Mtu kusema umebarikiwa ni dhambi, tuache maana ni dhihaka, kebehi, kiburi cha ulichonacho kwa wasichonacho wengine

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Mtu ana pesa anajisifu - I am blessed, blessings upon blessings, n.k. hao masikikini je hawajawa blessed na Mungu huyo huyo unaeona ndie kakubless?

Mtu ana mtoto mzuri anajisifu 0 i have a blessed son / daughter, wale wasio na watoto kabisa miaka na miaka wanatafuta pasipo mafanikio hawana blessings za Mwenyezi Mungu?

Mtu kapata ajira nzuri anajisifu yupo i was blessed to have this job, waliokosa ajira hizo je hawapo blessed ?
 
Kwahiyo watu wasimtukuze Mungu hata kama wamebarikiwa mkuu??, kisa Kuna watu watajiskia vibaya seriously?

Halafu ninachokiona Ni Wewe tu ndo ambaye unawasikiliza Kwa mtazamo WA wivu kama sio mtazamo WA kimaskini.

Kwanza utupe hizo haya za kwenye biblia au Qur'an zinazosema mtu kusema umebarikiwa Ni dhambi

Anyways,, am blessed and am highly favoured 🤗🤗
 
kwa hio wengine wamelaaniwa ?
Hizo laana naona unazitamka Wewe sasa.. Kwa sababu kila mtu anabarikiwa Kwa nafasi yake, na huwezi ukakasirika mwenzio akisema amebarikiwa eti kwasababu Wewe bado.. Haitakuja kutokea watu tukalingana au wote tukafanikiwa Kwa pamoja,, so vizuri ukawa tu mpole kusubiri Baraka zako kuliko kuwaza unayoyawaza
 
The fact is, Mungu hakuumba Mtu tajiri wala Mtu masikini. We were created equal, it is the supporting enviroment n resources around us ndio tunapotofautiana katika ku take advantage over them..ma gap ndio yanapoanzia hapo. Trust me ungezaliwa katika mazingira kama aliyozaliwa Bill Gates hata wewe ungekua hivyo.
 
Kwahiyo watu wasimtukuze Mungu hata kama wamebarikiwa mkuu??, kisa Kuna watu watajiskia vibaya seriously?

Halafu ninachokiona Ni Wewe tu ndo ambaye unawasikiliza Kwa mtazamo WA wivu kama sio mtazamo WA kimaskini.

Kwanza utupe hizo haya za kwenye biblia au Qur'an zinazosema mtu kusema umebarikiwa Ni dhambi

Anyways,, am blessed and am highly favoured
Habari, naomba unitumie no ya yule Mtaalamu wa dawa ya ngozi PM tafadhali.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom