida walio nae wasigundue hilo. Kwa hali ya sasa ukiwa kwenye mkusanyiko na ukaonyesha hali hiyo watu lazima wapate taharuki. Sio habari ya kweli. Isitoshe kuna watu aliokaa nao karibu. Wasingekubali maana wanajua itawaathiri hata wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku niko kwenye daladala kuna jamaa anapiga chafya kama beberu ila watu wametulia tu hawajisogezi, mi nae nilitulia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameendika dalili gani hapo au umekurupuka?

Wacha kukariri kila kifo COVID-19
....Mtu uyo inasemekana alivyokuwa njiani alikuwa na mafua makali na pamoja kuhema Kwa shida.
Poor you!
Kwa sauti kubwa.
 
Kwa hali yakushangaza mtu mmoja ambae alikuwa akitokea Dar kwenda Mpwapwa, Dodoma akutwa amefariki dunia wakati basi ilipotia Nanga kwenye stendi ya busi ya wilaya ya Mpwapwa

Mtu huyo inasemekana alivyokuwa njiani alikuwa na mafua makali na pamoja kuhema kwa shida.

Mungu tusaidie
Tusubiri waziri wa afya amtangaze,Ila tunasikia Jana Kule mkoani Kilimanjaro Kuna mmoja alizikwa kimya kimya makaburi ya karanga,haijatangazwa kuwa kafa corona.yajayo.....waambieni watanzania ukweli uliopo ili wajikinge mapema kabla ya maambukizi
 
Hivi hakuna watu wenye connection hapo mpwapwa tupate uhakika Wa hicho kifo alafu ndo tuulizane chanzo cha kifo
 
Vifo vya namna hiyo vimekuwa vya kawaida kwa waathirika wa Covid 19. Wanasema ukifikia stage ya ARDS, bila Respiratory Ventilator, una only 20 minutes before death.

Huko Ecuador, maiti nyingi za waliofariki kwa Covid 19 zimekuwa zikiokotwa kwenye mabasi, vituo vya mabasi na majumbani kiasi cha kushindwa kupata hata takwimu halisi za waliokofa na kuugua.

Huko Kahama, nako kuna kisa kinachunguzwa. Kuna mchina na mkewe walichukua chumba hotelini. Wahudumu waligundua mchina mwanamke alikuwa ni mgonjwa hasa japo hakusema. Walipoujulisha uongozi wa hotel, walichukuliwa kwenda hospitali. Uchunguzi unaendelea lakini hwakuruhusiwa kurudi hotelini japo walikuwa wamekwishalipia kwajili ya kukaa siku kadhaa. Kuna hisia walitaka kuifanya hoteli ndiyo isolation place yao.

Ushauri: Kipindi hiki, kama siyo lazima sana, ni aheri kujizuia kusafiri. Na ukisafiri, kama una usafiri binafsi, ukichoka, pumzika ndani ya gari kuliko kulala hotelini.
Ushauri wako niwamsingi sana.Barikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom