Sasa kama tayari nina maadili mazuri naoa ili iweje?Ndoa ni tendo linalopelekea uwepo wa familia na familia ndio chanzo Cha kwanza kabisa Cha jamii Bora bila ndoa hakuna familia Bora na bila familia Bora hakuna jamii iliyo Bora kama Mungu amekujalia nguvu na uwezo ni vema ukaoa ili ushiriki kujenga jamii Bora ππππ
Kwa taarifa yako Sie ambao hatujaoa tunakojoa pazuri tena kila siku bila kupangiwaunakojoa kitandani saa na muda wowote upendaooo
Matumizi ya hela kwa mpango kando hamunaa tenaa
Full utulivuuu nipende nkupendeee ... ukizingua nakuwasha makofiii cc Manara
Toa hoja kijana