Mtu katili zaidi duniani

Mtu katili zaidi duniani

Status
Not open for further replies.
Ahera ni moja tu na imesimuliwa katika vitabu vya dini, hasa kitabu kimoja kimesisitiza AHERA kwa kufia dini unakwenda ahera

Anachofanya huyo ndio kufia dini huko? Hao watu aliowachinja wamemkosea nini ? Hyo Dini anayoipigania inapigana na nani au kuna nani anaeipinga?
 
Natamani wangemkamata akiwa hai ili aseme hasa huwa anawaza nini anapomfanyia ukatili huo binadamu mwenzie?
 
Huyu na wale walionaokata viungo vya albino wakiwa hai wanatofauti gani?
 
Ana asili ya kuwait ila amekulia Uengereza


Huyu anatumia njia za zamani ndio maana tunamuona katili lakini kuna watu wanauza dawa feki au kuiba hela zilizotengwa kwa ajili ya dawa, lakini hawaitwi makatili wakati mamia ya watu wanakufa kwa kukosa au dawa.
 
Nataman mzee wa vijisenti na kundi lake wafike mikonon mwa jihad john
 
Lakini mwisho wake upo tu! MUNGU yupo,walikuwepo akina Adolf Hiltler,wako wapi?,walikuwepo akina Saddam Hussein,wako wapi?,walikuwepo akina Idd Amini,wako wapi?,walikuwepo akina Osama bin Laden,wako wapi?YOTE YATAPITA.
 
watu ni wapumbavu eti sio muislamu ila anapenda kuvaa madera huko kuwait alizaliwa kwenye familia ya wayahudi au na iweje awachinje makafiri na wasiokuwa waislamu wakati yeye mwenyewe sio muislamu???

Wanajiosha.
 
watu ni wapumbavu eti sio muislamu ila anapenda kuvaa madera huko kuwait alizaliwa kwenye familia ya wayahudi au na iweje awachinje makafiri na wasiokuwa waislamu wakati yeye mwenyewe sio muislamu???

that's how he get paid.!
 
akili za KG 1
Hujajenga hoja, matusi hayajengi hoja! Nadhani na wewe ni wa kitabu kile kile cha Ahera, ungelikuwa wa kile kingine cha dunia na ahera ungelijenga hoja maana ndio utamaduni wao wa kujenga hoja kama ninavyojenga hoja. Usiku mwema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom