Chuma ulete zipo hapo anainvest
Au ndo tunapewa mgawo wetu wa mauzo ya nchi kwa staili ya hiyo?
katika hali ya kawaida huwezi lipwa bila kuzalisha chochote, vinginevyo hiyo ni downpayment utatakiwa kuzalisha baadae wewe uliepokea, au ww na mie ambae hatujalipwa tutawajibishwa kulipa.
Umenifanya ncheke Asubuhi Asubuhi Mkuu Hahahahaha
katika hali ya kawaida huwezi lipwa bila kuzalisha chochote, vinginevyo hiyo ni downpayment utatakiwa kuzalisha baadae wewe uliepokea, au ww na mie ambae hatujalipwa tutawajibishwa kulipa.
Au ndo tunapewa mgawo wetu wa mauzo ya nchi kwa staili ya hiyo?
Kazi ipo.......subir aanze kuanguka mmoja badala ya mwingine.Yale yale ya kipindi kile watu wakiokota pesa njiani tena coins wanakufa.