Mtu mmoja akutwa amefariki ndani ya basi

Mtu mmoja akutwa amefariki ndani ya basi

Habari ya uongo, ina maana we ujue alikuwa na mafua makali na kuhema kwa shida walio nae wasigundue hilo. Kwa hali ya sasa ukiwa kwenye mkusanyiko na ukaonyesha hali hiyo watu lazima wapate taharuki. Sio habari ya kweli. Isitoshe kuna watu aliokaa nao karibu. Wasingekubali maana wanajua itawaathiri hata wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo cha habari yako ni kipi?
Kwa Hali yakushangaza mtu mmoja ambae alikua akitokea dar kwenda mpwapwa -dodoma akutwa amefariki dunia wakati basi ilipotia nanga kwenye stendi ya busi ya wilaya ya mpwapwa
Mtu uyo inasemekana alivyokua njiani alikua na mafua makali na pamoja kuhema Kwa shida,
Mungu tusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
watanzania KUWENI makini na hizi habari za kutunga HAZITASAIDIA KITU..
Ni kweli corona ipo na INAUA.
ila tusipende kutunga tunga habari ambazo hazina uhakika.
kama amekufa kwa corona atapimwa na itajulikana lakini si kujifanya kimbele mbele

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Kama ungesema alipanda basi gani kidogo tungeamini vinginevyo jamiiforums waifute thread hii
 
Kwa Hali yakushangaza mtu mmoja ambae alikua akitokea dar kwenda mpwapwa -dodoma akutwa amefariki dunia wakati basi ilipotia nanga kwenye stendi ya busi ya wilaya ya mpwapwa
Mtu uyo inasemekana alivyokua njiani alikua na mafua makali na pamoja kuhema Kwa shida,
Mungu tusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Ifike muda serikali ijaribu kutoa picha za watu waliofariki au kuathirika ili wengine tujijue tuko wap maana wengi yawezakuwa tumekutana. Unaweza ukawa umechil ukiamin upo sawa kumbe mwili ushakuwa kambi ya virus vya CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom